Live: Nape Nnauye,John Mrema,Benson Bana na Hemed Msabaha ndani ya EATV.

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Wanabodi,

Mda si mrefu kupitia television ya EATV (chanel 5) kutakuwa na mada inayosema...JE SIASA ZA MALUMBANO NI UKUAJI WA DEMOKRASIA? Kipindi kitaendeshwa na Dada Prudence wa 5 CONNECT from EATV kuanzia saa moja
kamili jioni hii.

Wageni waalikwa ni

Ndugu Nape Nnauye kutoka ccm.
Ndugu John Mreme kutoka Chadema
Ndugu Benson Bana kutoka chuokikuu cha DSM
Ndugu Hemed Msabaha kutoka NCCR-Mageuzi na
Ndugu Antidius Rweyengoza kutoka AFRON.

Karibuni tuwaangalie hawa waheshimiwa watasema nini kuhusiana na hii mada.
Pia tuone ni nani atachemsha na ni nani atakuwa mkweli - Nawasilisha
 
Nape mchemfu kulikoa maji ya kuchemshia gongo. Hapo ataropoka tu si utaona!!! Ila tu namuonea huruma maana 2015 kama kambi yake haitapata kibali cha kugombea ataula wa chuya. Amekubali kutumiwa, asubiri shuruba lake.
 
Hapo kwenye RED, that guy there is simply just but more of a square peg in a round hole in that team of your speakers today.

Wanabodi,

Mda si mrefu kupitia television ya EATV (chanel 5) kutakuwa na mada inayosema...JE SIASA ZA MALUMBANO NI UKUAJI WA DEMOKRASIA? Kipindi kitaendeshwa na Dada Prudence wa 5 CONNECT from EATV kuanzia saa moja
kamili jioni hii.

Wageni waalikwa ni

Ndugu Nape Nnauye kutoka ccm.
Ndugu John Mreme kutoka Chadema
Ndugu Benson Bana kutoka chuokikuu cha DSM
Ndugu Hemed Msabaha kutoka NCCR-Mageuzi na
Ndugu Antidius Rweyengoza kutoka AFRON.

Karibuni tuwaangalie hawa waheshimiwa watasema nini kuhusiana na hii mada.
Pia tuone ni nani atachemsha na ni nani atakuwa mkweli - Nawasilisha
 
Muongoza kipindi anauliza malumbano haya hadi lini? sasa anawatambulisha wageni
 
Nape anasema malumbano hayana maana kwavile wapinzani uwelewa wao ni mdogo
 
Tunaomba kinachoendelea wakuu. Halafu hawa EATV kwanini wamemkaribisha Bunsen burner. Simpendi kama nini. Watu wengine bwana.
 
Johni Mreme anamjibu kwa kumwambia Nape kuwa huo ni uongo wa propaganda kutoka ccm
 
John Mrema anaendelea kwa kusema wanaoleta fujo ni ccm na sasa wamefikia hatua ya kuua watu
 
Nape anasema malumbano hayana maana kwavile wapinzani uwelewa wao ni mdogo

Nilisema hapo juu kuwa Nape hana jipya, ni mfinyu na mdhaifu kama wadhaifu waliomchagua kuwa hapo alipo. It is a strength to CDM. Yaani Nape chiboko!!!
 
Kuna jamaa anafunguka vizuri sana hapa kwa hoja mzuri....nafikiri huyu ndiye msabaha kutoka NCCR
 
With due respect, tell him to try taking care of his body size and lack of physical exercise before he would certainy be considered competent enough to say a thing of some levels of meaning about the opposition in the country.

Back
Top Bottom