Elections 2010 List Kamili ya WanaCCM Waliopendekezwa Kugombea Nafasi ya Ubunge Tanzania Bara

HIVI HAWA NI WANAWAKE AU WANAUME JAMANI NAOMBA KUJUA:
1. Lolesia Maselle BUKWIMBA
39
Chuo Kikuu
BUSANDA
MWANZA


2. Aeshi khalfan HILALY
37
Darasa la 7
SUMBAWANGA MJINI
RUKWA

Natanguliza shukrani za awali.

Dada WOS, Lolesia ni mwanamama, katika website ya Bung utamuona hata picha yake,Parliament of Tanzania. Kwa Aeshi sina uhakika, ila niliwahi soma na Bwana anaitwa Aeshi, sasa sijui hili jina linatumika kwa jinsia zote ama la.
 
1. Lolesia Maselle BUKWIMBA
39
Chuo Kikuu
BUSANDA
MWANZA
Huyu ni mwana mama katika MKOA MPYA wa Geita..ila kama kutakuwa hakuna mizengwe atadondoka kwenye hili jimbo!
 
Zarina Shamte Madabida amepitishwa kugombea Viti Maalumu Mkoani Dar-Es-Salaam.
Katika Kundi hilo pia kuna Mama Margreth Sitta (UWT - Tabora) na DC Betty Machangu (UWT-Kilimanjaro) Nafikiri shutuma za Rushwa dhidi yao hazikuthibitishwa.
 
The list of the names of parliamentary aspirants endorsed by the CCM National Executive Committee:




ARUSHA

i. Arusha: Dr. Batilda BURIANI
ii. Arumeru East: Jeremiah SUMARI
iii. Arumeru West: Goodluck Ole MEDEYE
iv. Karatu: Dr. Wilbald LORRI
v. Longido: Michael LAIZER
vi. Monduli: Edward LOWASSA
vii. Ngorongoro: Saning’o Ole TELELE


IRINGA

i. Iringa Urban Monica MBEGA
ii. Isimani: William LUKUVI
iii. Kalenga: William MGIMWA
iv. Kilolo: Prof. Peter MSOLLA
v. Ludewa: Deo FILIKUNJOMBE
vi. Makete: Dr. Binilith MAHENGE
vii. Mufindi North: Mohamed MGIMWA
viii. Mufindi South: Menrad KIGOLA
ix. Njombe North: Deo SANGA (Jah People)
x. Njombe South: Anne MAKINDA
xi. Njombe West: Gerson LWENGE


KAGERA

i. Nkenge: Assumpter MSHAMA
ii. Bukoba Urban: Khamis KAGASHEKI

iii. Bukoba Rural: Jasson RWEIKIZA
iv. Muleba North: Charles MWIJAGE
v. Muleba South: Anna TIBAIJUKA
vi. Chato: John MAGUFULI
vii. Kyerwa: Eustace KATAGIRA
viii. Karagwe: Gosbert BLANDES
ix. Biharamulo: Oscar MUKASA
x. Ngara: Deogratias NTUKAMAZINA


KIGOMA

i. Kigoma Urban: Peter SERUKAMBA
ii. Kigoma South: Gulam KIFU
iii. Kasulu Urban: Neka NEKA
iv. Kasulu Rural: Daniel NSANZUGWANKO
v. Manyovu: Albert NTABALIBA
vi. Buyungu: Christopher CHIZA
vii. Muhambwe: Jamal TAMIMU
viii. Kigoma North: Rabinson LEMBO


KILIMANJARO

i. Moshi Urban: Justin SALAKANA
ii. Moshi Rural: Dr. Cyril CHAMI
iii. Rombo: Basil MRAMBA
iv. Same East: Anne MALECELA
v. Same West: David DAVID
vi. Hai: Fuya KIMBITA
vii. Vunjo: Chrispin MEELA
viii. Mwanga: Prof. Jumanne MAGHEMBE
ix. Siha: Aggrey MWANRI


MANYARA

i. Babati Urban: Kisyeri CHAMBIRI
ii. Babati Rural: Jitu SONI
iii. Hanang: Dr. Mary NAGU
iv. Kiteto: Benedict Ole NANGORO
v. Mbulu: Philip MARMO
vi. Simanjiro: Christopher Ole SENDEKA


MARA

i. Musoma Urban: Vedasto MATHAYO Manyinyi
ii. Musoma Rural: Nimrod MKONO
iii. Mwibara: Alphaxard LUGOLA
iv. Bunda: Stephene WASSIRA
v. Rorya: Lameck AIRO
vi. Tarime: Nyambari NYANGWINE
vii. Serengeti: Dr. Stephene KEBWE


MBEYA

i. Mbeya Urban: Benson MPESYA
ii. Mbeya Rural: Luckson MWANJALA
iii. Kyela: Dr. Harrison MWAKYEMBE
iv. Mbarali: Dickson KILUFI
v. Lupa: Victor MWAMBALASWA
vi. Songwe: Philipo MULUGO
vii. Rungwe East: Prof. Mark MWANDOSYA
viii. Rungwe West Prof. David MWAKYUSA
ix. Ileje: Aliko KIBONA
x. Mbozi Mashariki: Godfrey ZAMBI
xi. Mbozi West: Dr. Luka SIAME


MOROGORO

i. Morogoro Urban: Aziz ABOOD
ii. Morogoro South East: Dr. Lucy NKYA
iii. Morogoro South: Innocent KALOGERIS
iv. Mvomero: Amos MAKALA
v. Ulanga East: Celina KOMBANI
vi. Ulanga West: Haji MPONDA
vii. Gairo: Ahmed SHABIBY
viii. Kilosa: Mustafa MKULO
ix. Mikumi: Abdulsalaam SULEIMAN
x. Kilombero: Abdul MTEKETA


MTWARA

i. Mtwara Urban: Murji MOHAMED
ii. Mtwara Rural: Hawa GHASIA
iii. Masasi: Mariam KASEMBE
iv. Lulindi: Jerome BWANAUSI
v. Tandahimba: Juma NJWAYO
vi. Newala: George MKUCHIKA
vii. Nanyumbu: Dunstan MKAPA


MWANZA

i. Ilemela: Anthony DIALLO
ii. Nyamagana: Laurence MASHA
iii. Busega: Dr. Kamani MLENGENYA
iv. Magu: Dr. Festus Limba
v. Kwimba: Sharif MANSOOR
vi. Sumve: Richard NDASA
vii. Geita: Donald MAX
viii. Nyang’wale: Hussein AMAR
ix. Sengerema: William NGELEJA
x. Buchosa: Charles TIZEBA
xi. Misungwi: Charles KITWANGA
xii. Ukerewe: Getrude MONGELA.


RUVUMA

i. Songea Urban: Emmanuel NCHIMBI
ii. Peramiho: Jenister MHAGAMA
iii. Namtumbo: Vita KAWAWA
iv. Tunduru South: Mtutura MTUTURA
v. Tunduru North: Ramo MAKANI
vi. Mbinga West: Capt. John KOMBA
vii. Mbinga East: Gaudence KAYOMBO


TABORA

i. Tabora Urban: Ismail RAGE
ii. Tabora North: Sumar MAMLO
iii. Urambo East: Samuel SITTA
iv. Urambo West: Prof. Juma KAPUYA
v. Igunga: Rostam AZIZ
vi. Sikonge: Said NKUMBA
vii. Igalula: Athuman MFUTAKAMBA
viii. Bukene: Seleman ZEDI
ix. Nzega: Hamis KIGWANGALA


 
Mbona unaturidisha tulikotakea tangu jana ndugu yangu? Si ungesoma kwanza uone kama haijafika kabla hujaibandika?

BTW: Asante sana
 
Kwa Mwanza umesahau jimbo moja la BUSANDA Geita ambalo mgombea wake ni Lolencia Bukwimba
 
Kwa aina ya wagombea walioteuliwa kupiga vita rushwa, wizi, ubadhirifu, ufisadi ni ndoto. Tutafute Nchi nyingine ya kuishi.
 
Zarina Shamte Madabida amepitishwa kugombea Viti Maalumu Mkoani Dar-Es-Salaam.
Katika Kundi hilo pia kuna Mama Margreth Sitta (UWT - Tabora) na DC Betty Machangu (UWT-Kilimanjaro) Nafikiri shutuma za Rushwa dhidi yao hazikuthibitishwa.

Tangu lini vikao vya juu vya CCM vilianza kuwa mahakama za kusikiliza kesi za rushwa?
 
Hapo Nzega moto utawaka, maana Selelii kakikosa kiti kwa papara zake za kuhama chama na je unaweza ukawa sio raia na kupata mavyeo kibao CCM na Taifa, mmmmh napata wasiwasi na jinsi viongozi wetu na uhamiaji wanavyofanya kazi.
 
Dada WOS, Lolesia ni mwanamama, katika website ya Bung utamuona hata picha yake,Parliament of Tanzania. Kwa Aeshi sina uhakika, ila niliwahi soma na Bwana anaitwa Aeshi, sasa sijui hili jina linatumika kwa jinsia zote ama la.

Zarina Shamte Madabida amepitishwa kugombea Viti Maalumu Mkoani Dar-Es-Salaam.
Katika Kundi hilo pia kuna Mama Margreth Sitta (UWT - Tabora) na DC Betty Machangu (UWT-Kilimanjaro) Nafikiri shutuma za Rushwa dhidi yao hazikuthibitishwa.

Asanteni kwa mchango wenu. Naomba mwenye info zaidi anifahamishe kama Aeshi ni mwanamke. Pia viti maalum idadi kamili ya wanawake waliopitishwa tupatieni tafadhali.

Na je vyama vingine wanatoa lini list yao?
 
BTW: Nina wasi wasi kuwa huenda Aden Rage hana sifa za kugombea ubunge kwa vile aliwahi kufungwa kwa kosa la kutokuwa mwaminifu kazini ambapo alitumikia kifungo na kusamemewa kwa msamaha wa rais Kikwete ambayo ni chini ya miaka mitano iliyopita.

Mkuu wkt akitumikia kifungo alikuwa tayari kesha kata rufaa wkt rufaa inasikilizwa akatoka kwa msamaha wa rais alishinda rufaa ile kwa hiyo ni mizengwe tu aliwekewa enzi hizo wkt akinyemelea jimbo la kigogo mmoja, ndo maana hata uenyekiti Simba alipita...
 
Mbona umetoa majimbo ya mikoa 13 tu. Wapi mengine kama vile Shinyanga, Lindi, Rukwa etc?
 



Idd Mohamed AZZAN
45
Kidato cha IV
KINONDONI
DAR ES SALAAM



Mussa Azzan ZUNGU
58
Chuo cha Anga
ILALA



Mtemvu Abbas ZUBERI
51
Kidato cha IV
TEMEKE
DAR ES SALAAM

Source: Website ya Chama Cha Mapinduzi - CCM[/QUOTE]

Kazi ipo na DSM.May be kuna umuhimu wa kujiendeleza.
Kila la kheri lakni.
 
Hussein Nassor AMAR
52
Elimu ya Msingi
NYANG'WALE
MWANZA

Ndg. Jamal Abdallah TAMIMU
41
Elimu ya msingi
MUHAMBWE
KIGOMA

Deo Kasenyenda Sanga (JAHPEOPLE )
54
Elimu ya Msingi
NJOMBE KASKAZINI
IRINGA

Lussinde, Livingstone J.
38
Msingi
MTERA
DODOMA

Ndugu Mahamud Abuu JUMAA
40
Msingi
KIBAHA VIJIJINI

Stephen NGONYANI
54
Msingi
KOROGWE VIJIJINI
TANGA

Moshi S. KAKOSO
42
Shule ya Msingi
MPANDA VIJIJINI

Aeshi khalfan HILALY
37
Darasa la 7
SUMBAWANGA MJINI
RUKWA


ELIMU YA MSINGI???????????????????????????
Tutarajie nini kwa hawa??? au watajiendeleza wakiwa wabunge?????????????
 
Kweli huu ni mwaka wa mageuzi wapi Kamala, Sarungi, Lubeleje, Malechela, Bendera, Mwapachu, Mshangama, Kimaro, Mzee wa Mchinga duuuu wameangukia pua wajameni nk. Mwakalebela kaanguka kwani kesi inayomkabili ni ya rushwa wakati wa kura za maoni ndio maana akaondolewa, lakini Mramba na Chenge kesi zao si za kisiasa na bado hukumu haijatolewa ila wakifungwa ubunge wao utasitishwa, shida ni wale waliowateuwa kuendelea kugombea ubunge kwenye majimbo haya hali wakijua hawa wamevunja sheria ana wanakesi, hasa la Mramba ni baya sana la kufisadi serikali.Kuhusu Selelii ni kutotulia kwake maana baada ya kushindwa alianza maneno na kuhamia CHADEMA, ila nina uhakika akienda kugombea pale Nzega kwa tiketi ya CHADEMA atashinda, Bashe anapendwa sana pale kama Selelii tu so huyu dogo hana ishu na CCM wameshalitema hili jimbo.

Hongera sana Rage na Mkhamia maana Simba tuliondokewa na wabunge wawili Lubeleje na Sarungi ila nyie mtaziba pengo. Nawapongeza vijana kadhaa kama January, Lusinge, Kizigha nk kwa kuwachapa wakongwe. Msisahau kuwa CHADEMA tumekuja kivingine mwaka huu.
 
Tatizo ni kwamba list hii ni ile iliyojadiliwa kabla ya break saa moja jioni jana. Mpaka sasa wadau wameshindwa kuleta iliyojadiliwa baada ya saa 3.00 usiku. hebu leteni tufunge mDr. Wilbald Slaa LORRI
59

Chuo Kikuu
JIMBO LA KARATUjadala huu, tayari kwa kuanza kampeni rasmi!......

Dah! Hapo kwenye rangi ipo vipi?
 
Back
Top Bottom