List of Rostam and Akram Aziz companies & Mohamed Enterprises

Dowans,Vodacom(mirambo), Richmond...CCM..hehe

hii hoja nazani mtoaji amesahau kuweka sababu za kuileta..maana hata mimi na umasikini wangu nazani namzidi rostam kwa idadi ya makampuni...
suala ni;
1.je kampuni hizo zinafanya biashara gani sasa??
2. zimeajiri watanzania wangapi??
3. zinalipa kiasi gani cha kodi kwa serikali?
4. zimefunguliwa kisheria??
5. zinachangiaje maendeleo??
6. zinapata wapi pesa, zina madeni benki? kama zilikopa zilipataje mkopo??
7.je ziko wapi sasa??
8.....

kama alivyotoa vielelezo kuhusu kampuni za mengi basi atokee mtu nae aeleze maendeleo ya kampuni hizo...
 
Kwa maana nyingine mtoa hoja ndiye FISADI au?
 
Mimi ninaona mafanikio katika vita dhidi ya rushwa ni kuhakikisha ninapambana na ku-shutdown mfumo mzima unaofanya rushwa iwepo na kuendelea kuwepo. Nina hakika mfumo wa rushwa utakapoweza kudhibitiwa ni wazi kabisa na wale wote wanaohusika na vitendo hivyo watakuwa wamezimwa. To me kupambana na mtu mmoja ambaye hata ukakika kwa maana evidence ni ngumu na hujui amezungukwa na nguvu gani katika mfumo ni sawasawa na kupeleka haya mapambano katika direction ambayo haitazaa matunda yatakayokuwa na manufaa au kumaliza mfumo wa rushwa.

Ninazidi kutoa changamoto kuwa haya mapambano kama ni ya RA vs nyie, that good for you, lakini kama ni ya rushwa basi I beg to differ with you guys, you are in wrong way, hamuoneshi kupambana na rushwa rather than RA.

Niko kwenye jahazi lako mkuu

Respect.

Kasheshe
 
Kwa maana nyingine mtoa hoja ndiye FISADI au?

Hitimisho lako ni zuri , lakini ninasikitika kukuambia tunaendelea kupata List ya wafanyabiashara wote wanaoshirikiana na RA kuiba na kuficha mali za masikini, sasa hivi tunafahamu kwamba Mohamed Enterprises nayo inahusika kumficha huyu bwana kama wanabisha waje hapa jamvini na wakatae kwamba RA hana shares kubwa katika kampuni zao.
 
Niko kwenye jahazi lako mkuu

Respect.

Kasheshe

Sikuzote wanasiasa na hawa matapeli wamekuwa na makumpuni bubu yakufichia hizi pesa za wizi. Ninaamini it make alot of sense kujua sehemu zote wanapoficha pesa zetu, hata kama ni jersy au Dubai na penginepo duniani, Hii itatusaidia kujua mengi. Bahati mbaya tu ni kwamba katika majina ya makampuni mengi yaliyotuibia kila ukinusa mh Rostam yupo, sasa sisi tumsaidiaje? Kama alikuwa anafikiri ana tu outsmart basi sisi tunamvua hiyo ngozi ya kondoo..
 
Dowans,Vodacom(mirambo), Richmond...CCM..hehe

hii hoja nazani mtoaji amesahau kuweka sababu za kuileta..maana hata mimi na umasikini wangu nazani namzidi rostam kwa idadi ya makampuni...
suala ni;
1.je kampuni hizo zinafanya biashara gani sasa??
2. zimeajiri watanzania wangapi??
3. zinalipa kiasi gani cha kodi kwa serikali?
4. zimefunguliwa kisheria??
5. zinachangiaje maendeleo??
6. zinapata wapi pesa, zina madeni benki? kama zilikopa zilipataje mkopo??
7.je ziko wapi sasa??
8.....

kama alivyotoa vielelezo kuhusu kampuni za mengi basi atokee mtu nae aeleze maendeleo ya kampuni hizo...

Hiyo itakuwa ripoti ya Mwisho mzee , Tutaiona tu, na tutaisoma kwa utulivu na itajibu maswali yako yote
 
Hitimisho lako ni zuri , lakini ninasikitika kukuambia tunaendelea kupata List ya wafanyabiashara wote wanaoshirikiana na RA kuiba na kuficha mali za masikini, sasa hivi tunafahamu kwamba Mohamed Enterprises nayo inahusika kumficha huyu bwana kama wanabisha waje hapa jamvini na wakatae kwamba RA hana shares kubwa katika kampuni zao.

Hakuna lolote, shauri yako, unaweza kuja kumpandisha chat.

I'm sure 5 years down the line, utagundua ulikuwa unaandika u2mbo.

In short you are wasting your time, umaskini wako/wetu unasababishwa na uvivu wetu na siasa zetu za ujamaa na kufanya kila kitu siasa hata vile ambavyo havistahili kuwa siasa... sio watu watano ati ndio sababu ya umaskini Tanzania!

Kuna nchi iliyokuwa na ufisadi kama Kenya mbona wako mbali zaidi yetu? Siri kubwa wanafanya kazi... full stop.
 
Hiyo itakuwa ripoti ya Mwisho mzee , Tutaiona tu, na tutaisoma kwa utulivu na itajibu maswali yako yote
Kwa nini usingesubiri ufanye kila kitu utuletee kitu chenye maana... kuliko kutuletea upupu hapa... do you think watu wana muda wa kusoma list za makampuni si wangeenda BRELA???

Kaka how old are you?

Au ilikuwa kampeni za nitoke vipi? kama ni hivyo mkuu umetoka poa, sasa tunakuona mkuu... congratulations.
 
Hakuna lolote, shauri yako, unaweza kuja kumpandisha chat.

I'm sure 5 years down the line, utagundua ulikuwa unaandika u2mbo.

In short you are wasting your time, umaskini wako/wetu unasababishwa na uvivu wetu na siasa zetu za ujamaa na kufanya kila kitu siasa hata vile ambavyo havistahili kuwa siasa... sio watu watano ati ndio sababu ya umaskini Tanzania!

Kuna nchi iliyokuwa na ufisadi kama Kenya mbona wako mbali zaidi yetu? Siri kubwa wanafanya kazi... full stop.

Binafsi mimi sio masikini , Watanzania sio wavivu hauwatendei haki men and woman who wake up evryday in the morning and go and try to feed their family wakati watu wanagawana hazina ya Taifa.Hii isingekuwa siasa kama pesa za umma/masikini/walipa kodi zingekuwa haziibiwi au hazihusushwi katika utekelezaji.
 
Ni kweli wewe binafsi sio maskini,,, si unajua mkuu una-at least access to mtandao wa computer duniani.

On another hands, Now I understands kwa nini unabwatuka ovyo!!!

Okay wish you all the best!!! Ila mkumbuke muumba wako... kudhania watu uwongo ni dhabi kubwa.

One day, unajibu haya... kuamka asubuhi na kwenda kuuza pipi... is hardworking si ndio mkuu...

Yeah... wewe kiboko mkuu.

Ati ni makosa Mh. Rostam kuwa na share na Mohamed Enterprise, na mtu yeyote... yule hapa nchini au nchini kote... kwa nini munaendelea kufikiria kijima wakati wa upebari au treni ya mabadiliko imewaacha?
 
Ni kweli wewe binafsi sio maskini,,, si unajua mkuu una-at least access to mtandao wa computer duniani.

On another hands, Now I understands kwa nini unabwatuka ovyo!!!

Okay wish you all the best!!! Ila mkumbuke muumba wako... kudhania watu uwongo ni dhabi kubwa.

One day, unajibu haya... kuamka asubuhi na kwenda kuuza pipi... is hardworking si ndio mkuu...

Yeah... wewe kiboko mkuu.

Kipi ni uwongo? Ni Uongo kwamba RA ni fisadi? Ni uongo kwamba kuna walimu hawajalipwa malimbikizo ya mishahara yao while people stealing public funds? Ni uwongo Tenaseco imeshindwa kusambaza umeme nchini because ya kunyonywa na makampuni kama dowans? Please be sensible a bit....I will honor mtu yule anayeamka asubuhi kwenda kuuza pipi kihalali than anyone who steal for poor.
 
Last edited:

Hehehehe kweli mzee umeishiwa na hekima!

TANESCO iliundwa mwaka gani na DOWANS iliingia mkataba na TANESCO lini? Kwa taarifa yako DOWANS as legal entity haina issue yoyote ya kunyonya na TANESCO fuatilia mambo kwa makini, alafu performance mbovu ya TANESCO haikuanza wakati wa Mkataba na DOWANS... kama ulivyosema... kuwa makini unavyoandika mkuu... Tofautisha DOWANS na RICHMOND... Matatizo ya TANESCO kwa mtu makini anafahamu yalianza wapi... watu wa kupandia mambo ndio hawaelewi pole...
Issue ya Rostam kuwa fisadi umesema utatupatia report mpaka hapo tutakapopata mpaka sasa Rostam tunamjua kama Mtanzania Tajiri, Mfanyabiashara na Mbunge wa Igunda.

