Elections 2010 List ya Viti Maalum CCM: Efraim Kibonde Yumo??

Status
Not open for further replies.
haki ya nani vile
ivi viti maalaum ni wanawake tu????why??
 
kibonde hebu tuambie, huwa unafanyaje? unafunika sura au macho makavu? maana duuh!! namaanisha wakati wa kusoma habari. si umenielewa eeeeh? nanihii nae anavua miwani au anaendelea kuvaa? mara nyingi huwa ni dodoma au dar? kaaazi kweli kweli!!! clouds bana!!
 
Umbea na majungu siyo tabia nzuri hasa kwa mwanaume unaweza ukapewa mkeka na kusutwa ila bahati yako kibonde kama jina lako lilivyo hakuana mtu wa kuhaingaika na wewe vinginevyo upewe sketi au gauni ugombee viti maalumu utapewa sasa ule umbea wote wa nini!!!!!!!????? wanaume wa maukweli hatuna muda na tabia za kishoga
 
Kibonde kuna kazi ya kumwendesha Mh. Sugu kama unahitaji peleka maombi kwa Sugu.
 
Nasikia orodha ya vitu maalum CCM imetoka.

Je, Ephraim Kibonde yumo??

Viti maalumu si huwa vinatolewa kwa wa jinsia ya KIKE . Vipi jina la kiume EPHRAIM lihusishwe na viti maalumu. kwani kabadili jinsia?????/
 
nahisi kibonde alichelewa kupeleka jina lake alafu huyu si ndio alikuwa na bifu na mkewa naniiiiiiiiiiiiiii sidhan kama wangemchagua mmaana wanaochakachua hilo goma alikuwepo pole kibonde jitahd 2015 5yrs tu
 
leo ndio unafahamu kuwa ni mke wa nani>!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kalagabaho!!!!!!!!!!!!!!!!!kaingia mjengoni
 
Ndugu zangu watanzania mimi nataka niulize hivi Kibonde ni mtanzania au Msomali maana hawa jamaa mi wameniudhi mno safari hii, kazi yao kuwatetea mafisadi.

Embu ona wote ambao si watanzania halisi wanavyotusumbua. kinana, Rostam, Manji, Kibonde, Mkulo

na wanafanya ufisadi hadi kuchakachua kura ili waendelee kuila nchi, amkeni waTZ halisi vinginevyo hawa jamaa watatuachia vumbi tu.

Nadhani wanafahamu chadema tukichukua nchi maisha yao yatakuwa magumu kinoma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom