List of prestige universities in tanzania.

Status
Not open for further replies.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania..matokeo ya uchunguzi wao yamebaini kwamba,ingawa tanzania ina utitiri wa vyuo vikuu lakin ni 6 tu ndo vyenye kutoa degree zenye kukubalika ndani na nje ya nchi..list yenyewe ni hii
1}UDSM
2}SUA
3}Muhimbili
4}mzumbe
5}ardhi
6}ifm
 
Hivi IFM ni university? What I know ni Institute kama TIA, IAA, a few to mention. This disqualifies and rules the whole work as null and void
 
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini tanzani..matokeo ya uchunguzi wao, KAKAA DAH MIMI NAPITA TUU
 
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania.. kwamba,ingawa tanzania ina utitiri wa vyuo vikuu lakin ni 6 tu ndo vyenye kutoa degree zenye..list yenyewe ni hii
1}UDSM
2}SUA
3}Muhimbili
4}mzumbe
5}ardhi
6}ifm
Nadhani hujui usemacho, umebaki na mawazo ya kihafidhina tu.
Nijuavyo, chuo chochote kina
popata Ithibati ya NACTE hadhi sawa na vyuo ulivyovitaja.
 
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania..matokeo ya uchunguzi wao yamebaini kwamba,ingawa tanzania ina utitiri wa vyuo vikuu lakin ni 6 tu ndo vyenye kutoa degree zenye kukubalika ndani na nje ya nchi..list yenyewe ni hii
1}UDSM
2}SUA
3}Muhimbili
4}mzumbe
5}ardhi
6}ifm
Badilisha heading iwe: list ya vyuo vichovu
 
Hakuna hata kimoja hapo,prestige universities ni
1. M.I.T
2. YALE
3 HAVARD
4. OXFORD

Hivyo Ulivyotaja havina tofauti na Upendo Vocation Training Center au ITEBA!!.
 
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania..matokeo ya uchunguzi wao yamebaini kwamba,ingawa tanzania ina utitiri wa vyuo vikuu lakin ni 6 tu ndo vyenye kutoa degree zenye kukubalika ndani na nje ya nchi..list yenyewe ni hii
1}UDSM
2}SUA
3}Muhimbili
4}mzumbe
5}ardhi
6}ifm

Unasoma? kama unasoma darasa gani? nikujuze tu hapa nchini wenye jukumu la ku-approve degree ni TCU, na yeye anatambua shahada zote zinazotolewa hapa ndani ya nchi sasa hizo data zako umepata wapi?
huko nje ya nchi ni nchi ipi ambayo haitambui degree ya chuo gani? na ni nchi gani inatambua shahada za vyuo ulivyotaja? hiyo research imefanyika lini?
 
Hivi IFM ni university? What I know ni Institute kama TIA, IAA, a few to mention. This disqualifies and rules the whole work as null and void
Massachusetts Institute of Technology (MIT) ni University? au neno University linakuzuzua?
 
....sidhani kama mtoa mada ameilewa vizuri hiyo report ya huo utafiti, isije ikawa ni mawazo yake binafsi?
 
NGO gani isiyo na jina? Utafiti umekuwa published wapi? Wametumia methodology gani?

Kwa nini tuamini unachoandika wakati unaonekana hujui tofauti ya "prestige" na "prestigious"?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom