Live on TBC: Sherehe za kuwasha mwenge

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Naona wanafunzi ndo wengi uwanjani hivi ndo sela ya CCM mwenge ni wa wanafunzi wa shule za msingi na walimu wao?
 
Yaani of all the regions wakaona mwaka huu iwe mbeya imekula kwao.
Mbeya CCM is useless kheri wangezipeleka Mtwara uko izo sherehe Pinda unaweka ukawa na watoto tuu leo
 
Arusha Mambo FM, tunajiunga na TBC kurusha matangazo ya uwashaji wa Mwenge moja kwa moja kutoka viwanja vya Sokoine jijini Mbeya, visit www.arushamambo.com kisha click "Sikiliza Arusha Mambo FM...." ili kusikiliza redio ikifunguka tutafurahi uki LIKE na kutoa mawazo yako:

Arusha Mambo>
 
Huu ni upuuzi mwingine unaotakiwa kuondolewa!\
Uhamasishaji wa ujenzi wa Taifa katika enzi za Ujima ndo ulihitaji this nonsense!!

Sio sasa jamani!!
 
Naona wanafunzi ndo wengi uwanjani hivi ndo sela ya CCM mwenge ni wa wanafunzi wa shule za msingi na walimu wao?

baadhi ya tafsiri ya mwenge ninazozikumbuka tukifundishwa enzi zile za kulishwa upumbavu kichwani na kuitikia "ndiyo" ni kwamba 'unaangaza pasipo na nuru' na 'kurejesha tumaini pale pasipo na tumaini'.

now that ati wamepeleka mbeya, tafsiri yake ni nini? kwamba mbeya hawana tena tumaini ma chama cha maruhani?

we are with you to the last drop.
 
Naona wanafunzi ndo wengi uwanjani hivi ndo sela ya CCM mwenge ni wa wanafunzi wa shule za msingi na walimu wao?

Hivi hizi live coverage za TBC1 ni nani anayezilipia kwa shughuli kama hizi za kuwasha mwenge au mikutano ya CCM? TBC wasijishau kwamba wao ni chombo cha taifa kinatakiwa kijiendeshe kibiashara pamoja na kupewa ruzuku na serikali ambayo ni kodi ya wananchi
 
Sherehe kama hizi ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi, mambo kama haya si ya kuyaendekeza hata kidogo, zinabidi zipigwe marufuku kabisa, kwani hazina tija tena...
 
Source. TBC1 LIVE

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abas Kandoro ameonekena TBC1 akiwatambulisha wakuu wa mikoa asilimia 90 wote wako mbeya na ambao hawapo wamewakilishwa na wakuu wa wilaya kutoka mikoa husika.

Waziri Mkuu na baadhi ya Mawaziri wapo kwenye shughuli hii.

Gharama yake naamini ni kubwa sijaona sababu. wanachezea fedha zetu tu.

Watoto wa shule ni mwengi lakini wale ambao walikuwa kwenye mazoezi kwa vitendo 'rehearsal' hawajakwenda shule miezi miwili na zaidi na kukosa masomo. hawa ni watoto kutoka shule za Kayumba za wananchi masikini huwezi kuona mtoto kutoka shule za Mchepuo wa kiingereza ' English medium'
 
That is CORRECT...!

Nyumba za kulala wageni ZIMEJAA zote hapa Mbeya...!
 
nadhani hili ndilo zindiko la CCM kuwazindika wananchi wasijitambue. Mwenge gani wa UHURU wakati hakuna UHURU? TAFAKARI.
 
That is CORRECT...!

Nyumba za kulala wageni ZIMEJAA zote hapa Mbeya...!
.

Zipo gharama za chakula, mafuta na matenegenezo ya magari kwa ajili ya safari, posho zao na wasaidizi wao mathalan Dereva

gharama hizo zingekuwa zinatoka kwenye mishahara yao wengi wangeomba udhuru
 
Mtusaidie kusikiliza masuala ya biashara ya cherry, kwani ndicho kilichomwondoa Kimolo. Nasikia Kandoro naye kapingwa stop na Pinda na ameambiwa aondoe msimamo wa mkoa mara moja kwani hii ni soko huria. Wazee mlioko Mbeya mtusaidie kama atasema chochote kuhusu hilo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom