viongozi kama hao tumeshawazoea na ahadi zao hewa! Wakishapata tu wanapotea!Anasema atajenga hospitali 3 tarafa za Arusha Mjini
Yeah! Kumbe na wewe umeshtukia CCM hao miaka 50 ya ahadi hewa! Piga chiniviongozi kama hao tumeshawazoea na ahadi zao hewa! Wakishapata tu wanapotea!
Ndio zao wanapenda kula vya gizani!Mgombea wa CCM hayupo