Live from mwanga: Operation vua gamba vaa gwanda inaendelea

Wapare wakiambiwa hata geuka nyuma na Cleopa Msuya wanageuka wote amini usiamini.Sina imani nao kabisa hivi viumbe.Labda tuanze na msuya hawa wengine kama kumsukuma mlevi.

Mzinga,
SIYO KWELI. wakati msuya anaacha ubunge mwaka 95 alikuwa anamuunga mkono Balozi.Mmbaga lakini wananchi walimchagua Prof.Maghembe. jimbo la mwanga ni dogo kieneo na kwa idadi ya watu. pia majimbo yaliyoko same[south pare] ndipo kwenye wapare wengi zaidi. msuya hana ushawishi wowote ule same ambapo hawajawahi kugombea ubunge, yeye amekuwa mbunge wa mwanga tangu wilaya ya Pare ilipogawanywa.
 
Back
Top Bottom