Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

Kumbe Rais anakubalika !Mie nilifikiri atasusiwa!Kumbe hata mabalozi wa nchi mbali mbali wamekuja!

Anakubalika na nani mabalozi au?
Acha ulaza wewe, kila siku unaambiwa mtaka cha uvunguni sharti ainame. Mabolozi wanataka kilichoko uvunguni mwa mkwere. Ninvyo mfahamu huyu Mkwere yaleyale ya TUKTA mwanzo mwisho Mgaya Mgaya, ngoja tuone leo kama hajalia sijui.
 
hata Dna zikisema mtoto ni wako utasema wamechakachua. Huo ni msimamo wa slaa. but JK ni rais. Go to UN court nitaelewa kuwa mnajua mnachojadili. All words you take are from slaa's mind. Kuiba, kususia, usakama, nec, evidence yote hayo ni maneno ya slaa. You have taken words as if hamwezi kufiri zaidi ya hapo. Pestimistic part Chadema
 
kikwetemikono.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete​

RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kulizindua rasmi Bunge jipya la Tanzania leo ifikapo saa 10 alasiri mjini Dodoma na kutumia fursa hiyo kuweka wazi mwelekeo, vipaumbele na mikakati ya serikali yake atakayoiongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Mikakati hiyo inatarajia kuandamana na kauli yake kuhusu msimamo wa chama cha upinzani cha Chadema kusema hakimtambui kwenye madaraka hayo na pia chokochoko za kisiasa zinazoonekana kulinyemelea Bunge.

Hivyo anatarajia kusisitiza Watanzania kukataa chokochoko za aina yoyote ya kubaguana hasa kidini na kikabila.

Hali hiyo inatokana na mazingira yaliyojitokeza katika uchaguzi uliopita ya kampeni za siasa zilizoashiria kidini na hata siku Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokuwa ikitangaza matokeo, Rais Kikwete alionyesha kusononeshwa na hali hiyo.

Hivyo mikakati hiyo inaelezwa kwamba itajikita kwa kuainisha vipaumbele vya kisekta katika kuongeza bidii ya kasi ya maendeleo, kuinua uchumi na kuwainua watu wa kipato cha chini ili kuondokana na umasikini.

Moja ya sekta ambazo vyama vya upinzani vimekuwa vikizipigia kelele ni pamoja na madini, ambapo mara kadhaa wamekuwa wakidai zingeweza kufanya elimu ya Tanzania kuwa bure kuanzia msingi hadi chuo kikuu.

Hoja hiyo ambayo ilionekana kuvipa nguvu vyama vya upinzani hasa Chadema, inaelezewa kuwa miongoni mwa mambo ambayo Rais Kikwete itabidi ayaweke wazi ili kuwarejeshea moyo Watanzania wenye fikra kuwa raslimali za nchi zinaibiwa na wageni.

Moja ya changamoto ambazo Rais Kikwete anatarajia kutozifumbia macho ni ufa wa kisiasa unaoonekana kujengwa kidogokidogo na chama cha upinzani cha Chadema.

Kumekuwa na taarifa kwamba Katibu Mkuu wa Chadema, ambaye pia alikuwa mgombea urais, Dk Slaa bado ana msimamo wa kutotambua matokeo ya urais yaliyompa ushindi Rais Kikwete.

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe ambaye pia ni mbunge wa Hai, mkoani Kilimanjaro, alishatoa tamko kwamba chama chake hakitambui matokeo ya urais lakini hawatarajii kususia vikao vya bunge.

Mzozo huo umeonekana ukiota mizizi ambapo zimesikika tetesi kwamba wabunge wa chama hicho wamekusudia kuweka shinikizo la kutomtambua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ambaye aliteuliwa na Rais Kikwete na kuidhinishwa na Bunge juzi na kuapishwa leo asubuhi.

Nimekaa hapa sebuleni nasubiri kwa hamu hotuba ya mkuu wa nchi nione ni jinsi gani ana mustakabali wa kuitakia mema na neema nchi hii....

Pia twaweza kujikumbusha hotuba ya mwisho ya mheshimiwa Rais alipoliaga bunge July 2010
 
hata Dna zikisema mtoto ni wako utasema wamechakachua. Huo ni msimamo wa slaa. but JK ni rais. Go to UN court nitaelewa kuwa mnajua mnachojadili. All words you take are from slaa's mind. Kuiba, kususia, usakama, nec, evidence yote hayo ni maneno ya slaa. You have taken words as if hamwezi kufiri zaidi ya hapo. Pestimistic part Chadema

Kweli Zhu ni Zuzu kweli. Inaonekana umelogwa. Watu kama Zhu ni wengi nchi hii ndio maana hatuendelei
 
Unanichekeshaga sana mkuu!!

Ila Asisahau kunya glucose maana Chadema wakitoka ukumbini ngoma inaweza kuwa noma....................!!!

Huyu anaota ndoto nini?
 
Hii dhana ya 'kutomtambua Rais' nadhani bado kueleweka na wengi!

