Listi ya wabunge MATAJIRI Tanzania

GT na wewe dingi yako fisadi
Kwani hivi dingi yake GT ni (anaitwa) nani? Isije ikawa kuna post anazoweka humu zikawa na uhusiano na mgongano wa kimaslahi! Hata hivyo Mkuu Omega inabidi uwe makini, kwani hata kama unamjua, humu JF kuna sheria za privacy za members !
 
Kwani nimemtaja jina? Huoni hata wewe mwenyewe umeuliza jina lake....sasa hapo privacy wapi na wapi?
 
Utajiri si hoja. Hoja ni kama ameupata kwa njia za kifisadi. Je, Mh. Felix Mrema wa Arusha hapaswi kwenye msururu wa matajiri?
 
Kwani nimemtaja jina? Huoni hata wewe mwenyewe umeuliza jina lake....sasa hapo privacy wapi na wapi?
Yeah, mimi nimeuliza, lakini wewe hujauliza ila umesema. Hapo kusema nina maanisha umetaja sifa yake, ie FISADI, which means unamfahamu, though hujatutajia jina lake, lakini umetufahamisha moja ya sifa zake (tena mbaya). Mimi mwenyewe ningependa nijue uhusiano wa some members wa humu na vigogo serikalini ili niwe makini na matundiko yao, na ndo maana sijakupinga, ila nimekutahadharisha.
 
Off-topic- Ivi bunge la tanzania nalo linatoa individual expenses report? Kuna uwezekano wa kupata hii kitu?
 
1. mo dewji - mkwepa kodi ($25m tax fraud ya edible oil). akitoa $3m kwenye kampeni ya ccm anabakiwa na $22m na kuhakikishiwa ulinzi na kuendelea kukwepa kodi...
hayo ndiyo mambo ya banananananan republic......

Halafu jamaa anajifanya mzalendo kweli. Utasikia jamaa kachangia Taifa stars na pia anasafiri nao na wakirudi na ushindi jamaa mpaka anavua na shati na kucheza hadharani watu wanaona jamaa ni bonge la mzalendo kumbe ndo danganya toto ili aibe zaidi.
 
ntafanyaje...mie

nilikuwa na moto jana weee lakini looks like mambo sivyo nilivyotegemea
 
Hebu njoo upumzike hapa Mapenzi Beach, ni karibu sana na yule mmiliki wa Microsoft.

BTW Forodhani imefunguliwa, lakini hakuna tena Zanzibar Pizza na Juice ya Ukwaju! kuna Burger na Pespi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom