Live:hali katika vituo arumeru shwari

Status
Not open for further replies.
Ndugu yangu naona umeamua kuripoti kwa mahaba mazito angalizo jioni ya leo usije na kauli tofauti, wapiga kura wenyewe hata laki moja na nusu hawafiki 80,000 ni CCM. endelea kuwajaza wenzako matumaini.

Wape wapeee vidonge vyao wakimeza wakitema CCM kiboko yaaaaaoooooo!!
 
Mkuu tujulishe juu ya malalamiko niliyoyasikia toka wapo radio fm 98.00 kupitia kwa mtangazaji wake anton joseph akimuhoji nasari kuwa mawakala wa cdm km wa vituo 6 ivi walizuiwa kuingia vituoni, vipi ili tukio limejitokeza pia apo au kuna unalolijua??

Ni kweli mkuu hilo limetokea katika maeneo ya mji mwema,mbuguni,ngarenanyuki,nshupu mawakala walichelewa kuruhusiwa kuingia kwenye vituo
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom