Live kutoka sumbawanga

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Live Toka Sumbawanga.....! N'gombe Mwenye Tabia Ya Kula Mazao ya Walipakodi a.k.a Wakulima, amekutwa Juu ya Paa La Mwenye N'gombe Alfajiri na Mapema huko Sumbawanga...


View attachment 64890
 
Yaani fundisho kwa wengine, hawa wataalam ningewajua mbona ningewaomba wanifanyie kwa wale majirani
zangu wanaoachia ngombe na mbuzi zao kubomoa makaburi ya wapendwa wa wengine. Maana mwenye mbuzi ni mjumbe wa nyumba kumi sasa utamshitaki wapi? nimepata jibu ni sumbawanga tu naomba contact tafadhali.
 
Hii kali,Yeye si anamuacha anakula mazao ya watu sasa atakula bati!
 
atashukaje hapo!!!au inabidi mwenye ng'ombe akamuombee msamaha!!
Kwanini ashuke? akale tena mazao ya watu? huyo hapo amefika mpaka afe njaa na kiu. Aaa wanyama hawana makosa mwenye makosa mfugaji watamshushatu subiri watu wote waamke washuhudie.
 
hii ni photoshop tu
attachment.php
 
Back
Top Bottom