List of applicants who were allocated by tcu and are required to confirm their allocation

Mkuu tayari kuna thread inayoelezea hii kitu humu ndani, heading yake ni KUTOKA TCU LEO LEO, imeanzishwa na mtu anayeitwa Noah Gondwe jana usiku. Kabla ya kuanzisha thread mpya tujitahidi kusoma kwanza post zote mpya la sivyo kutakuwa na post nyingi za kitu kile kile.
Lakini tunashukuru kwa kutuwekea hiyo link kwani hapa tutaenda moja kwa moja kwenye list ya majina.
 
Hakuna haja ya wewe kuendelea kulaumu hapo ARV,wewe unafikiri mtu kuandika :Topic: Kutoka tcu leo leo,niwangapi wanaweza kuelewa inahussiana na nini? Hapo ungeshauri watu waandike heading zinazoeleweka ili kunguza hili tatizo ndo ningekuona wa maana. Nyie ndo walewale mnaandika heading kuvutia wasomaji.
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nimeona hilo tatizo,labda wenye tatizi hilo watuambie wanaona nini kwenye profile zao. Ama pengine tcu watatoa notice muda si mrefu.
 
til nw..ni Admitted in Bachelor of Science in Computer Science at Institute of Finance Management...wakati cna mpango na huo ukuda,ukizingatia me ni st.kayumba wataniua na hyo school fees
 
Back
Top Bottom