Live stream link ya mechi ya Taifa Stars leo

kule kwenye kona ya sport kuwa eneo kubwa tu la kupata up to date za mechi... ni bora ungeipeleka huko
 
Duh!! imekuwaje iwe sare? shida yetu tunahitaji magoli ya zali siyo yale ya move na ufundi wa kufungu. Kazi ipo, ila tusikate tamaa, huenda tukawafunga Cameroon na wengine wote.
 
Matokeo ni moja kwa moja, sijui tukienda kwao itakuwaje,hii ni mara ya pili Mauritius kugoma kufungwa na wabongo ktk mashindano ya World cup
 
No strikers in our team....kwa aliye bahatika kucheki ile game can prove me rights..we were like Ze Gunaz Possesion kibao magoli hamna......tutafika kweli kwa hali hii?...Maxio watch out plz..!!
 
Anybody with the link...Kindly help please wengine tuko mbali na tunapenda nchi yetu regardless ya madudu ya viongozi wetu wanavyodumaza soka letu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom