LIVE: Maadhimisho ya Miaka 50 ya Chuo kikuu cha Dar es salaam

Mkuu kihenge unakaa hosteli za masaki nini mpaka unashindwa kutambua kuwa menu za udsm main campus na mabibo hostel ni buku? acha kutaka kujifanya hujui bwana...
 
Hivi nauliza swali rahisi tu
7500*30=225000
hiyo ni boom anayopata wanafunz kwa mwezi'
1.je kima cha chini cha mshahara watz ni sh ngap'
2.japo maisha ni magumu lakini nachulia kusema vijana wa chuo kikuu ndo wanaogoza kwa anasa'
hebu tuiganyawe hyo 7500
1.asubuh chai 500
2.nauli mayb yuko mabibo campus kwenda na kurudi 600
3.mchana vyakula ving ndan ya campus ni 1000 na jion 1000.tukiweka na maji 500'hv hata 5000 per day inafka kwel hapa naongelea wale wanaopata 100%.wakaleta maandamano ili iongezwe anasa za kuonga wanawake'kunywa pombe ziongezeke
wanafunz wa udsm mbona sijawah kuwasiki mkiandamana
1.huduma bora za afya
2.mauaj ya albino
3.unyanyasaj wa kijinsia
4.elimu mbovu nchin
5.umeme
nyie mnataka boom 2'poor tz hk kizaz kijacho ndo kitakuwa the worst ever generation in our country

nadhan wanataka mkopo c b0om
 
Songíto;2675370 said:
Majanikv umenena kweli, kama hawa watoto wanalalamikia kiwango cha 7500 wanalo lao jambo!! sisi tuliishi kwa 2500 wakati ule na ukichunguza sio kwamba gharama zimepanda sana toka wakati ule mapaka sasa, mfano:
1. wakati ule nauli ilikuwa 200 saizi ni 250/300 tofauti ta mia tu
2. wakati ule chakula cha kawaida mabibo ni 700/800 saizi 1000 tofauti ya 200 au 300
n.k
Lakini bumu limekuwa tripled, hawa watoto zitakuwa anasa. May be kama hoja yao ni kukossa mikopo hapo ndio naona hoja zao zina mashiko.
Tatizo serikali ilijifanya inaweza kusomesha watu wote wakati uwezo huo haina na ndo maana yote haya yanatokea. zamani ukipata division I form 6 wazazi wanakuchinjia hata kuku kukupongea maana kwenda chuo na kupata mkopo wakati huo ilikuwa sawa na pie
siku hizi mmmmmhhhhhh hata upate division I ya point moja bado kwenda chuo ni kizungumkuti.
Hii ndo tanzania nchiyetu

nadhan hawa wanalilia mkopo kwa waloukosa!
 
Songíto;2675562 said:
Mkuu kihenge unakaa hosteli za masaki nini mpaka unashindwa kutambua kuwa menu za udsm main campus na mabibo hostel ni buku? acha kutaka kujifanya hujui bwana...

acha uboya wewe!hicho chakula kinachouzwa buku mabibo ni wewe umeanza kuuza leo asubuh au?usiongee usichokijua!
 
Haya tumefika Ukumbi wa Mlimani City, tunawasubiri watutunuku shahada zetu za Masters na PhD tuingie mtaaani
 
Hivi nauliza swali rahisi tu
7500*30=225000
hiyo ni boom anayopata wanafunz kwa mwezi'
1.je kima cha chini cha mshahara watz ni sh ngap'
2.japo maisha ni magumu lakini nachulia kusema vijana wa chuo kikuu ndo wanaogoza kwa anasa'
hebu tuiganyawe hyo 7500
1.asubuh chai 500
2.nauli mayb yuko mabibo campus kwenda na kurudi 600
3.mchana vyakula ving ndan ya campus ni 1000 na jion 1000.tukiweka na maji 500'hv hata 5000 per day inafka kwel hapa naongelea wale wanaopata 100%.wakaleta maandamano ili iongezwe anasa za kuonga wanawake'kunywa pombe ziongezeke
wanafunz wa udsm mbona sijawah kuwasiki mkiandamana
1.huduma bora za afya
2.mauaj ya albino
3.unyanyasaj wa kijinsia
4.elimu mbovu nchin
5.umeme
nyie mnataka boom 2'poor tz hk kizaz kijacho ndo kitakuwa the worst ever generation in our country

Hujakosea ila kuna vitu hukuvitaja. ume base kwenye chakula na usafiri tu. umesahau vitu kama makazi (hostel), stationaries na vitabu, mawasiliano (vocha), mavazi, na siku mojamoja kuweka heshima bar,,,,,,,,,,kimsingi hiyo pesa haitoshi kwa maisha ya mjini. najua wengi mnaangalia tu kula na kulaa lakini kumbuka maisha ni zaidi ya hapo. ni mtazamo ndugu yangu
 
mkuu umenifurahisha hv ushachek mchanganuo wa boom'ela za hostel wanapewa'ela za stationary wanapewa'kuweka heshma bar na ela za wakulima this cant be serious kabisa vijana wanaendekeza starehe tukubaliane na hlo
 
Hivi nauliza swali rahisi tu
7500*30=225000
hiyo ni boom anayopata wanafunz kwa mwezi'
1.je kima cha chini cha mshahara watz ni sh ngap'
2.japo maisha ni magumu lakini nachulia kusema vijana wa chuo kikuu ndo wanaogoza kwa anasa'
hebu tuiganyawe hyo 7500
1.asubuh chai 500
2.nauli mayb yuko mabibo campus kwenda na kurudi 600
3.mchana vyakula ving ndan ya campus ni 1000 na jion 1000.tukiweka na maji 500'hv hata 5000 per day inafka kwel hapa naongelea wale wanaopata 100%.wakaleta maandamano ili iongezwe anasa za kuonga wanawake'kunywa pombe ziongezeke
wanafunz wa udsm mbona sijawah kuwasiki mkiandamana
1.huduma bora za afya
2.mauaj ya albino
3.unyanyasaj wa kijinsia
4.elimu mbovu nchin
5.umeme
nyie mnataka boom 2'poor tz hk kizaz kijacho ndo kitakuwa the worst ever generation in our country

Kama ulisoma hapo unaelewa hali ilivyo ukijumlisha na inflation 16.8% according to [JF], hiyo hela wanayopewa sidhani kama inatosha! Kusoma siyo kama kulima, au kuuza duka, au kupanda mafaili ofisini its hard inahitaji courage na high degree of concentration all the time.

Kwa mimi naona vijana wako sahihi kugoma kwa sababu yeyote ile kwani miundo mbinu ya UDSM kwa ni hatarishi kwa afya zao, pili inflation rate is too high pamoja na kupanda hiyo hela hadi 7500 lakini utakuta vitu vyote maeneo ya karibu ya chuo vinapanda jaribu kuulizia utaupata ukweli. Hayo maji ya 500 unayosemea utakunywa mara moja kwa siku? Ukifanya hivyo unajitafutia matatizo makubwa zaidi kiafya.

Ukija darasani nako, kuna kununua vitabu au kutoa photocopy vitabu, it needs money, wasipofanya hivyo ndo kuzalisha wasomi wasiojua hata kutafuta references which is also too bad.

Vijana waandamane tu ili ujumbe ufike, najua ujumbe utakuwapo wa aina nyingi ukiwepo wa Dowans, umeme kukatika kwa zaidi ya siku tatu. All the best guys, just be carefull not be against the land law!!
 
Itakuwa ni boom kwa wale waliokosa! lakini kama ni amount wanayopata sioni kama ni busara hata kidogo kwani inapita hatakima cha chini cha mshahara na ikizingatiwa wao hawana familia na hawakatwi kodi... kama ni kwa wale waliokosa ufadhili wakati ni masikini kweli ni haki kwani watoto wa makabwela wako majumbani wamekosa uelekeo wakati wamefauru vizuri
Nadhani kabla ujakurupuka, jiulize kwa maisha ya kitanzania , ni ndugu zake wangapi wanamtegemea, sidhani kama ni vibaya kwani anatumia kusaidia ndugu zake. Nikiwa hapo UDSM nilisomesha wadogo zangu wawili kwa boom. la sivyo wasingesoma. usichanganye malimbukeni na walevi na wazinzi wachache kugeneralise mambo . think outside the box.
 
Hivi nauliza swali rahisi tu
7500*30=225000
hiyo ni boom anayopata wanafunz kwa mwezi'
1.je kima cha chini cha mshahara watz ni sh ngap'
2.japo maisha ni magumu lakini nachulia kusema vijana wa chuo kikuu ndo wanaogoza kwa anasa'
hebu tuiganyawe hyo 7500
1.asubuh chai 500
2.nauli mayb yuko mabibo campus kwenda na kurudi 600
3.mchana vyakula ving ndan ya campus ni 1000 na jion 1000.tukiweka na maji 500'hv hata 5000 per day inafka kwel hapa naongelea wale wanaopata 100%.wakaleta maandamano ili iongezwe anasa za kuonga wanawake'kunywa pombe ziongezeke
wanafunz wa udsm mbona sijawah kuwasiki mkiandamana
1.huduma bora za afya
2.mauaj ya albino
3.unyanyasaj wa kijinsia
4.elimu mbovu nchin
5.umeme
nyie mnataka boom 2'poor tz hk kizaz kijacho ndo kitakuwa the worst ever generation in our country

Nadhani kabla ujakurupuka, jiulize kwa maisha ya kitanzania , ni ndugu zake wangapi wanamtegemea, sidhani kama ni vibaya kwani anatumia kusaidia ndugu zake. Nikiwa hapo UDSM nilisomesha wadogo zangu wawili kwa boom. la sivyo wasingesoma. usichanganye malimbukeni na walevi na wazinzi wachache kugeneralise mambo . think outside the box.
 
Mkuu unazungumzia maisha yapi?Zaidi ya 20% YA WANAFUNZI HATA HUO MKOPO HATUNA,ALAFU UNATUTUKANA ETI ZA KUHONGEA!ACHA KUFIKIRI KWA KUTUMIA MASABURI!
 
Hivi nauliza swali rahisi tu
7500*30=225000
hiyo ni boom anayopata wanafunz kwa mwezi'
1.je kima cha chini cha mshahara watz ni sh ngap'
2.japo maisha ni magumu lakini nachulia kusema vijana wa chuo kikuu ndo wanaogoza kwa anasa'
hebu tuiganyawe hyo 7500
1.asubuh chai 500
2.nauli mayb yuko mabibo campus kwenda na kurudi 600
3.mchana vyakula ving ndan ya campus ni 1000 na jion 1000.tukiweka na maji 500'hv hata 5000 per day inafka kwel hapa naongelea wale wanaopata 100%.wakaleta maandamano ili iongezwe anasa za kuonga wanawake'kunywa pombe ziongezeke
wanafunz wa udsm mbona sijawah kuwasiki mkiandamana
1.huduma bora za afya
2.mauaj ya albino
3.unyanyasaj wa kijinsia
4.elimu mbovu nchin
5.umeme
nyie mnataka boom 2'poor tz hk kizaz kijacho ndo kitakuwa the worst ever generation in our country

yaani niliposoma eti wanaandamana kwa ajili ya boom kumwona rais nikasema kimoyomoyo /?!*¿....?
 
Acheni muda utoe majibu yake, watakapokuja huku kukuta Gross ya 200k halafu una familia na wategemezi sijui wtaandamana kwa nani, katika hali ya kawaida 250k net ni zaidi ya kutosha.
 
Songíto;2675562 said:
Mkuu kihenge unakaa hosteli za masaki nini mpaka unashindwa kutambua kuwa menu za udsm main campus na mabibo hostel ni buku? acha kutaka kujifanya hujui bwana...

hiyo ni garama ya chakula bila maji..
 
Hivi nauliza swali rahisi tu
7500*30=225000
hiyo ni boom anayopata wanafunz kwa mwezi'
1.je kima cha chini cha mshahara watz ni sh ngap'
2.japo maisha ni magumu lakini nachulia kusema vijana wa chuo kikuu ndo wanaogoza kwa anasa'
hebu tuiganyawe hyo 7500
1.asubuh chai 500
2.nauli mayb yuko mabibo campus kwenda na kurudi 600
3.mchana vyakula ving ndan ya campus ni 1000 na jion 1000.tukiweka na maji 500'hv hata 5000 per day inafka kwel hapa naongelea wale wanaopata 100%.wakaleta maandamano ili iongezwe anasa za kuonga wanawake'kunywa pombe ziongezeke
wanafunz wa udsm mbona sijawah kuwasiki mkiandamana
1.huduma bora za afya
2.mauaj ya albino
3.unyanyasaj wa kijinsia
4.elimu mbovu nchin
5.umeme
nyie mnataka boom 2'poor tz hk kizaz kijacho ndo kitakuwa the worst ever generation in our country

mkuu mbona hela ya stationery ujaiandika au yenyewe haipo..
 
Hivi yule jamaa aliye mzaba kibao Mwinyi kwa nini asifanye hivyo kwa kikwete? hali ya maisha imebana sana
 
Back
Top Bottom