=Listen to the Music and Vote=

Tuendelee kuleta vitu kama hivi JF?

  • NDIYO

    Votes: 41 91.1%
  • HAPANA

    Votes: 4 8.9%
  • SIJUI

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    45
mama weeeee mmenifanya nicheze Kasongo hapa... oh my good lorrrd!! Mngeniona ninavyozungusha wheelchair yangu..!
Lakini mbona ulinyanyuka kwenye hiyo 'wheel chair'?! au mziki ulikukolea sana?...

85z7jpg.gif

SteveD.
 
Kama ambavyo nimeamini siku zote, tatizo kubwa liko kwenye TRA na accounting methods za hao wenye migodi.

Hiyo ratio ya debt/equity sio realistic na hakuna biashara inayoweza kuendeshwa hivyo.

Hiyo kamati ya madini inatakiwa kuwa na wachumi zaidi ya hata wanasheria. Sheria za kimataifa za accounting zifuatwe na kuwe na adhabu kali pale inapoonekana kuna kitu kimekiukwa. Inatakiwa waanze kufuata IFRS (International Financial Reporting Standards.

Hizo annual reports za hayo makampuni ziwe ni public information, hivyo kuwapa nafasi analyst kuweza kuchambua kama hizo results zina make sense.

Zitto, hiyo kamati yenu lazima muombe wataalamu wa hizo Annual Reports ili waone kama zina make sense. Ni rahisi mno kukwepa kodi kwa kuingiza madeni makubwa hata kama kampuni inapata faida.

Tunaibiwa sana Tanzania.

Asante sana mkuu invisible.

Sasa ushahidi uko wazi kwamba tunaekea kwenda kupoteza fedha za walipa kodi kwenye kamati ya Bomani. Kazi walizopewa ni kama hizi ambazo kamati ya Masha imezifanya. Kamati ya Masha ilifanya ilichotumwa ikaishia hapo. Katika mapendekezo yao hawajazungumza masuala ya umiliki wa migodi na mikakati ya kuhakikisha mzunguko wa fedha za madini unabaki nchini. Hawajachunguza ufisadi katika mikataba. Hawajatazama uvunjanji wa haki za binadamu katika migodi wala uharibifu wa mazingira. Wamefanya walichotumwa na kutoa mapendekezo mepesi. Bomani nae atafanya hivi hivi. Njia pekee ni hapa JF tuchambue na tuwaambie tunategemea ripoti iweje. Kwa kufanya hivyo wataandika ripoti kwa matakwa yetu kwa kuhofia aibu.

Asha
 
If you don't care, just check out my Signature!

Asante sana kwa muziki wa kizazi kipya maana kina mwanakijiji walikuwa wametufunika na miziki yao ya zamani (Invisible unaona sasa ulichoanzisha kwa kuanza na muziki mgumu kucheza...lol)

Hii yako CMB ni kali pia kwa kuanzia ijumaa na weekend
 
Ha ha ha hah,

Mwanakijiji watu wa insurance wamekukamata na claims zako za disabilities (sijui unafoji vipi) ha ha ha ha ha ha

Duuh, kumbe nawe unawashitukia mapema sana benefit fraudsters... lol, huwezi kukuta hata jicho lake moja ni la kubandika tu!!
MwK, umenikumbusha kuna wakati fulani nilibahatika kusafiri na kufika huko London.. nilikuwa nasubiri usafiri wa umma barabarani wa basi, wakati nasubiri kuna kijana mmoja akaja akiwa kwenye wheel chair, kwa vile mabasi yao huko mengi yana milango miwili miwili, mmoja wa kuingilia na mwingine wa kutokea, saa nyingine nadhani huwa wanaruhusu wale wanaotumia wheel chair kuingilia mlango wa kushukia. Basi, jamaa huyo akaingia ndani ya basi liliposimama kupitia mlango huo. Lakini baada ya kupita kama kituo kimoja tu hivi, katikati akaona jamaa zake wakipita kandokando ya barabara, akawapungia mkono, na sijui alikuwa na shida gani nao, ikambidi abonyeze kengere ili ashuke kituo kifuatacho.

Wasafiri ndani ya basi wakitaka kuonyesha usamalia mwema wakajitayarisha kumsaidia kusukuma wheelchair yake ili ashuke bila tatizo.

Tobaaaaa.... walahi, kabla hata ya basi halijasimama, tulishikwa na butwaa ndani ya basi, wote macho yalitutoka kama vifaranga walio ona mwewe... 'yule mlemavu' alinyanyuka haraka haraka kutoka kwenye wheelchair yake na kukikunja kiti chake hicho ili ashuke haraka na kuwakimbilia rafiki zake... yote haya yalikuwa katika kuepuka kulipa nauli ya basi... mwenzangu, mbona nilijionea ya huko ulaya miye!!

ha ha ha ah ha,

Naona unataka ugomvi wewe! Au hujatumia dozi leo?

Unataka kusema mwanakijiji anatumia wheel chair ili asilipe nauli ya basi? hii kali baba!
 
Halikuwa jambo baya kwangu kwa yule kijana kumpatia liiiiiiift x 2
Kama unavyofahamu yapata wiki ya tatu, gari langu lina matatizo ya kuzimika zimikaa ooooh, mume wangu ooooh, oooooooh.x2

Kutoka nyumbani oysterbay, kufika salenda, gari langu lilinizimikiaa, na yule kijana alinisaidia kusukuma, mume wangu, oooh oooooh oooohhx2

Kilichonishangaza siyo lift mama watotoo,
Ni tabasamu na vicheko mulivyokuwa navyo ndani ya gari

Nilichanganyikiwa midomo ilianza kunicheza x2
Mfano wa mtu aliyemeza kijinga cha moto, mfano wa mtu aliyemeza kipande cha moto mama watoto

Paaaaaaaaamba mooooooto, awamu ya pili.
Huo wimbo unaitwaje na uliimbwa na nani?
Hiki kibao ni kikali japo santuri imepata scratches kidogo,lakini inaplay mpaka mwisho.
Thank you MWANAMALUNDI!!

SteveD.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom