List ya mafisadi UDOM

Status
Not open for further replies.

namboyo

Member
Apr 8, 2011
58
6
katika katiba ya jumhuri ya muungano ya tanzani kila mtu ana haki ya kulinda mali za jamii .viongozi wa serekali ya wanafunzi wamevunja katiba.wametumia pesa vibaya .wafuatao ni mafisadi 1saimoni baisi 2 Ruta fredrik 3 MTINANGE 4 CHARSE 5 KISAUTI 6 NICOLAS MMANYI.HAWA WAMESHIRIKIANA KUIBA PESA ZA WANAFUNZI CHUO CHA DODOMA
 
Wameiba sh. Ngapi na accnunt imebaki na sh. Ngapi? Je Mmewachukulia hatua gani baada ya kudhibitisha kwamba wameiba..
 
Tamko hili ni lako binafsi au ni tamko la wanachuo?Kama ni lako binafsi una uhakikia na hilo swala?na kama ni tamko la wanachuo conclusion ni ipi?tufafanulie zaidi basi.
 
Wameiba sh. Ngapi na accnunt imebaki na sh. Ngapi? Je Mmewachukulia hatua gani baada ya kudhibitisha kwamba wameiba..
 
Kubwa lao ni Professa Mlacha, hao wanafunzi ni vifisadi vidogo vidogo.
 
ungeweka data vizuri ingekaa poa, wamechukua katika mazingira yepi na sh ngapi umejuaje etc
 
waaache waiba mana mana kirefu cha abbreviation ya neno la chama ni chukua chako mapema
 
Nachangia nikiwa kama mmoja wa viongozi wa udoso,hawa wameshiriki ubadhirifu wa zaidi ya milioni ishirini(20 mil.),vinara wakuu ni rais na waziri mkuu wake
 
Unajua top leadership ya nchi ikishaoza basi kila mahali panaoza. Haya ni matokeo ya top leadership iliyo oza.Nani sasa atamfunga paka kengele?
katika katiba ya jumhuri ya muungano ya tanzani kila mtu ana haki ya kulinda mali za jamii .viongozi wa serekali ya wanafunzi wamevunja katiba.wametumia pesa vibaya .wafuatao ni mafisadi 1saimoni baisi 2 Ruta fredrik 3 MTINANGE 4 CHARSE 5 KISAUTI 6 NICOLAS MMANYI.HAWA WAMESHIRIKIANA KUIBA PESA ZA WANAFUNZI CHUO CHA DODOMA
 
Chuo hicho hakina Bunge la wanachuo? Kama lipo wangeitisha kikao cha dharura na kujadili issue hiyo inayogusa umoja wao.
 
hivi huko makanisani wanaenda kufanya nini? mbona kila siku wanaiba tu. miaka 50 sasa wako madarakani kazi yao ni kuiba tu. UDOM wanaiba, UDSM hivyohivyo, SUA, Mzumbe nk. I'm tired with this stupid.
hawa watu hawana ubinadamu hata kidogo. sijui ni watu waaina gani. yaani mimi nachukia kila siku ninapoona hivi. mbona kuna watu wengi tu tena wachamngu wanaweza ongoza. What is the problem with you pipo?
 
katika katiba ya jumhuri ya muungano ya tanzani kila mtu ana haki ya kulinda mali za jamii .viongozi wa serekali ya wanafunzi wamevunja katiba.wametumia pesa vibaya .wafuatao ni mafisadi 1saimoni baisi 2 Ruta fredrik 3 MTINANGE 4 CHARSE 5 KISAUTI 6 NICOLAS MMANYI.HAWA WAMESHIRIKIANA KUIBA PESA ZA WANAFUNZI CHUO CHA DODOMA

Je, uko mwaka wa kwanza? Mbona thread haina mshiko? Huu ni uwanja wa Great Thinkers siyo sehemu ya Umbeya hapa. Usipo toa evidence, basi wewe ndo fisadi.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom