Elections 2010 List Kamili ya WanaCCM Waliopendekezwa Kugombea Nafasi ya Ubunge Tanzania Bara

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Jina
Umri
Elimu
Jimbo
Mkoa

Dr. Batilda Salha BURIANI
45
Chuo Kikuu
JIMBO LA ARUSHA
ARUSHA
Jeremiah Solomon SUMARI
67
Sekondari
JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
ARUSHA
Goodluck Joseph ole MEDEYE
52
Chuo Kikuu
JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI
ARUSHA
Dr. Wilbald Slaa LORRI
59
Chuo Kikuu
JIMBO LA KARATU
ARUSHA
Michael Lekule LAIZER
62
Sekondari
JIMBO LA LONGIDO
ARUSHA
Edward Ngoyai LOWASSA
57
Chuo Kikuu
JIMBO LA MONDULI
ARUSHA
Saning’o Kakai ole TELELE
56
Chuo Kikuu
JIMBO LA NGORONGORO
ARUSHA
Minica Ngenzi MBEGA
54
Chuo Kikuu
JIMBO IRINGA MJINI
IRINGA
William Vangimembe LUKUVI
55
Chuo kikuu
JIMBO LA ISIMANI
IRINGA
Wiliam Augustino MGIMWA
60
Chuo Kikuu
JIMBO LA KALENGA
IRINGA
Prof. Peter Mahamudu MSOLLA
65
Chuo Kikuu
JIMBO LA KILOLO
IRINGA
Deo Haule FILIKUNJOMBE
38
Chuo Kikuu
JIMBO LA LUDEWA
IRINGA
Dk. Binilith Satano MAHENGE
48
Chuo Kikuu
JIMBO LA MAKETE
IRINGA
Hassan Mohamed MGIMWA
47
Sekondari
MUFINDI KASKAZINI
IRINGA
Mendrad Lutengano KIGOLA
41
Chuo Kikuu
MUFINDI KUSINI
IRINGA
Deo Kasenyenda Sanga (JAHPEOPLE )
54
Elimu ya Msingi
NJOMBE KASKAZINI
IRINGA
Bi. Anne Semamba MAKINDA
61
Chuo Kikuu
NJOMBE KUSINI
IRINGA
Gerson Hosea LWENGE
59
Chuo Kiku
NJOMBE MAGHARIBI
IRINGA
Assumpter Nshunju MSHAMA
50
Sekondari
JIMBO LA NKENGE
KAGERA
Jasson S. RWEIKIZA
51
Chuo kikuu
BUKOBA VIJIJINI
KAGERA
Charles J. MWIJAGE
50
Chuo kikuu
MULEBA KASKAZINI
KAGERA
Prof. Anna K. TIBAIJUKA
60
Chuo kikuu
MULEBA KUSINI
KAGERA
Dr. John P. MAGUFULI
51
Chuo Kikuu
CHATO
KAGERA
Khamis S. Kagasheki
1951
Chuo kikuu
BUKOBA MJINI
KAGERA
Eustace O. KATAGIRA
62
Chuo kikuu
KYERWA
KAGERA
Gosbert B. BLANDES
47
Chuo kikuu
KARAGWE
KAGERA
Oscar R. MKASA
40
Chuo Kikuu
BIHARAMULO
KAGERA
Deogratias Aloys NTUKAMAZIMA
69
Chuo Kikuu
NGARA
KAGERA
Neka Raphael NEKA
33
Chuo kikuu
KASULU MJINI
KIGOMA
Ndg. Daniel NSANZUGWANGO
54
Diploma
KASULU VIJIJINI
KIGOMA
Ndg. Ntabaliba F. ALBERT
45
Chuo kukuu
MANYOVU
KIGOMA
Eng Christopher CHIZA
53
Masters
BUYUNGU
KIGOMA
Ndg. Jamal Abdallah TAMIMU
41
Elimu ya msingi
MUHAMBWE
KIGOMA
Ndg. Peter SERUKAMBA
38
Masters
KIGOMA MJINI
KIGOMA
Kifu Gulam husein SHABANI
43
Sekondari
KIGOMA KUSINI
KIGOMA
Rabinson F LEMBO
50
Chuo kikuu
KIGOMA KASKAZINI
KIGOMA
Basil Pesambili Mramba
70
chuo kikuu
Rombo
KILIMANJARO
Anne Kilango MALECELA
54
CHUO KIKUU
SAME MASHARIKI
KILIMANJARO
David Matayo DAVID
41
CHUO KIKUU
SAME MAGHARIBI
KILIMANJARO
Fuya Godwin KIMBITA
43
CHUO KIKUU
HAI
KILIMANJARO
Justin SALAKANA
62
CHUO KIKUU
MOSHI MJINI
KILIMANJARO
Chrispin THEOBALD MEELA
38
CHUO KIKUU
VUNJO
KILIMANJARO
Prof. Jumanne MAGHEMBE
59
CHUO KIKUU
MWANGA
KILIMANJARO
Aggrey MWANRI
55
CHUO KIKUU
SIHA
KILIMANJARO
Nd. Kisyeri Warema CHAMBIRI
56
Chuo Kikuu
BABATI - MJINI
MANYARA
Nd. Jitu Vrajil SONI
41
Sekondari
BABATI VIJIJINI
MANYARA
Dr. Mary Michael NAGU
58
Chuo Kikuu
HANANG
MANYARA
Nd. Benedict Ole NANGORO
54
Chuo Kikuu
KITETO
MANYARA
Nd. Philip Sang’ke MARMO
59
Chuo Kikuu
MBULU
MANYARA
Nd. Christopher Olenyokie Ole SENDEKA
46
Sekondari
SIMANJIRO
MANYARA
Ndugu Nimrod Elirehema Mkono
67
Chuo Kikuu
MUSOMA VIJIJINI
MARA
Ndugu Vedastus Mathayo Manyinyi
43
Chuo Kikuu
MUSOMA MJINI
MARA
Ndugu Alphaxard Kangi Lugola
47
Chuo Kikuu
MWIBARA
MARA
Ndugu Stephen Masatu WASIRA
65
Chuo Kikuu
BUNDA
MARA
Ndugu Lameck Okambo Airo
44
Darasa la VII
RORYA
MARA
Ndugu Nyambari Chacha Nyangwine
34
Chuo Kikuu
TARIME
MARA
Dr. Stephen Kebwe KEBWE
53
Chuo Kikuu
SERENGETI
MARA
Ndg, Luckson Ndaga MWANJALE
60
Kujiendeleza
MBEYA VIJIJINI
MBEYA
Ndg, Harrison GeorgeMWAKYEMBE
55
Chuo Kikuu
KYELA
MBEYA
Ndg, Dickson Modestus KILUFI
51
Kidato cha Sita
MBARALI
MBEYA
Ndg, Benson MwailugulaMPESYA
57
Chuo Kikuu
MBEYA MJINI
MBEYA
Ndugu, Victor Kilasile MWAMBALASWA
58
Chuo Kikuu
LUPA
MBEYA
Ndg, Philipo Augustino MULUGO
38
Chuo Kikuu
SONGWE
MBEYA
Prof, Mark James MWANDOSYA
61
Chuo Kikuu
RUNGWE MASHARIKI
MBEYA
Prof, David Homeli MWAKYUSA
68
Chuo Kikuu
RUNGWE MAGHARIBI
MBEYA
Ndg, Aliko Nikusuma KIBONA
54
Chuo Kikuu
ILEJE
MBEYA
Ndg, Godfrey Weston ZAMBI
48
Chuo Kikuu
MBOZI MASHARIKI
MBEYA
Dr, Luka Jelasa Siame
59
Chuo Kikuu
MBOZI MAGHARIBI
MBEYA
Ndugu Aziz Mohamed ABOOD
51
Sekondari
MOROGORO MJINI
MOROGORO
Dr. Lucy Sawere NKYA
58
Chuo Kikuu
MOROGORO MASHARIKI
MOROGORO
Ndugu Innocent KALOGERIS
51
Sekondari
MOROGORO KUSINI
MOROGORO
Ndugu Amos Gabriel MAKALA
39
Chuo Kikuu
MVOMERO
MOROGORO
Ndugu Celina Ompeshi KOMBANI
51
Chuo Kikuu
ULANGA MASHARIKI
MOROGORO
Ndugu Shabiby Ahmed MABUKHUT
43
Sekondari
GAIRO
MOROGORO
Ndugu Mustafa Haidi MKULO
64
Chuo Kikuu
KILOSA
MOROGORO
Ndugu Abdulsalaam uleiman SAS
47
Sekondari
MIKUMI
MOROGORO
Ndugu Hadji Husein MPONDA
52
Chuo Kikuu
ULANGA MAGHARIBI
MOROGORO
Ndugu Abdul Rajabu MTEKETA
59
Sekondari
KILOMBERO
MOROGORO
Nd, Murji Hasnain Mohamedi
44
Kidato cha Nne
MTWARA MJINI
MTWARA
Nd, Hawa Abdleheman Ghasia
1966
Chuo Kikuu
MTWARA VIJIJINI
MTWARA
Nd,Juma Abdalla Njwayo
1964
Chuo Kikuu
TANDAHIMBA
MTWARA
Nd,George Huruma Mkuchika
62
Chuo Kikuu
NEWALA
MTWARA
Nd, Bwanausi Dismas Jerome
51
Kidato cha sita
LULINDI
MTWARA
Nd, Mariam R. Kasembe
1957
Kidato cha Nne
MASASI
MTWARA
Dunstan Daniel Mkapa
1948
Sekondari
NANYUMBU
MTWARA
Ndg. Anthony Mwandu DIALLO
54
Chuo Kikuu
ILEMELA
MWANZA
Laurence Kego MASHA
40
Chuo Kikuu
NYAMAGANA
MWANZA
Dr. Kamani Titus MLENGEYA
53
Chuo Kikuu
BUSEGA
MWANZA
Dr. Limbu Festus BULUGU
54
Chuo Kikuu
MAGU
MWANZA
Ndugu Sharif Hiran MANSOOR
43
Chuo Kikuu
KWIMBA
MWANZA
Ndugu Richard Mganga NDASA
51
Kidato cha III
SUMVE
MWANZA
Donald Kelvin MAX
53
Chuo Kikuu
GEITA
MWANZA
(i) Hussein Nassor AMAR
52
Elimu ya Msingi
NYANG’WALE
MWANZA
Lolesia Maselle BUKWIMBA
39
Chuo Kikuu
BUSANDA
MWANZA
William Mganga NGELEJA
43
Chuo Kikuu
SENGEREMA
MWANZA
Charles John TIZEBA
49
Chuo Kikuu
BUCHOSA
MWANZA
Charles Kitwanga MAWEMATATU
50
Chuo Kikuu
MISUNGWI
MWANZA
Getrude Ibengwe MONGELA
65
Chuo Kikuu
UKEREWE
MWANZA
Ndg, Jenista Joakim MHAGAMA
43
Chuo Kikuu
PERAMIHO
RUVUMA
Ndg. Mtutura Abdalla MTUTURA
49
Sekondari
TUNDURU KUSINI
RUVUMA
Ndg. Ramo Matala MAKANI
50
Chuo Kikuu
TUNDURU KASKAZINI
RUVUMA
Capt. John Daniel KOMBA
56
Chuo Kikuu
MBINGA MAGHARIBI
RUVUMA
Ndg. Gaudence Cassian KAYOMBO
55
Chuo Kikuu
MBINGA MASHARIKI
RUVUMA
Ndg. Emmanuel John NCHIMBI
39
Chuo Kikuu
SONGEA
RUVUMA
Ndg. Vita Rashid KAWAWA
46
Diploma
NAMTUMBO
RUVUMA
Ndugu Samwel John SITTA
68
Chuo Kikuu
URAMBO MASHARIKI
TABORA
Ndg. Juma Athuman KAPUYA
65
Chuo Kikuu
URAMBO MAGHARIBI
TABORA
Ndugu Ismail Aden RAGE
53
Sekondari
TABORA
TABORA
Ndugu Rostam Abdulsasu AZIZI
48
Chuo Kikuu
IGUNGA
TABORA
Ndugu Said Juma NKUMBA
42
Sekondari
SIKONGE
TABORA
Ndugu Athuman Rashid MFUTAKAMBA
58
Chuo Kikuu
IGALULA
TABORA
Ndugu Sumar Shaffin MAMLO
40
Sekondari
TABORA KASKAZINI
TABORA
Ndugu Seleman Jumanne ZEDI
45
Chuo Kikuu
BUKENE
TABORA
(iiDr. Hamisi Andrea KIGWANGALA
35
Chuo Kikuu
NZEGA
TABORA
Ndugu Omari Rashid NUNDU
62
Chuo kikuu
TANGA
TANGA
Beatrice Matumbo SHELUKINDO
52
Chuo Kikuu
KILINDI
TANGA
Herbert James MNTANGI
1950
Chuo Kikuu
MUHEZA
TANGA
Danstan Luka KITANDULA
1967
Chuo Kikuu
MKINGA
TANGA
Salehe Ahmed PAMBA
1950
Chuo Kikuu
PANGANI
TANGA
Henry Daffa SHEKIFU
64
Sekondari
LUSHOTO
TANGA
January MAKAMBA
36
Chuo Kikuu
BUMBULI
TANGA
Yusuph A. NASRI
45
Diploma
KOROGWE MJINI
TANGA
Brig. Gen. Hassan Athuman NGWILIZI
66
Sekondari
MLALO
TANGA
Stephen NGONYANI
54
Msingi
KOROGWE VIJIJINI
TANGA
Dr. Abdalah Omari KIGODA
57
Chuo Kikuu
HANDENI
TANGA
Idd Mohamed AZZAN
45
Kidato cha IV
KINONDONI
DAR ES SALAAM
Hawa Mgonja NG’HUMBI
54
Chuo Kikuu
UBUNGO
DAR ES SALAAM
Angella Charles KIZIGHA
36
Chuo Kikuu
KAWE
DAR ES SALAAM
Mussa Azzan ZUNGU
58
Chuo cha Anga
ILALA
DAR ES SALAAM
Eugen Elishiringa MWAIPOSA
50
Chuo Kikuu
UKONGA
DAR ES SALAAM
Dr. Milton Makongoro MAHANGA
55
Chuo Kikuu
SEGEREA
DAR ES SALAAM
Mtemvu Abbas ZUBERI
51
Kidato cha IV
TEMEKE
DAR ES SALAAM
Dr. Ndugulile FAUSTINE
41
Chuo Kikuu
KIGAMBONI
DAR ES SALAAM
Mallole, David Mciwa
55
Chuo Kikuu
DODOMA MJINI
DODOMA
Zabein Muhaji Muhita
60
Chuo Kikuu
KONDOA KASKAZINI
DODOMA
Juma Selemani Nkhamia
38
Chuo Kikuu
KONDOA KUSINI
DODOMA
Badwel Omari A.
41
Chuo Kikuu
BAHI
DODOMA
Ndugai Job Yustino
50
Chuo Kikuu
KONGWA
DODOMA
Simbachawene George B.
42
Chuo Kikuu
KIBAKWE
DODOMA
Lussinde, Livingstone J.
38
Msingi
MTERA
DODOMA
Teu, Gregory G.
59
Chuo Kikuu
MPWAPWA
DODOMA
Chibulunje Hezekiah Ndahani
64
Chuo Kikuu
CHILONWA
DODOMA
Nd, Kassim Majaliwa MAJALIWA
50
Chuo Kikuu
RUANGWA
LINDI
Nd Chikawe Mathias MEINRAD
59
Chuo Kikuu
NACHINGWEA
LINDI
Nd. Muraza Ali MANGUNGU
34
Chuo Kikuu
KILWA KASKAZINI
LINDI
(3)Nd.Madabida Ramadhani RASHID
60
Chuo Kikuu
KILWA KUSINI
LINDI
Nd, Faith Mohamed MITAMBO
51
Form IV
LIWALE
LINDI
Nd.Mohamed Abdulazizi
52
Form IV
LINDI MJINI
LINDI
Nd. Saidi M. MTANDA
30
Chuo Kikuu
MCHINGA
LINDI
Nd. Benard Kamilius MEMBE
57
Chuo Kikuu
MTAMA
LINDI
Dr. Shukuru J. KAWAMBWA
53
Chuo Kikuu
BAGAMOYO
PWANI
Ndg. Saidi Athuman BWANAMDOGO
41
Chuo Kikuu
CHALINZE
PWANI
Ndugu Seleman Saidi JAFO
37
Chuo Kikuu
KISARAWE
PWANI
Ndugu Abdul J. MAROMBWA
52
Chuo Kikuu
KIBITI
PWANI
Ndugu Mahamud Abuu JUMAA
40
Msingi
KIBAHA VIJIJINI
PWANI
Ndugu Silvestery F. KOKA
45
Chuo Kikuu
KIBAHA MJINI
PWANI
Ndugu Adam Kighoma MALIMA
44
Chuo Kikuu
MKURANGA
PWANI
Dr. Seif Seleman RASHID
53
Chuo
RUFIJI
PWANI
Ndugu Abdulkarim E. SHAHA
49
Sekondari
MAFIA
PWANI
Malocha Aloyce IGNACE
50
Kidato cha IV
KWELA
RUKWA
Kandege Sinkamba JOSEPHAT
46
Chuo Kikuu
KALAMBO
RUKWA
Ally Mohd KESSY
61
Kidato cha IV
NKASI KASKAZINI
RUKWA
Deusderius MIPATA
50
Kidato cha IV
NKASI KUSINI
RUKWA
Mhe. Mizengo Kayanza Peter PINDA
62
Chuo Kikuu
MLELE
RUKWA
Sebastian Simon KAPUFI
44
Kidato cha VI
MPANDA KATI (MJIN
RUKWA
Aeshi khalfan HILALY
37
Darasa la 7
SUMBAWANGA MJINI
RUKWA
Moshi S. KAKOSO
42
Shule ya Msingi
MPANDA VIJIJINI
RUKWA
Steven Julius Masele
32
Chuo Kikuu
SHINYANGA MJINI
SHINYANGA
Nchambi Seleman Masoud
32
Sekondari
Kishapu
SHINYANGA
(ii James Daud Lembeli
54
Sekondari
Kahama
SHINYANGA
Maige Ezekiel Magolyo
40
Chuo Kikuu
Msalala
SHINYANGA
AhmeD Ally Salum
44
Sekondari
Solwa
SHINYANGA
Emanuel Jumanne Luhahula
47
Chuo Kikuu
Bukombe
SHINYANGA
Masele Agustino Manyanda
45
Chuo Kikuu
Mbogwe
SHINYANGA
Makondo Martine Kaunda
47
Chuo Kikuu
Bariadi Mashariki
SHINYANGA
Chenge Andrew John
63
Chuo Kikuu
Bariadi Magharibi
SHINYANGA
Bunyongoli Peter Edward
44
Sekondari
Maswa Mashariki
SHINYANGA
Kisena Robert Simon
39
Sekondari
Maswa Magharibi
SHINYANGA
Salum Khamis Salum
45
Chuo Kikuu
Meatu
SHINYANGA
(ii Joelson Luhaga Mpina
36
Chuo Kikuu
Kisesa
SHINYANGA
Mohamed Gulam DEWJI
35
Chuo Kikuu
SINGIDA MJINI
SINGIDA
Capt. (Mst) John CHILIGATI
60
Chuo Kikuu
MANYONI MASHARIKI
SINGIDA
John Paul LWANJI
61
Diploma
MANYONI MAGHARIBI
SINGIDA
Mwigulu Lameck Nchemba MATELU
32
Chuo Kikuu
IRAMBA MAGHARIBI
SINGIDA
Salome David MWAMBU
56
Chuo Kikuu
IRAMBA MASHARIKI
SINGIDA
Lazaro Samwel NYALANDU
40
Chuo Kikuu
SINGIDA KASKAZINI
SINGIDA
Alhaj Mohamed MISANGA
56
Chuo Kikuu
SINGIDA MAGHARIBI
SINGIDA
Jonathan Andrew NJAU
48
Chuo Kikuu
SINGIDA MASHARIKI
SINGIDA

Source: Website ya Chama Cha Mapinduzi - CCM
 
nimeona kwenye TBC chiligati akieleza wagombea waliopitishwa na walipigwa chini.. haraka haraka naona Chenge and Mramba wamepita ambapo chiligati kaeleza kuwa ni kuwa na kesi hakumuondolei mtu haki ya kugombea kwa sababu bado ni mtuhumiwa tu. ila nimeshindwa kuelewa aliposema Mwakalebela kapigwa chini huko iringa mjini na nafasi yake kuchukuliwa na Monica mbega. swali ni je Mwakalebela naye si mtuhumiwa tu??? iweje kuwe na double standard.... au Chenge na Mramba ni vigogo wameogopa kuwagusa.

aidha NEC imesema Bashe si mtanzania na hivyo kuvuliwa vyeo vyake vyote. swali hivi Selelii si ndo alikuwa wa pili... sasa mbona kapitishwa Hamis Kigwangala??? naomba jibu mwenye nalo,

haya bwana baadhi ya waliopitishwa ni hawa hapa.

TABORA

i. Tabora Urban: Ismail RAGE
ii. Tabora North: Sumar MAMLO
iii. Urambo East: Samuel SITTA
iv. Urambo West: Prof. Juma KAPUYA
v. Igunga: Rostam AZIZ
vi. Sikonge: Said NKUMBA
vii. Igalula: Athuman MFUTAKAMBA
viii. Bukene: Seleman ZEDI
ix. Nzega: Hamis KIGWANGALA

IRINGA

i. Iringa Urban Monica MBEGA
ii. Isimani: William LUKUVI
iii. Kalenga: William MGIMWA
iv. Kilolo: Prof. Peter MSOLLA
v. Ludewa: Deo FILIKUNJOMBE
vi. Makete: Dr. Binilith MAHENGE
vii. Mufindi North: Mohamed MGIMWA
viii. Mufindi South: Menrad KIGOLA
ix. Njombe North: Deo SANGA (Jah People)
x. Njombe South: Anne MAKINDA
xi. Njombe West: Gerson LWENGE

ARUSHA

i. Arusha: Dr. Batilda BURIANI
ii. Arumeru East: Jeremiah SUMARI
iii. Arumeru West: Goodluck Ole MEDEYE
iv. Karatu: Dr. Wilbald LORRI
v. Longido: Michael LAIZER
vi. Monduli: Edward LOWASSA
vii. Ngorongoro: Saning’o Ole TELELE


KAGERA

i. Nkenge: Assumpter MSHAMA
ii. Bukoba Urban: Khamis KAGASHEKI

iii. Bukoba Rural: Jasson RWEIKIZA
iv. Muleba North: Charles MWIJAGE
v. Muleba South: Anna TIBAIJUKA
vi. Chato: John MAGUFULI
vii. Kyerwa: Eustace KATAGIRA
viii. Karagwe: Gosbert BLANDES
ix. Biharamulo: Oscar MUKASA
x. Ngara: Deogratias NTUKAMAZINA

KIGOMA

i. Kigoma Urban: Peter SERUKAMBA
ii. Kigoma South: Gulam KIFU
iii. Kasulu Urban: Neka NEKA
iv. Kasulu Rural: Daniel NSANZUGWANKO
v. Manyovu: Albert NTABALIBA
vi. Buyungu: Christopher CHIZA
vii. Muhambwe: Jamal TAMIMU
viii. Kigoma North: Rabinson LEMBO

KILIMANJARO

i. Moshi Urban: Justin SALAKANA
ii. Moshi Rural: Dr. Cyril CHAMI
iii. Rombo: Basil MRAMBA
iv. Same East: Anne MALECELA
v. Same West: David DAVID
vi. Hai: Fuya KIMBITA
vii. Vunjo: Chrispin MEELA
viii. Mwanga: Prof. Jumanne MAGHEMBE
ix. Siha: Aggrey MWANRI

MANYARA

i. Babati Urban: Kisyeri CHAMBIRI
ii. Babati Rural: Jitu SONI
iii. Hanang: Dr. Mary NAGU
iv. Kiteto: Benedict Ole NANGORO
v. Mbulu: Philip MARMO
vi. Simanjiro: Christopher Ole SENDEKA

MARA

i. Musoma Urban: Vedasto MATHAYO Manyinyi
ii. Musoma Rural: Nimrod MKONO
iii. Mwibara: Alphaxard LUGOLA
iv. Bunda: Stephene WASSIRA
v. Rorya: Lameck AIRO
vi. Tarime: Nyambari NYANGWINE
vii. Serengeti: Dr. Stephene KEBWE

MBEYA

i. Mbeya Urban: Benson MPESYA
ii. Mbeya Rural: Luckson MWANJALA
iii. Kyela: Dr. Harrison MWAKYEMBE
iv. Mbarali: Dickson KILUFI
v. Lupa: Victor MWAMBALASWA
vi. Songwe: Philipo MULUGO
vii. Rungwe East: Prof. Mark MWANDOSYA
viii. Rungwe West Prof. David MWAKYUSA
ix. Ileje: Aliko KIBONA
x. Mbozi Mashariki: Godfrey ZAMBI
xi. Mbozi West: Dr. Luka SIAME

