Live: Nape Nnauye,John Mrema,Benson Bana na Hemed Msabaha ndani ya EATV.

Nape ni mweupe mno ni bora anyamaze anazidi kuizika ccm,akue aongozi wazee wa ccm matamko yake yanazidi kui cost ccm,mfano juu ya fujo za morogoro ni kwa polisi walitekeleza maagizo ya ccm ndio maana kukatokea fujo
 
Kipindi kimeisha....pongezi za dhati ziende kwa EATV na dada Prudence, pia shukrani za pekee ziende kwa Hemed
Msabaha na John Mrema. Nape kachemsha vibaya sana kwa kukosa hoja zenye mashiko
 
Wala sijifariji Mkuu, ila uelewa wa Nnauye, Nape Moses ninayemfahamu mimi hakustahili hata kuwa mjumbe wa NEC taifa kutokana na uwezo wake. Kwa uelewa wako ukishaona anguko utaanza kunielewa....

Siku za CCM kuwa madarakani zinaanguka na nape ana mchango mzuri sana kuhusu hili. Maandiko matakatifu yanasema OMBEA ADUI YAKO ILI AISHI SIKU NYINGI ILI UTAKAPOFANIKIWA AKUONE....(majibu jipe mwenyewe)
 
Huyo mwendesha kipindi alipata Division 4 Form 4. No wonder ameshindwa kuongoza kipindi kiakili na badala yake anaanza kuongelea mambo yasiyo na uhusiano kabisa na mada kuu. Amepata wageni wazuri ila yeye mwenyewe kilaza wa kutupwa. Kipindi kama hicho alitakiwa apewe Jenerali Ulimwengu. Watu wengine bwana.

sasa kwanini mwaendelea tizama..mwenzenu anaingiza siku nyie mwagombana na mi pc yenu
 
Pole kwa kujifariji na hadithi zako za Abunuasi hahahahaha
KANU ya kenya, CCM ya Zambia,Gadafi wa Libya, Mubarak wa Misri nk walikuwa na wapambe wabishi kama wewe
lakini mwisho wa siku wote walikubali matokeo yaliyofanywa na wananchi waliowengi. Nakutakia maisha marefu
ili uje kushuhudia ccm yako itakavyokuja kutupwa nje....time will tell, stay tuned
 
zongolwa acha kujiaibisha na wewe na usipende kutetea kila kitu huyo Mrema leo kawaaibisha kabisa yaan imeonekana CHADOMO wengi n 0 kichwan ndio maana wenzako wale wenye akili kdg wako kimya hawachangii hata hili Bandiko.....Mrema kawaaibisha jamaa ni mweupe kabisa kichwani na ndio tabu hiyo ya kukremishwa pale kasahau kila kitu hahahahaha
Mkuu, hivi utaitetea ccm hadi lini? kuitetea na kuishabikia ccm yahitaji uwe na akili za maiti! Je wewe ni maiti?
 
Kipindi kimeisha....pongezi za dhati ziende kwa EATV na dada Prudence, pia shukrani za pekee ziende kwa Hemed
Msabaha na John Mrema. Nape kachemsha vibaya sana kwa kukosa hoja zenye mashiko

Mkuu ulitegemea Nape aseme kitu pale mbele ya wale Manguli? Ni mweupeeeeeeeee kama theluji!!
 
KANU ya kenya, CCM ya Zambia,Gadafi wa Libya, Mubarak wa Misri nk walikuwa na wapambe wabishi kama wewe
lakini mwisho wa siku wote walikubali matokeo yaliyofanywa na wananchi waliowengi. Nakutakia maisha marefu
ili uje kushuhudia ccm yako itakavyokuja kutupwa nje....time will tell, stay tuned

Mpe vidonge vyake huyo Desi Mangola. Watakimbia nguo hawana kabisa, wahame nchi. Hawa ni watoto wa mafisadi wanaogopa peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
 
Wala sijifariji Mkuu, ila uelewa wa Nnauye, Nape Moses ninayemfahamu mimi hakustahili hata kuwa mjumbe wa NEC taifa kutokana na uwezo wake. Kwa uelewa wako ukishaona anguko utaanza kunielewa....

