Live on Star Tv Apr 23: Sheria za Kumiliki Silaha

Kulola

Member
Apr 10, 2012
9
2
Jumatatu April 23, kwenye kipindi cha Tuongee Asubuhi Star Tv kuna mjadala kuhusu Sheria zinazohusu umilikaji wa silaha nchini.

Tutachambua namna sheria zinazohusu umilikaji wa silaha nchini na mamlaka husika zilivyoshindwa kusimamia sheria hizo katika kudhibiti umiliki haramu wa silaha na biashara haramu za silaha vitu ambavyo ni chanzo cha uhalifu nchini.

Karibu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom