Live from Dodoma: Wagombea CCM nafasi mbalimbali 2012

Naliona lile vuguvugu lililotokea kule UARABUNI likinukia sana tu hapa kwetu Tanzania kwa sababu ya watu kujipanga kifamilia kwenye vyama na serikalini.
 
Mwanza yote watu wa EL.

Hata hao ambao sio wake watakua wake tu koz its all about two things...
1. Benjaminz
2. Uwezo..

Vyote viwili EL anavyo.....

Ila ambacho sijaelewa ni kuwa nilisikia mwenyekiti anasema this time around watatoa nafasi kwa Vijana(Damu Changa) Hapo vijana ni wachache saana... majority ni 50's & 60's so tutegemee no Changes
 
Asante kwa taalifa, sasa waanze kampeniu , natafuta shati la CCM nikale hela dodomaaaaaa
 
Hata KUWAJIBISHANA, KUKEMEANA, KUVUANA MAGAMBA hata KUFUKUZANA ndani ya CCM hakutakuwepo tena! Ndio maana jana Kikwete aliwaaambia wanaotaka kuondoka wafanye hivo haraka nadhani kwa kuwa wao sio wanafamilia, ndugu au marafiki!
 
Si walisema CDM ndio ya kifamilia zaidi. Halafu wenye jina "Kikwete" hawana wapinzani, jinsi walivyo mahiri!
 
Back
Top Bottom