Live: Mgambo v Simba - Uwanja wa Mkwakwani

Inawezezekana leo wamechelewa kumtuma Ulimboka mwakingwe kupeleka mlungula ndio kazi yake kubwa Simba wanacheza saana mechi zao nje ya Uwanja ningekuwa nafanya kazi PCCB Karibia FOS wangekuwa wananyea debe segadance
 
Naona Milovan alikuwa anawalalamikia waamuzi kwanini siku hizi hawawapi penalt
 
Hii ni mechi ya 2 wapinzani wa Simba wanamaliza wakiwa kamili na Simba anashindwa kuondoka na points zote 3
 
Hii ni mechi ya 2 wapinzani wa Simba wanamaliza wakiwa kamili na Simba anashindwa kuondoka na points zote 3
Lakini pia Simba haijawahi kupoteza point zote tatu tangu ianze ligi. Angalau tunaokoteza hiyo point moja moja.
 
Lakini pia Simba haijawahi kupoteza point zote tatu tangu ianze ligi. Angalau tunaokoteza hiyo point moja moja.

Mechi ya ngapi sasa wanashindwa kuibuka na ushindi mfululizo? Ijayo mtatandikwa
 
Back
Top Bottom