Live BBC swahili mjadala wa kuhusu posho na mishahara ya wabunge

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
sasa huyu Mkamia ndio Ametumwa na Mafisadi wa kodi zetu aje atetee unyonyaji wa hali ya Juu, msikilize anavyoongopa,
Anasema Eti pesa ya anayolipwa kama sitting allowances anatumia kama pesa za mafuta, wakati anarudishiwa pesa za nauli/mafuta akifika Bungeni.
NARUDIA SIONI MBUNGE MAKINI CCM YOOTE, SIMUONI MTU MAKINI HATA KWA HAWA WANACCM MITAANI
 
Kuna mjadala bbc kuhusu posho na mishahara ya wabunge.Tanzania yupo zitto akitetea posho (sitting allowance) zifute na JUMA NKAMIA akitetea posho ziendelee na zaidi ya hivyo ziongezwe. Tafadhari fuatilia
 
kwahiyo ccm wametafuta mmbunge makini wa kutetea hilo ndio wakamuona Mkamia anaweza, kweli hiko chama kinakufa
 
Kuna mjadala bbc kuhusu posho na mishahara ya wabunge.Tanzania yupo zitto akitetea posho (sitting allowance) zifute na JUMA NKAMIA akitetea posho ziendelee na zaidi ya hivyo ziongezwe. Tafadhari fuatilia

ah! Hata Juma Nkamia? Suji CHIEF WHIP wa ccm anatumia fimbo gani kuwachapa hawa wabunge wa ccm maana wote wanaonekana kuwa kama mazezeta. Privately wanasema kimoja lakini mbele ya hadhara wanaonekana kusema jengine kabisa. Nidhamu ya woga. Hata hivyo nashangaa sana Juma Nkamia kushuka viwango kwa kasi ya kutisha!
 
Juma Nkamia aongelea kuwa per diem ya 80,000 anaitumia kwa mafuta ya petroli lakini Zitto amuumbua kwa kumwambia kuwa mafuta ya gari wabunge wanalipiwa na Bunge na lita za petroli hazihusiani na Posho ya 80,000
 
Usimshangae Juma Nkamia. Amefadhiliwa na Dewji.
 
JUMA nkamia anasema kama kiranja mkuu kuwa zinawasaidia kuwasaidia wananchi anasema hata cdm wanachanganya wengine wakisema kuwa si chadema kama chama bali watu wachache wanaotafuta umaarufu
 
Kenya ndio balaa wabunge wanazidi hadi nchi za ulaya kama sweeden na uingereza
 
Wadau kunamjadala wa posho na mishahara kwa wabunge!nkamia anadai posho zinamsaidia kuwapa wapiga kura wake!source bbc kiswahili
 
Nimeamini Nape ana akili kuliko CCM yote, ndo maana akawa diplomatic kuwa suala la posho si kila kinachosemwa na Wapinzani hakina maana, suala la posho linazungumzika. Kama wabunge wa CCM wana akili za Nkamia basi Taifa lipo mashakani na sasa najua why kwenye kura za maoni za ubunge wa CCM huwa wanataka kuuana.

Kwa maoni yangu, Nkamia kashindwa kuitetea CCM kwenye huu mdahalo wa posho, amewatia aibu kama alivyotia aibu PM Pinda.

Zitto kamgaragaza Nkamia
 
nkamia alimwambia zito kwanini hajazungumzia swala la posho tangu awamu yake ya awali kwenye bungu, zito ajhbu kama mtu alikuwa mlevi na ameamua kuacha pombe unamuuliza kwanini hukuacha pombe mwaka jana. nkamia anasema kuwa zito ni mjanja kama sunguru eth akilala jicho moja analiacha wazi. hapo ni kweli maana tunawaona wanavyofunga macho yote hata mjengonh. nimetamani kuwa mbunge mwaka kesho natangaza nia kumbe kuna pesa za bure hakuna kuumiza kichwa
 
Kuna mjadala bbc kuhusu posho na mishahara ya wabunge.Tanzania yupo zitto akitetea posho (sitting allowance) zifute na JUMA NKAMIA akitetea posho ziendelee na zaidi ya hivyo ziongezwe. Tafadhari fuatilia
Juma Nkamia aongelea kuwa per diem ya 80,000 anaitumia kwa mafuta ya petroli lakini Zitto amuumbua kwa kumwambia kuwa mafuta ya gari wabunge wanalipiwa na Bunge na lita za petroli hazihusiani na Posho ya 80,000
 
Kwa kweli Mkamia ametia aibu. Ni aibu kwa mtu mwenye uelewa kama Mkamia kutoa lame arguments kiasi hicho tena kwenye radio ya kimataifa. Hi inaweza kutafsriwa kuwa ndio uelewa wa watanzania unapoishia. Sijui ni nini tutaepuka fedheha hizi!
 
Nkamia ni poyoyo. Nimependa jibu la Zitto kuhusu kukataa posho mwaka huu na siyo zamani
 
hi dudettes and dudes!!!
this is my very first active contribution to this esteemed JF as finally today i decided to "enroll" myself!!! JF thence its members has been a source of inspiration to me in the last 2 yrs as I've witnessed people from all social extractions participating actively in difining their destiny. This JF has been a very liable and trustfull source of information and sometimes knowledge as well - it's my magic remedy against nostalgia!
In this forum i have "known" some who are really GREAT THINKERS and others who are NOT THINKERS AT ALL - mutatis mutandis!
In the last few months you have witnessed many people joining your forum trying to tarnish your achievements as a forum, just to be clear I'M NOT and NEVER WILL I BE the KIKARAGOSI of what you ironically call CHAMA CHA MAGAMBA(CCM) for a very simple reason - I have a BRAIN(at least I believe!!!) and it's not in PAUSE so there's no way I can be managed by NEPI & Co!!!!

I know MAGAMBA like most of you and we all know vulpem pilum mutare,non mores!!!

Wakuu salamu kwenu nyote!!!!!!
 
Juma Nkamia bwana eti mheshimiwa zito ni rafiki yangu wa muda mrefu
mbona hakuziomba zitoke zamani

sisi ndio tumeingia kwa mara ya kwanza

duh

kumbe neno kutafuta UMAARUFU kwa wananchi limeibwa kenya
 
Back
Top Bottom