Live on star TV mtazamo baada ya matokeo ya Arumeru

weka namba ya simu kwenye screen ya star tv watu wapige simu.
 
Kushindwa maana yake ni
1. Wamemuabisha Mzee Mkapa
2. Nafari ya kuwania uraisi Mh. Lowasa imepata dosari
3. wana CCM wanataka kuwania Nafasi mbalimbali wawe makini kwani wanahitajika kua karibu na majimbo yao,wapigakura wao na si kwenda wakati wa uchaguzi tu
4. kuna Big Figure za CCM,CDM & CUF hazikwenda Arumeru waliona nn ambacho hakiongelewi?
5. Mapandikizi Hayabebekii
 
Naanza na Hongera kwa WANA CHADEMA wote.

yahaya
kama ccm iliamua kuleta mfumo wa vyama vingi tunaisihi iulinde
kwani kwa sasa wanaibaka DEMOKRASIA
na hata hio polisi yao wanaitumia vibaya ccm kwa sasa wanategemea sana nhuvu ya dola
tuende uwanjani kwa kuuza sera na isiwe matusi,kejeli na sio uonevu.
 
Yahya, bado ninatatizwa na huu upungufu mkubwa wa wapiga kura wakati wa zoezi la upigaji kura. Nashauri tume ifanye utaratibu wa kupitia upya daftari nchini ili kubaini kama kweli hawa watu walijiandikisha kweli au kuna jambo lolote lisilo la kawaida. Kwa nini tatizo halikuwa kubwa sana Mwaka 2005, na kadiri chaguzi zinavyoendelea ndivyo idadi ya wapiga kura inazidi kupungua. Why? Binafsi naona elimu ya wapiga kura inatolewa zaidi sasa kuliko ilivyokuwa hapo nyuma kwa nini watu wasijotokeze zaidi pia?
 
Msisitizo ni kwamba kuna haja ya kufanyika tafiti ya chanzo cha watu kutojitokeza kupiga kura kwa wingi.
Sidhani kama ni sahihi kusingizia suala la elimu ya uraia tu; ufanyike utafiti ili kuwe na sababu zilizo halisi.

Hii ni knowledge gap kabisa kwa watafiti wa masuala ya sayansi za siasa.
 
Yahya, bado ninatatizwa na huu upungufu mkubwa wa wapiga kura wakati wa zoezi la upigaji kura. Nashauri tume ifanye utaratibu wa kupitia upya daftari nchini ili kubaini kama kweli hawa watu walijiandikisha kweli au kuna jambo lolote lisilo la kawaida. Kwa nini tatizo halikuwa kubwa sana Mwaka 2005, na kadiri chaguzi zinavyoendelea ndivyo idadi ya wapiga kura inazidi kupungua. Why? Binafsi naona elimu ya wapiga kura inatolewa zaidi sasa kuliko ilivyokuwa hapo nyuma kwa nini watu wasijotokeze zaidi pia?

Hilo ndio jambo muhimu inabidi hili daftari lirekebishwe at least after 2yrs
 
sababu kubwa ni watu hawa imani na serikali iliyopo madarakani kwa kuwa umezidi kuwaletea umasikini hivyo wanaona haina maana ya kupiga kura
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom