Live from Dodoma: Wagombea CCM nafasi mbalimbali 2012

WALIOTEULIWA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI KUPITIA
JUMUIYA YA WAZAZI
NAFASI YA MWENYEKITI WA WAZAZI
1. Abdala Majurah Bulembo
2. Martha Moses Mlata
3. Capt. Barongo John Rwezaula
MAKAMU MWENYEKITI (ZNZ)
1. Nd. Hassan Rajab KHATIB
2. Nd. Ali Issa ALI
3. Nd. Dogo Iddi MABROUK
UJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA – VITI 3 (BARA)
1. Esther Kabadi Nyawazwa
2. Eng. Stella Manyanya
3. Priscilla Baptista Mbwaga
4. Dk. Salim Khamis Chikago
5. Adam Kighoma Malima
6. Jeremia John Wambura
7. Bernard Musomi Murunya
8. Dk. Charles John Tizeba
9. Said Ramadhani Bwanamdogo
10. Thobiasi Karlo Mwilapwa
11. Mussa Azzan Zungu
12. Vita Rashidi Kawawa
13. Norad Rutengano Kigola
14. Paulo Helman Kirigini
15. Clementina Liningo Mollel
16. Murtaza Ally Mangungu
1
UJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA – VITI 2 (ZNZ)
1. Nd. Abdulla Khamis Feruz
2. Nd. Perera Ame Silima
3. Nd. Ali Suleiman Othman
4. Nd. Fatuma Abeid Haji
5. Nd. Panya Ali Abdalla
6. Nd. Twaha Ally Muhajir
7. Nd. Hassan Rajab Khatib
2
 
ustaarabu ni pamoja na matumizi mazuri ya lugha.........ujinga na ukichaa angu ni upi?

Sisi tunaongelea masuala ya msingi tunasubiri majina tupewe wewe unataja vitu vya uongo wazi wazi je nitakufananisha na nani sasa? naomba unipe lugha nzuri.

Mtu yeye anasema ameona orodha ya majina na majina bado hayajasomwa. Wewe unaleta propaganda. Do you have proof?

Mimi sijakutukana ila nimeeleza tabia hiyo sio nzuri.
Hata kama unamchukia mtu basi vuta subira tu kama watasomwa hao basi tutajua.

Nadhani maelezo hayo yametosha kukueleza kwanini niliamua kukuita hivyo.
 
Ombi kwa waliotemwa! Tunaamini wengi wa waliotemwa ni wale wanaopinga utawala mbovu wa Kikwete! Tunawaomba wabaki huko huko ndani ya ccm, wasaidie kukiua taratibu kwa kukinyonya damu mpaka inabaki skeleton!


CDM si ndio mabingwa wakuchukua oil CHAFU za ccm haya sasa tegesheni mabakuli oil CHAFU Zaja halafu muanze kujisifu kuwa mnakibomoa chama dume kumbe mmelamba garasa
 
Haya ngoja tufanye sorting kwa wagombea ambao wengi walikuwa na mashaka nao, tutaweka hapo juu ktk ufunguo wa huu uzi
 
list ndefu sana hii na wewe,unaleta majina ambayo hayastahili kuonekana hapa jf
 
CDM si ndio mabingwa wakuchukua oil CHAFU za ccm haya sasa tegesheni mabakuli oil CHAFU Zaja halafu muanze kujisifu kuwa mnakibomoa chama dume kumbe mmelamba garasa
Vua gwanda vaa Gwanda - Vua Gwanda, Vaa uzalendo
M4C - V4C

photocopier3.jpg
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom