Live Ndani Ya Bongo Radio

Status
Not open for further replies.
i feel you, i feel you! yanii hiii full mzuka bundersliga (germany)
wacha nifungue Becks yangu kabisaaaaa, thankx!
Hakuna noma kabisa Mazee fungua Becks hizo na baadae in an hour nakuja na ZILIPENDWA.

Lusajo,
Mambo vipi Mazee, hiyo kitu yako nayo inakuja.
 
Tupo pamoja mazee.

Ebwana Saturday's jamaa bado yupo mchana?

Holla
 
mzee fungulia mbwa, fanya hii iwe session ya request from JF..... ni wazo tuu.
wacha mie niendelee mbaka wengine watakapo join......
Nipandishie krank ya chid benzino
 
Sasa nitafungulia simu ili mpige kwa mtu ambaye anataka kuongea LIVE piga simu namba 312 957 6014.

YE,
Dj Dennis yupo kama kawaida kila Jumamosi mchana kuanzia 1pm til 2:30 CST,

Najikopa Mwenye,
Hakuna noma mazee tuko pamoja na nakuletea kitu ya Chidi,

Lusajo,
Nadhani unaisikia kitu yako.
 
Nenda kazini G snow imekwisha nje acha kuendekeza uvivu..nenda kalijenge Taifa la Obama please..
 
Unless you are working from home but as far as i know huwezi kuwa mtamboni while working....as you kow what i mean dwag.

Kelly01 mbona huko hivyo lakini? Mazee GQ yupo job kama kawa.

By the way, hivi Wild Hare bado ina happen?
 
Kelly01 mbona huko hivyo lakini? Mazee GQ yupo job kama kawa.

By the way, hivi Wild Hare bado ina happen?

Mazee QM Wild Hare bado ipo bomba sana kama kawaida.

Ngoja tunaanza ZILIPENDWA sasa.
 
Mkuu GQ,

Nakupata kinoma,hapa ni 1.30 Am.Baridi kalii kiaina lakini nakula mitwango tu.Weekend inabamba.Vipi mkuu vitu vya African Starz nimechelewa ama?

Kip it up bro
 
Kelly01 mbona huko hivyo lakini? Mazee GQ yupo job kama kawa.

By the way, hivi Wild Hare bado ina happen?

Yeha Qm wild hare bado ina happen kama kawaida aisee...ile itu ipo very alright i love live band,nkumbuka Innocent alikujaga kupiga pale wild hare a while back,Nikkutana na misanya bingi.
 
Yeha Qm wild hare bado ina happen kama kawaida aisee...ile itu ipo very alright i love live band,nkumbuka Innocent alikujaga kupiga pale wild hare a while back,Nikkutana na misanya bingi.

GQ hawezi kupasahau Wild Hare.... si unajua ana ubia pale....ha ha ha mazee wa "kusini"
 
Yeah GQ ana ubia na totoz za Ki-botswana/Zambia...LOL!..Oops GQ sorry nimeghafirika.

Khe...Botswana/Zambia nini tena? Hiyo ishu naona siijui. Mimi nilikuwa niliposema kusini nilikuwa namaanisha ile club ya kule South Side (siikumbuki inaitwaje...memory yangu mbovu kweli). Kule ambako wanafunga saa 2 asubuhi.
 
Mi nasubiri jioni atakapoanza kushusha mavitu ya kukata na shoka...

Halafu nachoma nyama leo....wote mnakaribishwa....
 
Qm na wewe unakuwa slow...anyways hii kitu anajua GQ atakuja kumalizi mwenyewe....wee unaongelea ile club ya south side karibu na 60 something?...wanakuwaga na stripper sa nyingine..kuna this one time rafiki zangu walikuwa wanataka kutoka kila club dt ilikuwa imejaa wakati ule ilitokea ile soo ya ile club watu wakaumia sana (nimeshasahau jina la club duh nakuwa na short memory siku hizi) anyways nikawaambia kuna this club south side nikawapeleka bwana kulikuwa na stripper siku hiyo oloo mademu wacha waanze kupiga kelele na kutaka kuondoka kumbe nilisahau siku hiyo nilitoka na "bwana asifiwe"...
 
Mi nasubiri jioni atakapoanza kushusha mavitu ya kukata na shoka...

Halafu nachoma nyama leo....wote mnakaribishwa....

Basi unaturingishia eeeh na hali ya hewa yenu huko.....yeah hata sisi ingawaje tupo below 10 degrees still tunaweza kuchoma nyama pia...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom