List ya vigogo wanaotakiwa kuachia nyadhifa zao

naunga mkono hoja no.12 haondoke maana anacheka cheka tu na mambo serious

Huyu mama Mwenye mwanya chini kama Kondoo......aondokeeeeeeeeee.
A%20S-danger.gif
:hatari:
A%20S-danger.gif
 
Let's think how 2 implement!

hii ndio hatua ya pili. Na hili ndio tatizo letu. Utekelezaji wa mikakati. Hatujawasikia hata cdm na viongozi wa dini wakilitolea hili ufafanuzi hasa baada ya bunge la juzi kumaliza muda wake.
 
Wengine ni wakuu wa mikoa wote walioteuliwa kutokana na kujuana au kulipana fadhila hasa wale walioshindwa kwenye kura za maoni, wakuu wa wilaya wanajeshi, wabunge wa kupendelewa watokanao na rushwa hasa ya ngono. Wengine ni Jakaya Kikwete na mawaziri wake walioghushi na hovyo kama vile Makongoro Mahanga, William Lukuvi, Celina Kombani, Sofia Simba, Matayo Matayo,Shukuru Kawambwa, Hussein Mwinyi, Stephen Wassira, Salva Rweyemamu, Mary Nagu, Ezekiel Maige, Mrindoko wa EPA, Seif Sharrif Hamad, Augustine Mrema, Ibrahim Lipumba, Mbatia, Benard Membe wengine nitataja baadaye.
 
Naunga mkono mia kwa mia kama akina magamba hasa kwa kutomsahau bi chau a.k.a bi kiroboro
 
CHADEMA mnajua fika kuwa tupo nyuma yenu. Nyie ndio dira ya pekee kwa sasa. Hakuna dira nyingine tena. Hakikisheni na mtuhakikishie sie wananchi kuwa yale mnayosimamia yanatekelezwa, hata kama si kwa njia ya kuandamana wala kumwaga damu. List ya wale wanaotakiwa kuachia madaraka yao ni ndefu sana hadi kufikia serikali nzima chini ya ccm. Kifupi serikali iliyopo haitakiwi. Haijalishi watakuwa na kauli tamu kiasi gani huko mbeleni, mtuambie ni mikakati ipi ambayo nyie kama chama mmeipanga ambayo kila mwanamageuzi anaweza kuitekeleza. Hii ndio njia pekee ya kutekeleza mkakati wa kuwaengua hawa wote waliotajwa kwenye uzi huu
 
Na Wasira yuko wapi? Huyu ndo mwnyw tena anatakiwa aondolewe coz ni kisiki cha kupnga democrasia!
 
Wengine ni wakuu wa mikoa wote walioteuliwa kutokana na kujuana au kulipana fadhila hasa wale walioshindwa kwenye kura za maoni, wakuu wa wilaya wanajeshi, wabunge wa kupendelewa watokanao na rushwa hasa ya ngono. Wengine ni Jakaya Kikwete na mawaziri wake walioghushi na hovyo kama vile Makongoro Mahanga, William Lukuvi, Celina Kombani, Sofia Simba, Matayo Matayo,Shukuru Kawambwa, Hussein Mwinyi, Stephen Wassira, Salva Rweyemamu, Mary Nagu, Ezekiel Maige, Mrindoko wa EPA, Seif Sharrif Hamad, Augustine Mrema, Ibrahim Lipumba, Mbatia, Benard Membe wengine nitataja baadaye.

weka kwenye column mkuu ili unogeshe habari..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom