List of Rostam and Akram Aziz companies & Mohamed Enterprises

Hii ni orodha ya makampuni yanayomilikiwa na RA pamoja na mdogo wake anaiyetwa AKRAM AZIZ pamoja na Mohamed Enterprises.

  1. Africa Tanneries Ltd- Mwanza
  2. Tanzania Leather Industry Ltd- MOROGOR
  3. African Trade Development Group (Tz),
  4. Tanzania Packages Manufacturing Co owning with Mohamed Enterprises
  5. Caspian construction
  6. New Habari corporation
  7. Wembere Hunting Safari company – with Akram Aziz
Katita hii orodha kuna kampuni kama Tanzania Packages Manufacturing Co ambayo anaimiliki yeye na Mohamed Enterprises. Swali? Je kuna kampuni ngapi za Mohamed Enterprises Tanzania Limited Ambazo RA ana share? Tunaendelea kuunganisha dots ..... kujua ukubwa wa hii network ya wizi Kabla hatuja ibomoa.

Huyu mtu hana nia nzuri na nchi hii. Wanaomkumbatia ipo siku watajuta. Ameshajipenyeza kwenye systm kwa kiasi cha ajabu, na kwa kweli Tz yote kaishika miononi mwake kama tufe. Siku akiamua akaimwaga chini tumekwisha.
 
Baadhi ya matatizo yanayotukabili watanzania tulio wengi ni haya:

4. Wengine tunasikia neno Ufisadi lakini kwa sababu tumebahatika kuwa katika maisha mazuri "hatu-ifeel" impact ya huu ufisadi. MATOKEO YAKE..TUMESHALIZOEA HILI NENO NA TUNALIONA KAMA NENO LA KAWAIDA TUU... Kifupi we dont know what is happening.
Na hawajui kuwa kama si huo ufisadi, hayo maisha yao yangezidi kuwa mazuri zaidi ya hapo yalipo
 
Umasikini sio kukosa mali tuu,hata roho mbaya na chuki pia ni umasikini.Suala hapo si kumiliki makampuni mangapi suala ni ufisadi hata kama anamiliki makampuni elfu lakini akiwa safi si hoja,mbona kuna mzawa mmoja anamakampuni zaidi ya 15 na hujaonyesha nia ya kumfuatilia?Acha roho mbaya chakarika kutafuta pesa na maendeleo ya kweli ya halali sio kusakama walionacho.
 
Si maskini wa pesa tu bali hata roho zao.

Watu wanatakiwa waamke na kuchanganya bongo zao jinsi gani wataweza kufanikiwa katika biashara na mambo mengine ya kiuchumi. baadhi ya watu wamekalia maneno mengi lakini hawana mikakati ya kufanya kweli na kulinda mafanikio yao.

Kama mlezi wako asinge kuwezesha usingelifika hapo ulipo na usingekuwa na nafasi ya kutoa maneno hayo. Lazima tuwe tayari kukemea wale wanaofilisi urithi wa watoto wetu na wajukuu. Wewe unasema watu wamekalia maneno kwa nza sahihisha, neno haliwezi kukaliwa.

Nikirudi kwenye hoja, huwezi kuwa na uwezo wa kuchanganya bongo (kwa maneno yako) ili uweze kujiendeleza kiuchumi bila elimu, wakati huo Rostam na Wenzake wanahujumu mali ya umma ambayo ingempeleka mtu shule, ika nunua vitabu n.k.

Yeyote anayetetea mhindi, anieleze, ni nchi gani duniani iliyopata maendeleo kutokana na uwekezaji wa wahindi?(msiseme india kwa sababu wanawajibika kuendeleza nchi yao na ndo maana wanatuibia).

Kwa hiyo mimi nisemetu kwamba, watanzania tunawajibika kujiendeleza ktk nyaja zote, lakini tuna matatizo ya uongozi, lakini pia hawa wageni wanaotuibia kupitia mgongo wa uongozi uozo tulionao lazima tuwawajibishe kwa namna yoyote ile.
 
"Nina uhakika Wembere Hunting Safari company na Tanzania Packages Manufacturing Co haipo kwenye tovuti ya bunge "

Na sasa Channel Ten...
 
Umasikini sio kukosa mali tuu,hata roho mbaya na chuki pia ni umasikini.Suala hapo si kumiliki makampuni mangapi suala ni ufisadi hata kama anamiliki makampuni elfu lakini akiwa safi si hoja,mbona kuna mzawa mmoja anamakampuni zaidi ya 15 na hujaonyesha nia ya kumfuatilia?Acha roho mbaya chakarika kutafuta pesa na maendeleo ya kweli ya halali sio kusakama walionacho.

Hapa hoja ni kwamba RA ni mwizi au siyo mwizi wa mali za umma kwa kushirikiana na CCM??
 
Du! Mjomba kubenea kiboko, jinsi CAG report ilivyoandika na yeye alivyotafsiri mambo tofauti kabisa, anata wasomaji wake wawe watu wa Udaku.

1. Hivyo ni Tanzania tu au kuna nchi nyingine isiyojua a company is legal entity na mahakamani ina simama kama kampuni na sio mtu?

2. Je anataka kutuambia CAG kwenye report yake hakujua kwamba Rostam ni shareholder wa kampuni X?

3. Ukitaka kwa dhati kudhibiti ubadhirifu wa mali ya umma unamfuata aliyeidhinisha supplier na malipo ... au supplier

4. Je wewe ukiona tender kwenye gazeti ukapeleka application ukaambiwa umekubaliwa maombi yako sasa... peleka huduma au bidhaa husika...kama kampuni utaulizia nataka kujua kwa nini hamjanishindanisha?

5. Je kazi namba 4. hapo juu ni ya supplier au ya wafanyakazi wetu wa umma...
 
Nikasoma undava wa Kimafia kutoka visiwa vya Cicily Italy,na Yakuza ya kule Japan, mpaka Historia za Shogan kama Iyayasu na jinsi Wajapan watianavyo adabu kwa kufuata Hiarachy ya Kiyakuza...

Madela,

Hapo juu mie nilishaandika zamani sana hapa wavuni. Nchi zote kubwa duniani huwa zina MAFIA yao ambayo kazi kubwa ni kushika uchumi wa nchi yao na kuhakikisha kuwa income zao zote kubwa zinawekwa kwao. Hawa jamaa hutoa ajira kwa wananchi na kuhakikisha hakuna KIBAKA mgeni anakuja na kuanza kuiba mali za nchi yao na kuzipeleka nje.

Hiki kitendo cha watu kama RA, Barrick Gold nk kuja na kuanza kujitoa mali zetu kwa kisa kwamba wamewaweka Wakulu wetu madarakani, ilitakiwa zamani sana FBI yetu au MAFIA yetu, wawe wameshamrudi muwezeshaji wa wizi huo bila kujali aliletwa na nani.

Kila mtu anafahamu kuwa JF Kennedy aliuawa na FBI na sababu ni kuwa alianza kwenda nje ya matakwa ya Mafia. Kama Tanzania ingelikuwa na Mafia, hawa jamaa wasingeruhusu mtu kama Mkapa kuja kujiuzia mgondi ambao umemshinda kuendesha. Wee mtu hujawahi kuwa hata na kiwanda cha kuchonga furniture, eti leo uwe na Mgodi!!!!!

Waizrael wana Mafia yao. USA wana ya kwao pamoja na zile official (CIA na FBI), Italy wana yao, Wajapan wana YAKUZI, Irland wana yao na hata Wanigeria wana ya kwao. Ndiyo maana Nigeria huwezi sikia eti Mzungu/Mhindi/Muarabu kaenda huko na kujichotea pesa kama ilivyo Tanzania. Kwanza wenzetu Mzungu hatetemekewi kama sisi. Na Wanigeria kwa sasa wanarudi kwao na hela zote walizoiba na kuziwekeza. Mfano ni huyo Dangote ambaye pesa zake ni kama $3 Billions. Ukiangalia viwanda na miradi yake ni mingi sana na uongo mbaya, ndugu, jamaa na marafiki na hata majirani, wanafaidika sana na hela zake. Tofauti na akina Manji, RA, nk ambao sidhani hata kama wana contact za kawaida na Mipingo wa kawaida. Sanasana ni ndugu zao na jamaa zao Wahindi/Waarabu/Wairan.

Ni pale tu Watanzania tutaanzisha MAFIA yetu ili KUWATIA WATANZANIA adabu na kuwaleta katika karne walau ya 20. Watu wengi wamelemaa utafikiri bado anatawala mtemi Mirambo (Tabora), Mkwawa, Mangi nk. Mafia hawa wanaweza kuwa ni GROUP la WATANZANIA (MIPINGO) na au ikawa ni MAFIA ya SERIKALI YA JAMHURI YA TANZANIA. Ili muradi Mafia hawa wawe kweli na Uchungu na Tanzania na kwao wao, Tanzania iwe ni kila kitu kwani kama IKIWAKA moto basi wao wanakuwa the number one Loosers.

Mungu IBARIKI TANZANIA.
 
Hii ni orodha ya makampuni yanayomilikiwa na RA pamoja na mdogo wake anaiyetwa AKRAM AZIZ pamoja na Mohamed Enterprises.

  1. Africa Tanneries Ltd- Mwanza
  2. Tanzania Leather Industry Ltd- MOROGOR
  3. African Trade Development Group (Tz),
  4. Tanzania Packages Manufacturing Co owning with Mohamed Enterprises
  5. Caspian construction
  6. New Habari corporation
  7. Wembere Hunting Safari company – with Akram Aziz
Katita hii orodha kuna kampuni kama Tanzania Packages Manufacturing Co ambayo anaimiliki yeye na Mohamed Enterprises. Swali? Je kuna kampuni ngapi za Mohamed Enterprises Tanzania Limited Ambazo RA ana share? Tunaendelea kuunganisha dots ..... kujua ukubwa wa hii network ya wizi Kabla hatuja ibomoa.

- Mkuu Leokweli, ahsante kwa kutufunua macho sasa ina make a sense ni kwa nini mafisadi wengi wanamuomba Mzee wetu Mengi, afute kesi kumbe kuna mengi wanayajua ambayo hatuyajui, saafi sana hizi dataz!

FMES!
 
this is pure racism.. hamna mengi,lowassa,hata huyo kikwete mwenyewe.watu wakiona muarabu kafanikiwa,wao ni 'ufisadi' tu. mimi ni mwarabu,na familia yetu ina hela siziso za kifisadi ila watu wakiona tuna magari mapya,ni hayo hayo maneno ya 'kifisad,kifisadi'

Poleni Watanzania wenzetu wa rangi isiyo nyeusi kwa kweli nami nimeona mnabaguliwa.

Mimi Mtanzania mweusi nimesoma thread na thread, post na posts sikuona mahali ambapo pana-justify without doubt kwamba Rostam ni Fisadi.

Unajua bwana ukitaka kumwita mtu fisadi lazima usibahatishe uwe na data kweli kama hauna basi unamwacha kuwa mtanzania wa kawaida.
 
haa we vipi kwani whats the limit? how many business is he suppose to have? ... as far as I know you can have as many as u can In Tz,waswahili bwana ,huo ni wivu na chuki binafsi.
 
Umasikini sio kukosa mali tuu,hata roho mbaya na chuki pia ni umasikini.Suala hapo si kumiliki makampuni mangapi suala ni ufisadi hata kama anamiliki makampuni elfu lakini akiwa safi si hoja,mbona kuna mzawa mmoja anamakampuni zaidi ya 15 na hujaonyesha nia ya kumfuatilia?Acha roho mbaya chakarika kutafuta pesa na maendeleo ya kweli ya halali sio kusakama walionacho.

