jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Sasa mkuu solution ni kuchagua nani anafaa na nani hafai kwenye serikali ambayo ni kama haina "legitimacy"?kaka hilo neno 'mliwachagua' ni tusi kabisa kwetu. Walijiteua wakishirikiana na dola na tume ya uchaguzi wadanganyika wachache sana. Watanganyika tulio wengi tulipigia cdm
Hao wakishaachia ngazi,then JK ateue wengine watakaofanya kiunyume na matakwa ya nani?
Kwani hao mnaotaka waachie ngazi walikuwa wakitekeleza matakwa ya nani?
Dou you see what im sayin?