Live: CLOUDS FM/TV & TBC mtaonesha lini Mazishi ya General Kyaro

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Je General Kyaro hakuna na mchango wowote katika taifa la tanzania?
Hapa nipo nasubiri TBC:mimba:clouds Tv kuonesha live mazishi ya our Beloved General Kyaro


RIP G. Kyaro
RIP Kanumba
RIP Katiba mpya
 
Shujaa wetu wa ukweli ambaye kafariki akiwa msafi muadilifu hakuna hata media moja inayodhubutu hata kutoa wasifu wake ila wazinzi na walevi walipewa airtime ya kufa mtu,kweli hii inchi imeoza au tuanze kuamini ufree manson nini?
 
Back
Top Bottom