Wewe mheshimiwa ndio una roho mbaya na chuki kwa kizazi chetu kijacho. Usingekuwa na roho mbaya ungekitetea kizazi kijacho. Hakuna mtu anaye pinga anyone kumilki makampun hata 200 but we want them to do it kihalali, na si kwa kunyonya kizazi kijacho
 
haa we vipi kwani whats the limit? how many business is he suppose to have? ... as far as I know you can have as many as u can In Tz,waswahili bwana ,huo ni wivu na chuki binafsi.

Swali si kwamba una kampuni ngapi? swali ni kwamba mtandao wa wizi ni mkubwa kiasi gani? Hakuna mtu mwenye wivu! Watanzania wanawapenda matajiri na ndio maana alichaguliwa hata ubunge, swali la msingi ni jinsi gani anahusika katika kuhujumu uchumi wa Tanzania na ni kina nani anashirikiana nao?
 
Wewe mheshimiwa ndio una roho mbaya na chuki kwa kizazi chetu kijacho. Usingekuwa na roho mbaya ungekitetea kizazi kijacho. Hakuna mtu anaye pinga anyone kumilki makampun hata 200 but we want them to do it kihalali, na si kwa kunyonya kizazi kijacho

- Mkuu hapo tupo pamoja sana, tatizo sio kumiliki makampuni isipokuwa kuyatumia katika kuendeleza ufisadi, na kutumia faida zake kuingilia political process na system yetu ya sheria,

- Kwa mfano, kwa nini Mtikila anaenda kukopa shillingi Millioni tatu kwa Rostam badala ya kwenda benki ambazo tunazo nyingi sana, hapo Rostam anaingilia banking system, TRA system kwa sababu hizo hela hazikulipiwa kodi na kibaya kuliko vyote anaingilia political process kwa kuinyamazisha sauti ya Mtikila, ambayo at one time ilikuwa very strong kwenye kuwatetea wanyonge.

- Kwa hiyo hatuna tatizo la Rostam kumiliki makampuni lkuki, isipokuwa tuna tatizo na jinsi anayatumia makampuni yake ku-undermine Demokrasia yetu na hasa the whole political system yetu, kwa hiyo mkuu Leokweli tukishajua anamiliki kampuni zipi, then itatusaidia kufungua milango yake mingine ya ufisadi, tuko pamoja sana hapo mkuu!

Respect.

FMEs!
 
Mwanzo kakika thread zote zilizopita nilikuwa ninamtetea na sikumwona kama tatizo sana. Lakini baada ya kusoma thread after thread na nguvu amabzo watu walikuwa wanampa nilijaribu ku step back and have a deep look and I wanted to know who are powerfull people behind him ukiacha wanasiasa, then I was struck to know that he has Ownership partnership with mohamed Enterprises in few firms kwahiyo ninataka kujua zaidi kuhusu huu uhusiano since METL ilinunua mashirika mengi sana ya umma yaliyobinafisishwa kwa beei cheee, Je huyu jamaa amejificha huko pia?
 
Mkuu FMES,

Heshima mbele umekuwa mtu mzuri ku-motivate wadau waweze kutoa data wanazo jua zaidi kuhusu Rostam unfortunately wameendelea kukuangusha. Maana hawana la zaidi.

Ati Rostam anajificha kwa METL, kwani METL ni nani? yeye hawezi hukumiwa mwenyewe au kwa vile anafadhili vilabu vya mpira.

Kweli vita yetu ya Ufisadi imekosa dira, nadhani sasa hatui hata tunachofanya. Hakuna kitu rahisi kama kushitaki kampuni, loophole rahisi sana ni kuchukua tu wale wenzetu wa TRA kuangalia kama kodi zinalipwa kama hazilipwi tunawabana hapo hapo.

Cha kusikitisha tunabwatuka tu huku kwenye mitandao bila kuwa na lolote jipya.
 
Hii ni orodha ya makampuni yanayomilikiwa na RA pamoja na mdogo wake anaiyetwa AKRAM AZIZ pamoja na Mohamed Enterprises.

  1. Africa Tanneries Ltd- Mwanza
  2. Tanzania Leather Industry Ltd- MOROGOR
  3. African Trade Development Group (Tz),
  4. Tanzania Packages Manufacturing Co owning with Mohamed Enterprises
  5. Caspian construction
  6. New Habari corporation
  7. Wembere Hunting Safari company – with Akram Aziz
Katita hii orodha kuna kampuni kama Tanzania Packages Manufacturing Co ambayo anaimiliki yeye na Mohamed Enterprises. Swali? Je kuna kampuni ngapi za Mohamed Enterprises Tanzania Limited Ambazo RA ana share? Tunaendelea kuunganisha dots ..... kujua ukubwa wa hii network ya wizi Kabla hatuja ibomoa.

Hiyo niliyoweka kwenye blue, sasa naelewa wanaposema jamaa (RA) ni jangili (anauza pembe za ndovu)
 
Njia rahisi na yenye maslahi kwa nchi na kizalendo ni mahakamani kama una ushahidi zaidi ya hapo umeingia mkenge labda uanze kutafutwa wewe kwa kupotosha ummah

unajua kwamba mtu anaweza kuushitaki mtandao wa jamii mahakama ikaamuru mawasiliano yako na taarifa zako zingine zitolewe kwa maslahi ya nchi ?? Unajua kwamba hilo linawezekana ?

Ndio utajua kwanini hizi chat huwa zina printiwa na kupelekwa kwa wenyewe wazisome

Shy,

Mbona tunatishana? Nimefurahi kusikia kwamba comments zetu uwa zinaprintiwa na kupelekwa kwa wahusika ili wazisome!!!! Kumbe ujumbe unafika!!!!!

Tiba
 
Mkuu FMES,

Heshima mbele umekuwa mtu mzuri ku-motivate wadau waweze kutoa data wanazo jua zaidi kuhusu Rostam unfortunately wameendelea kukuangusha. Maana hawana la zaidi.

Ati Rostam anajificha kwa METL, kwani METL ni nani? yeye hawezi hukumiwa mwenyewe au kwa vile anafadhili vilabu vya mpira.

Kweli vita yetu ya Ufisadi imekosa dira, nadhani sasa hatui hata tunachofanya. Hakuna kitu rahisi kama kushitaki kampuni, loophole rahisi sana ni kuchukua tu wale wenzetu wa TRA kuangalia kama kodi zinalipwa kama hazilipwi tunawabana hapo hapo.

Cha kusikitisha tunabwatuka tu huku kwenye mitandao bila kuwa na lolote jipya.

Vita yetu ndio inaanza kupata dira sijui wewe unaongelea nini. Kama unakumbuka ile US AIG bailout fatigue Miezi michache iliyopita, Kilichokuwa kilifanyika na AIG NI ni kwmba ilikuwa inachukua bailout ya 180 Billion kutoka US Taxpayers , nayenye in closed doors inaenda ku bailout ,Goldman Sachs , Merrill Lynch , Bank of America, Citigroup na wengine wengi , but At the same time Goldman sachs ilikuwa inasema haijachukua bailout yoyote kumbe imepata bailout kupitia malango wa nyuma.

This example is the same applied kwa RA , inawezekana yeye kasimama kama AIG katika kuchota pesa za watanzania lakini nyuma yake kuna kina Mohamed Enterprises ambao wanjifanya kama Goldman kuwa ni wasafi na hawahusiki na hii UFISADI fetigue but Ukweli wanakula kwa nyuma.

Ndio maana tunafahamu kampuni kama mbili ambazo zina shared ownership kati ya RA na METL na tunataka tujue kama zipo zingine zaidi.Kumbuka METL ilinunua mashirika mengi ya UMMA kwa bei cheee kama pipi, na hata hizo joint ownership companies kati ya METL na RA walizinunua pamoja katika mchakato wa kubinafsishwa mashirika ya UMMA.

Hakuna mtu amabye ana wivu na huyu jamaa nor ubaguzi wa Rangi, Ila tunauliza maswali ya msingi ili tujue ukubwa wa hii network ya wizi, kama bahati mbaya hii network itakuwa inawagusa waasia wengi sio tatizo letu.
 
Back
Top Bottom