LIVE bungeni: Waziri wa fedha anasoma bajeti ya serikali 2012/2013

Nimekurupuka kutoka kwenye kikao kuwahi updates humu naona blah blah tu! imekuwaje leo JF tumeshindwa kurusha live hiyo hotuba?

Mkuu bajeti ya kisanii tu, how comes govt itegemee au ione kwamba plate namba za magari zikiwa na jina la mtu ndio ku-widen tax base, mpumbavu mtupu huu, mimi nilitegema wangewabana kina barrick au kwenye watalii au uvuvi wa samaki, wamebaki na utegemezi wa bia na sigara. Mkuu hawa watu ni wapuuzi tu, yani utafikili ni ma-ZOMBIS.
 
Haya mambo ya bajeti huwezi pata updates, we subiri wale wabunge wetu wakianza kuonge hata kama ni pumba utaona watu wanareport kwa wingi na kusifia au kuponda, hii ndo jf,
 
Mkuu bajeti ya kisanii tu, how comes govt itegemee au ione kwamba plate namba za magari zikiwa na jina la mtu ndio ku-widen tax base, mpumbavu mtupu huu, mimi nilitegema wangewabana kina barrick au kwenye watalii au uvuvi wa samaki, wamebaki na utegemezi wa bia na sigara. Mkuu hawa watu ni wapuuzi tu, yani utafikili ni ma-ZOMBIS.
Hata mimi nashangaa, ina maana serikalini hakuna watu wenye mawazo mapya? Kila siku ni kuongeza bei kwenye vinywaji tu.
 
Naacha kunywa vinywaji vya wiwandani kuanzia mwezi wa saba, ni mwendo wa maji tu. Nisije nikafilisika bure.
 
Back
Top Bottom