Live kutoka bungeni:juma nkamia anatoa kero za tbc!, sugu naye anmwaga sumu za ukweli mda huu!!

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Nipo nafuatilia bunge mda huu,(KUPITIA STAR TV) juma nkamia anamwaga kero za Tbc, je leo tutegemee matatizo ya Tbc kutatuliwa????
Naye Sugu anamwaga sumu kuhusu sekta ya habari akisomea kambi ya upinzani!!


NTARUDI NGOJA NISIKILIZE HOJA.......
 
njoo na habari kamili mkuu...wanasema nini? Na nini kero za tbcccm?
 
Back
Top Bottom