List oh 62,000 hacked email addresses and their passwords

Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,915
709
Wana JF,
Hii ni list ya 62,000 email addresses zikiwa na password zake ambazo zimetolewa na Hacker group wanaojiita "Lulz Security".
Hii listi ni mpya na passwords zilizobainishwa nyingi bado hazijawa disabled.

Angalia kama email address yako ipo au ya rafiki yako / ndugu yako ipo. Take measures to protect yourself online!

Link:
http://lulzsecurity.com/releases/62000_random_logins.txt
 
Hao lulz sec Jana ililukuwa zamu watu kutuma maombi kwenye IRC chat room yao kuchagua tovuti gani wanataka ishambuliwe. Teh teh teh.

Ila nachojiuliza wanatumia security gani ya kuficha identity/location zao ambazo twiitter wanaweza kushindwa kugundua.

Jamaa hawa Twitter wamepinda.
 
mkuu email zote zipo dissabled mkuu

dah hawa jamaa washakuwa gumzo

Mkuu kuna ambazo watu bado hawajazi disable, nilitest nkakutana na email tatu ambazo zilinipeleka mpaka kwenye inbox
 
Hao lulz sec Jana ililukuwa zamu watu kutuma maombi kwenye IRC chat room yao kuchagua tovuti gani wanataka ishambuliwe. Teh teh teh.

Ila nachojiuliza wanatumia security gani ya kuficha identity/location zao ambazo twiitter wanaweza kushindwa kugundua.

Jamaa hawa Twitter wamepinda.

Inawezekana wanatumia Tor project. Tor ina uwezo wa kuswitch IP ya mtumiaji kila baada ya dakika 5. There is no possible way to track a person who is using Tor
 
Back
Top Bottom