Elections 2010 Live elections results - 2010 (Pata matokeo Live)

Status
Not open for further replies.
Tetesi nasikia matokeo/yatatolewa kwa/kutumia idadi ya walioandikisha namba zao za simu yaani simu regustration zoezi lililokuwa likilazimishwa na serikali so amechukua idadi ya walioandikisha simu xard zao kama wapiga kura na assumption kuwa waote wamwmpigia kikwete ndio maana wana kiburi cha kusema watashinda kw zaidi ya asilimia 80,
 
Tetesi nasikia matokeo/yatatolewa kwa/kutumia idadi ya walioandikisha namba zao za simu yaani simu regustration zoezi lililokuwa likilazimishwa na serikali so amechukua idadi ya walioandikisha simu xard zao kama wapiga kura na assumption kuwa waote wamwmpigia kikwete ndio maana wana kiburi cha kusema watashinda kw zaidi ya asilimia 80,


It's Kili Time, Make the Most of It
 
Tetesi nasikia matokeo/yatatolewa kwa/kutumia idadi ya walioandikisha namba zao za simu yaani simu regustration zoezi lililokuwa likilazimishwa na serikali so amechukua idadi ya walioandikisha simu xard zao kama wapiga kura na assumption kuwa waote wamwmpigia kikwete ndio maana wana kiburi cha kusema watashinda kw zaidi ya asilimia 80,

Natofautiana na wewe mkuu, hizo kura hazitafanana na zile za kwenye vituo zilizokwisha kusainiwa na mawakala. Hizo taarifa ni za kufikirika zaidi na zenye lengo la kutukatisha tamaa tuache kufikiria kulinda kura zetu. No way, haondoki mtu hapa hadi kieleweke
 
Ukweli sisi tutayapata kwanza kabla ya mwananchi. Ila wameweka site ambayo utapta matokeo yote pindi yatakapojumlishwa. Nasikia Zanzibar yatawahi kutoka kwa kuwa wapiga kura si wengi sana watu kama laki nne tu kwa Zanzibar yote. Ila nimesikitika kuwa CHADEMA hawakuweka wagombea wa kutosha Zenji na kampeni zilikuwa si kubwa. Huko Zanzibar nasikia kuna makundi mawili ya wapiga kura , yaani kuna wale waliojiandikisha NEC tu ambao wanapigia rais wa Jamhuri ya muungano pekee na mgombea mweza wake. Kundi la pili ni wale waliojiandikisha ZEC ambao wanapigia rais wa Zanzibar na wawakilishi, lakini pia at the same time wanampigia rais wa Jamhuri ya Tanzania.Nimepata tetesi kuwa sehemu za kupigia kura kwa walioandikishwa na NEC zilikuwa na watu wachache sana bila foleni, na baadhi ya sehemu nyingi hazikuwa na mawakala zaidi ya wale wa CCM na CUF tu. Sasa Wasi wasi wangu ni kuwa wanaweza kutumia mwanya huu kuongeza kura za mafisadi hasa kwa zile za wapiga kura wa kundi la NEC. Labda kama wakala wa CUF watatulindia na sie CHADEMA indirectly .Tuombe mungu usitokee uchakachuaji tu.
 
kwa taarifa gazeti la mwananchi limeweka website ambapo matokeo ya kura wabunge na rais kwa mikoa yote ya tanzania unaweza kuyapata pale yatakapokuwa yametolewa.

kwa urahisi nenda: Mwananchi Election Editions

lakini tuwekewe matokeo ya aina yoyote sio kama chama kisicho chadema kinaelekea kuzoa viti vingi hatuwekewi ila chadema tu!!! Hiyo itakuwa ni aina fulani ya ufisadi pia!!!!
 
Kutokana na maelezo ya wadua tokea asubuhi, na hali halisi ya upigaji kura leo, kama CCM hawatazichakachua kura zetu...hayo matokeo sasa hivi yatafanya ambulance ziaze kupata dili la kupeleka watu hospitali.
 
Greenguard aumbuka huko MOSHI, source: ITV

Nasikia Green guard ni watoto wa masikini waliograduate vyuo vikuu vya bongo.

Yaani mimi na 'shule' yangu nigeuzwe boya la kubebeshwa mapanga na kuvaa ki-ninja?

Over my dead body, NO!!.
 
Meneja wa Uchaguzi CHADEMA Profesa wa ukweli Prof. MWESIGA BAREGU yuko live TBC msikilizeni anavyochambua mambo kisomi . Inaendelea muda huu live TBC
 
Kwa taarifa gazeti la mwananchi limeweka website ambapo matokeo ya kura wabunge na rais kwa mikoa yote ya Tanzania unaweza kuyapata pale yatakapokuwa yametolewa.

Kwa urahisi nenda: Mwananchi Election Editions

Asante kwa taarifa lakini mbona majimbo mengine yana wagombea wa Chama tawala tu wakati majimbo hayo yana wagombea wa vyama pinzani. Tafadhali tunaomba maelezo.
 
Cassava unajua CCM wana wagombea katika majimbo yote ya uchaguzi lakini vyama vya upinzani hawakuweka wagombea kila jimbo ndiyo maanaunaona hali hiyo. Hii inatokana na uwezo wa chama, lakini siku zinavyoenda vyama vya upinzani vitakuja kucover pia nchi nzima.Ruzuku kubwa wanapata CCM na ndio maana wana wagombea kila kona. Pia pesa za UFISADI zinawasaidia sana. Tuzidi kuhamasisha wananchi waelewe umuhimu wa kugombea kwa wale menye sifa ili tujitanue na sisi. nadhani umeipata picha ilivyo.
 
JF tutapata kwanza kabla ya hao Mwananchi

Ukitaka kujua kuwa JF inaongoza na iko makini na jinsi hao jamaa wa mwananchi wasivyoaminika, angalia mgombea wa Chadema wilaya ya Kyela na mgombea wa Chadema Ubungo. Sina akika kama Chadema ina kina John Mnyika wawili. Labda mimi ndio siko makini.Labda jamaa ameamua kugombea majimbo mawili, kitu ambacho pia hakiwezekana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom