Live on ITV: Heche anamwaga cheche ndani ya 'Malumbano ya Hoja'

Tatizo kubwa linalowakabili vijana ni UNAFIKI NA TAMAA!! Vijana hawaaminiki hata kama ana ma-PHD!! OVER!!
 
Mada ilikuwa nzuri,kimsingi Heche alionyesha ni kwa nini vijana wengi wanaipenda Chadema. Kwa CDM vijana ni sehemu ya mabadiliko kwa ajili ya maisha yao na vizazi vijavyo. Elimu ya demokrasia inazidi kupata kwenye masikio ya vijana,
 
Back
Top Bottom