Liti

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Naombeni wadau wa jukwaa la elimu
mnijuze kama hv vyuo vya Livestock Training Insitute (LITI)
kama kuna hata kimoja wapo kimeishatoa nafasi za masomo
au wanasubili wizarani?
 
Cha msingi muda ndo kuanzia mwez 5 2ma application letter wizarani omba DIPLOMA IN ANIMAL HEALTH(DAH) AU DIPLOMA IN ANIMAL PRODUCTION(DAP). Thn nenda kwny chuo husika pia onana na principal andikisha jina akuweke kwny orodha.
 
Vyuo viko wapi mkuu!
 
Back
Top Bottom