List ya Waliomwagwa Uwaziri+Unaibu

Wadau ebu tutajieni list ya waliomwagwa Unaibu na Uwaziri.

Naanza na
1.Ngeleja
2.Maige
3.Nundu
4.Chami
5....
6...
7.Mkulo

Hii ni list ya Wanaosubiri uteuzi wa:
1. Ubalozi
2. Ukuu wa mikoa/Wilaya
3. Ukurugenzi wa mashirika
4. n.k
5. ...
 
vp kuhusu naibu waziri wa aridhi bwana OLE MIDEYE. alafu kura za zitto ndo imeishia wapi baada ya uteuzi huu au bado zipo palepale
 
Wadau ebu tutajieni list ya waliomwagwa Unaibu na Uwaziri.

Naanza na
1.Ngeleja
2.Maige
3.Nundu
4.Chami
5....
6...
7.Mkulo
Wameishapata haki yao kwenye keki ya taifa. Nasikia Ngeleja kabla hajawa mbunge na hivyo naibu waziri alikuwa akiishi eneo moja la skwata huko kimara kilungule kwenye nyumba yake lakini leo hii ana mijumba sijui huko masaki. Mungu ampe nini?
 
Hii ni list ya Wanaosubiri uteuzi wa:
1. Ubalozi
2. Ukuu wa mikoa/Wilaya
3. Ukurugenzi wa mashirika
4. n.k
5. ...

Is it possible? Maana si watabaki na kofia za ubunge? Au ndio mambo ya kugeana ulaji na kuvimbashana tumbo na kutafutiana pressure na kisukari?
 
Plate namba ya gari lake (lazima litakuwa jipya) itasomeka W AW (Waziri Asiye na Wizara)! Sijui jengo la wizara yake litakuwa wapi na wizara sijui itakuwa na watumishi wangapi. Sanaa bana!
SIdhani kama wanakuwa na jengo na muundo wa utumishi. Hata enzi za Nyerere walikuwapo namkumbuka Marehemu Twalipo. Kawawa waliwahi kuwa mawazari wasio kuwa na wizara maalum. Ila kwa uhakika utakuwa unaletewa magazeti
 
bado najiuliza inakuwaje mponda na nkya wakachinjiwa baharini lakini kwenye wizara ya nishati na madini akaumia ngeleja lakini malima akapona? hmmm...!
Hussen Mwinyi -(mzee wa mabomu) na Adam Malima - (Mzee mwenye utata wa kumiliki SMG) hebu jaribu kudurusu historia uagundua kuwa wanamdai! na HAJAMALIZA DENI nadhani hadi 2015. Ukiendelea kujiuliza hawa jamaa wanabakibakije utapata BP bure! we huwa huoni Malima anavyoongea kwa kunesanesa na kiburi? anajua JK hajamaliza deni.
 
Mwandosya anaumwa, hakustahili hata kuitwa waziri. Au jamaa kaamua kumtunzia heshima bosi wake wa zamani. Hii serikari ya kishikaji hiiiiii, mweeeeeee!!!!!!!!!!!!

Wamuondoe kwa mapungufu yapi? Watu wa mbeya wataelewa unadhani? Mbeya kuna shughuli mkuu.
 
bado najiuliza inakuwaje mponda na nkya wakachinjiwa baharini lakini kwenye wizara ya nishati na madini akaumia ngeleja lakini malima akapona? hmmm...!

Malima amewekwa pale angalau arudishe mali za babaake walizotaifishwa enzi zile
 
Pamoja na kwamba mkuu wa kaya ndo tatizo lenyewe ila kitendo chakuongeza manaibu waziri wawili licha ya ukubwa wa baraza lake la mawaziri na gharama zinazotumika kulihudumia huu ni msiba na dharua kwa watanzania we need to change and change this corrupt leadership.
 
Mie nashindwa kumwelewa JK sijui ni mtoto, mwoga au vipi??

Mwandosya anaumwa, angemwacha tu... ajiuguze kwanza, kama ni kwa ajili ya kumsaidia akiumwa ingekuwa akiwa nje

ya uwaziri"".

My Take: Kama kuumwa kingekuwa kigezo cha mtu kinyimwa nafasi za uteuzi, pasingekuwa na anayestahili kuteuliwa nafasi hizo...hebu cheki siha za waheshimiwa wetu..wengi wana ujazo (obesity) uliopitiliza kuashiria wana maradhi ya utapiamlo. Au jipime mwenyewe kabla ya kuwahukumu wengine..Una afya timamu?

Hiyo mkuu ni mpya - au nakosea ni ya zamani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom