List ya recruitment agencies Tanzania

kama 2011 zilikuwa nyingi hivyo basi sahivi ndo itakuwa balaa,washaona ajira tatizo so wanaitumia hiyo fursa kuwanyonya graduates
 
Kwa anayehitaji email addresses au namba za simu kwa contact persons wa kila kampuni tafadhali unipatie email address yako na leo jioni nita forward spreadsheet yenye kila kitu.
Nitumie hizo email address please....augo20032000@gmail.com
 
Kuna chemical na process engineer anatafuta kazi maeneo ya Morogoro Mjini na viunga vyake. Alijaribu Tumbaku na alliance one ikashhindikana.
Katika list hiyo ya maagent nani kabobea maeneo ya Morogoro?
 
Back
Top Bottom