Siku za CCM kuwa madarakani zinaanguka na nape ana mchango mzuri sana kuhusu hili. Maandiko matakatifu yanasema OMBEA ADUI YAKO ILI AISHI SIKU NYINGI ILI UTAKAPOFANIKIWA AKUONE....(majibu jipe mwenyewe)

Amina Amina Mkuu. Nakwambia watakimbia na yeboyebo mkononi.
 
Mkuu ulitegemea Nape aseme kitu pale mbele ya wale Manguli? Ni mweupeeeeeeeee kama theluji!!
Mkuu, namuomba mungu kila siku huyu Nape aendelee hivihivi na akili hii hii ili atuletee ukombozi wa pili kupitia yeye
na vilaza wenzake
 
Kwahiyo mada ya malumbano ya vyama vya siasa ni ukuaji wa demokrasia imegeuka CHADEMA na mikutano yake, na mauaji yanayofanywa na polisi?

What a waste, hawa waongoza vipindi wanaojiremba kama wanaenda harusini hovyo kabisa.

Nape ameshindwa kabisa kuongea kitu kingine zaidi ya CHADEMA that and CHADEMA this?
Hana kitu kingine kabisa cha kuongea? Yani she. . .or sorry, he is so flat.
 
Antidius anasema kwenye siasa za vyama vingi kutokea msuguano ni kitu cha kawaida...ila lazima tuwe na hoja mzuri

ccm si walizoea vyama vilivyokuwepo awali havikuwa vimejiimarisha kwahiyo havikuonyesha upinzani mkali sasa wanauona wanashindwa mikikimikiki yao na hawataki kujiweka pembeni
 
Mrema na Enzako Nnape sio saizi yenu mngempeleka mwenyekiti wa tawi la mabwepande akatuwakilishe.
 
Mpe vidonge vyake huyo Desi Mangola. Watakimbia nguo hawana kabisa, wahame nchi. Hawa ni watoto wa mafisadi wanaogopa peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
Mkuu,siyo siri unajua somtime huwa najiuliza hili swali: Hawa wanaoitetea serikali ya ccm wataitetea hadi lini?
maana iwe isiwe ccm kung'oka ni lazima! yaani watake wasitake ccm lazima oneday itang'oka tu! kama si kwa sanduku la kura basi kwa mtutu wa bunduki. Kuitetea ccm ni wasting of time na kujitafutia msongo wa mawazo
 
Mkuu, hivi utaitetea ccm hadi lini? kuitetea na kuishabikia ccm yahitaji uwe na akili za maiti! Je wewe ni maiti?

Hahahaha mkuu na ndoto zako za Abunuasi naona umeamua kuwa kioja kushabikia Movement for Chaga ni sawa kabisa na mtu aliyerukwa na akili......na bado kidogo tu utajua namaanisha nn
 
Kwahiyo mada ya malumbano ya vyama vya siasa ni ukuaji wa demokrasia imegeuka CHADEMA na mikutano yake, na mauaji yanayofanywa na polisi?

What a waste, hawa waongoza vipindi wanaojiremba kama wanaenda harusini hovyo kabisa.

Nape ameshindwa kabisa kuongea kitu kingine zaidi ya CHADEMA that and CHADEMA this?
Hana kitu kingine kabisa cha kuongea? Yani she. . .or sorry, he is so flat.

Ni flat kama soda na bia iliyoharibika i.e no gas ya kutosha!!!! Ukinywa unavimbia tumbo!!! Yaani kweli Nape na SSM wanaiogopa M4C!!! Ha ha ha
 
Kwahiyo mada ya malumbano ya vyama vya siasa ni ukuaji wa demokrasia imegeuka CHADEMA na mikutano yake, na mauaji yanayofanywa na polisi?

What a waste, hawa waongoza vipindi wanaojiremba kama wanaenda harusini hovyo kabisa.

Nape ameshindwa kabisa kuongea kitu kingine zaidi ya CHADEMA that and CHADEMA this?
Hana kitu kingine kabisa cha kuongea? Yani she. . .or sorry, he is so flat.
Mkuu, Nape na Mwigulu wanaumwa ugonjwa wa Chadema....yaani hakuna kitu ambacho wanakichukia hapa duniani kama CDM.
 
Back
Top Bottom