Hiyo la ufisadi unatakuwa ku-prove kwa watu wazima mkuu.... sawa!!!!

Ushaidi kwamba umaskini wenu unaletwa na uvivu huu hapa bofya hapa

Huo ni mfano kwenye mifano milions ya mambo yanavyoenda kwenye taifa letu, hayo nayo ni Rostam ... acha upupu mkuu
 
Swala la lini ineffiency ya Tanesco ilianza is not a justfication for Dowans/Richmond kuendelea kuinyonya. Kimsingi Richmond na Dowans is the same thing. Report za Ufisadi wa Rostam zinajulikana na wala huhitaji kuziulizia mara mbili. Tunachokifanyia kazi sasa hivi ni report ya watu anaoshirikiana nao kuuficha huo ufisadi. Kama kuna ndungu yako au wewe mwenyewe unahusika Im warning you tunakuja kama nguvu ya mwanga, I know watu kama wewe kwa vile una kula , na unaishi vizuri u dont care what happening in the society. Lakini Kwa kushirikiana na wazalendo wengi sana katika hili jamvi tutafanya mambo makubwa ambayo unazani hatuwezi kuyafanya.

Siku kibarua chako kitakapoisha ndio utagundua kuwa sisi sio wavivu unatuita wavivu kwasbabu umeweza kuiba mali ya Umma huku tukikuchekea but those days are coming to the end
 
eeeehhh bwana eee, una mikwala .... Hahahahaha
 
- Mkuu Kasheshe vipi wewe ni foreigner au? Mimi nilifikiri na wewe ni mbongo kama sisi kumbe au?

FMES!
Mimi mbongo mkulima mkuu tena barabara ya kuelekea kwetu ndio inakaribia kumalizika tangu uhuru Mkuu, Mozambiq kulikuwa karibu kuliko bandari salama.
Sipendi watu waonewe
mkuu
 
Binafsi mimi sio masikini , Watanzania sio wavivu hauwatendei haki men and woman who wake up evryday in the morning and go and try to feed their family wakati watu wanagawana hazina ya Taifa.Hii isingekuwa siasa kama pesa za umma/masikini/walipa kodi zingekuwa haziibiwi au hazihusushwi katika utekelezaji.

Wengi wa watanzania ni wavivu. Tufike mahali tukubali udhaifu wetu ili tutafute suluhu ya kweli ya matatizo yetu.
 
Hakuna lolote, shauri yako, unaweza kuja kumpandisha chat.

I'm sure 5 years down the line, utagundua ulikuwa unaandika u2mbo.

In short you are wasting your time, umaskini wako/wetu unasababishwa na uvivu wetu na siasa zetu za ujamaa na kufanya kila kitu siasa hata vile ambavyo havistahili kuwa siasa... sio watu watano ati ndio sababu ya umaskini Tanzania!

Kuna nchi iliyokuwa na ufisadi kama Kenya mbona wako mbali zaidi yetu? Siri kubwa wanafanya kazi... full stop.

Ninakuunga mkono Kashehe, tusemezame na ukweli hasa udhaifu wetu kama watanzania. Kila siku tunajivunia kuwa watanzania wana umoja na amani, mbona hili la uvivu hatulisemi au sote tumeshakuwa wanasiasa?
 
Mwizi ni mwizi tu, hata akimwibia mvivu.
 
I believe we should focus on the main issue whenever someone brings an issue here. If one is not happy with a posting then "constructive critisism" is welcome and will help redirect/refocus the discusion.
I dont believe in literally shouting at a post here. If the context is wrong then address it, not the person, start by correcting the "wrong" and give an alternative explaination to set the record straight.
Sometimes we get information and believe it is correct and true and wishes to share with other, but it may not necessarily be true.

Strategy to win may include getting to know who/what are you fighting and who/what is behind that, that is good enough reason of trying to know who owns what and what is the connection!! Remember the saga of the Dar Bus terminal, the company that collects packing/service charges where Mh. Pinda ordered it to be reviewed, have you checked the statury books, KINGUNGE is no where there, but his sibling is involved and what happened to Pindas order? Kingunde said dont touch - So if Pinda had known probably he would have treaded carefully.

Let us focus on ISSUES and how to SOLVE them!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Good day to all
 
Back
Top Bottom