"I am using this opportunity to tell Tanzanians that I was not satisfied by the poll outcome, therefore I don't recognise Mr Jakaya Kikwete as a President, I want Tanzanians to understand that," said Dr Slaa.

"I said this before NEC announced the results and we wrote them to express our concerns, but they did not bother to respond, therefore, the only way for us is to reject the results and not to recognise the winner," said Dr Slaa.

According to Dr Slaa, Chadema has decided not to recognise President Kikwete "because the results were a fabrication." The former Karatu MP added that it was difficult to accept election results that were recorded without adhering to principles of democracy.

According to Dr Slaa, announcing their stand publicly was just one of strategies the party is set to undertake to ensure shortcomings in elections are addressed in the future.
 
Leo kutakuwa na vikao viwili ambapo wabunge wapya walioteuliwa na JK wataapishwa na pia Jk atalihutubia bunge kwa mujibu wa TBC radio ambao wamejiunga hivi sasa...
 
Leo huyo mwizi wa kura lazima ale mijeledi tuu!! hakuna kitakachowazuia Chama makini kumwadabisha
 
hata Dna zikisema mtoto ni wako utasema wamechakachua. Huo ni msimamo wa slaa. but JK ni rais. Go to UN court nitaelewa kuwa mnajua mnachojadili. All words you take are from slaa's mind. Kuiba, kususia, usakama, nec, evidence yote hayo ni maneno ya slaa. You have taken words as if hamwezi kufiri zaidi ya hapo. Pestimistic part Chadema

Your so Junior to say those words
 
Sasa kinafuata kiapo cha utii wa waheshimiwa wabunge, taarifa ya spika kuwa jana tarehe 17 Nov 2010 Mh. Jk amewateua wabunge watatu kwa mujibu wa sheria ( Shamsa Vuai Nahodha, Prof. Makame Mnyaa na Zakia Meghji), najaribu kupepesa macho kwenye TV hapa kama nitawaona wabunge wa CHADEMA
 
kikwetemikono.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete​

RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kulizindua rasmi Bunge jipya la Tanzania leo ifikapo saa 10 alasiri mjini Dodoma na kutumia fursa hiyo kuweka wazi mwelekeo, vipaumbele na mikakati ya serikali yake atakayoiongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Mikakati hiyo inatarajia kuandamana na kauli yake kuhusu msimamo wa chama cha upinzani cha Chadema kusema hakimtambui kwenye madaraka hayo na pia chokochoko za kisiasa zinazoonekana kulinyemelea Bunge.

Hivyo anatarajia kusisitiza Watanzania kukataa chokochoko za aina yoyote ya kubaguana hasa kidini na kikabila.

Hali hiyo inatokana na mazingira yaliyojitokeza katika uchaguzi uliopita ya kampeni za siasa zilizoashiria kidini na hata siku Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokuwa ikitangaza matokeo, Rais Kikwete alionyesha kusononeshwa na hali hiyo.

Hivyo mikakati hiyo inaelezwa kwamba itajikita kwa kuainisha vipaumbele vya kisekta katika kuongeza bidii ya kasi ya maendeleo, kuinua uchumi na kuwainua watu wa kipato cha chini ili kuondokana na umasikini.

Moja ya sekta ambazo vyama vya upinzani vimekuwa vikizipigia kelele ni pamoja na madini, ambapo mara kadhaa wamekuwa wakidai zingeweza kufanya elimu ya Tanzania kuwa bure kuanzia msingi hadi chuo kikuu.

Hoja hiyo ambayo ilionekana kuvipa nguvu vyama vya upinzani hasa Chadema, inaelezewa kuwa miongoni mwa mambo ambayo Rais Kikwete itabidi ayaweke wazi ili kuwarejeshea moyo Watanzania wenye fikra kuwa raslimali za nchi zinaibiwa na wageni.

Moja ya changamoto ambazo Rais Kikwete anatarajia kutozifumbia macho ni ufa wa kisiasa unaoonekana kujengwa kidogokidogo na chama cha upinzani cha Chadema.

Kumekuwa na taarifa kwamba Katibu Mkuu wa Chadema, ambaye pia alikuwa mgombea urais, Dk Slaa bado ana msimamo wa kutotambua matokeo ya urais yaliyompa ushindi Rais Kikwete.

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe ambaye pia ni mbunge wa Hai, mkoani Kilimanjaro, alishatoa tamko kwamba chama chake hakitambui matokeo ya urais lakini hawatarajii kususia vikao vya bunge.

Mzozo huo umeonekana ukiota mizizi ambapo zimesikika tetesi kwamba wabunge wa chama hicho wamekusudia kuweka shinikizo la kutomtambua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ambaye aliteuliwa na Rais Kikwete na kuidhinishwa na Bunge juzi na kuapishwa leo asubuhi.

Nimekaa hapa sebuleni nasubiri kwa hamu hotuba ya mkuu wa nchi nione ni jinsi gani ana mustakabali wa kuitakia mema na neema nchi hii....
aLISHASEMA CDM NI CHAMA CHA KIDINI AKIFUTE SASA! YEYE SI NDO ANADOLA AFUTE CHAMA HICHO!
 
Back
Top Bottom