MOROGORO

i. Morogoro Urban: Aziz ABOOD
ii. Morogoro South East: Dr. Lucy NKYA
iii. Morogoro South: Innocent KALOGERIS
iv. Mvomero: Amos MAKALA
v. Ulanga East: Celina KOMBANI
vi. Ulanga West: Haji MPONDA
vii. Gairo: Ahmed SHABIBY
viii. Kilosa: Mustafa MKULO
ix. Mikumi: Abdulsalaam SULEIMAN
x. Kilombero: Abdul MTEKETA

MTWARA

i. Mtwara Urban: Murji MOHAMED
ii. Mtwara Rural: Hawa GHASIA
iii. Masasi: Mariam KASEMBE
iv. Lulindi: Jerome BWANAUSI
v. Tandahimba: Juma NJWAYO
vi. Newala: George MKUCHIKA
vii. Nanyumbu: Dunstan MKAPA

MWANZA

i. Ilemela: Anthony DIALLO
ii. Nyamagana: Laurence MASHA
iii. Busega: Dr. Kamani MLENGENYA
iv. Magu: Dr. Festus Limba
v. Kwimba: Sharif MANSOOR
vi. Sumve: Richard NDASA
vii. Geita: Donald MAX
viii. Nyang’wale: Hussein AMAR
ix. Sengerema: William NGELEJA
x. Buchosa: Charles TIZEBA
xi. Misungwi: Charles KITWANGA
xii. Ukerewe: Getrude MONGELA.

RUVUMA

i. Songea Urban: Emmanuel NCHIMBI
ii. Peramiho: Jenister MHAGAMA
iii. Namtumbo: Vita KAWAWA
iv. Tunduru South: Mtutura MTUTURA
v. Tunduru North: Ramo MAKANI
vi. Mbinga West: Capt. John KOMBA
vii. Mbinga East: Gaudence KAYOMBO
 
Majina ya awali ya wagombea wa CCM hapa chini hayana uwiano kabisa, hasa ukichukulia nchi yetu ina dini za aina mbalimbali....utakuta kuna mkoa hakuna mgombea wa kiislamu, wakati mkoa mwingine kuna mgombea mmoja tu wa kikristu?? Maralia Sugu na wadau wengine, nadhani hili suala linahitaji mjadalla mpana zaidi...tusipoangalia nchi hii inapotea...

List of the endorsed candidates

08_10_2jaqvc.jpg
The list of the names of parliamentary aspirants endorsed by the CCM National Executive Committee:

ARUSHA

i. Arusha: Dr. Batilda BURIANI
ii. Arumeru East: Jeremiah SUMARI
iii. Arumeru West: Goodluck Ole MEDEYE
iv. Karatu: Dr. Wilbald LORRI
v. Longido: Michael LAIZER
vi. Monduli: Edward LOWASSA
vii. Ngorongoro: Saning’o Ole TELELE

IRINGA

i. Iringa Urban Monica MBEGA
ii. Isimani: William LUKUVI
iii. Kalenga: William MGIMWA
iv. Kilolo: Prof. Peter MSOLLA
v. Ludewa: Deo FILIKUNJOMBE
vi. Makete: Dr. Binilith MAHENGE
vii. Mufindi North: Mohamed MGIMWA
viii. Mufindi South: Menrad KIGOLA
ix. Njombe North: Deo SANGA (Jah People)
x. Njombe South: Anne MAKINDA
xi. Njombe West: Gerson LWENGE

KAGERA

i. Nkenge: Assumpter MSHAMA
ii. Bukoba Urban: Khamis KAGASHEKI

iii. Bukoba Rural: Jasson RWEIKIZA
iv. Muleba North: Charles MWIJAGE
v. Muleba South: Anna TIBAIJUKA
vi. Chato: John MAGUFULI
vii. Kyerwa: Eustace KATAGIRA
viii. Karagwe: Gosbert BLANDES
ix. Biharamulo: Oscar MUKASA
x. Ngara: Deogratias NTUKAMAZINA

KIGOMA

i. Kigoma Urban: Peter SERUKAMBA
ii. Kigoma South: Gulam KIFU
iii. Kasulu Urban: Neka NEKA
iv. Kasulu Rural: Daniel NSANZUGWANKO
v. Manyovu: Albert NTABALIBA
vi. Buyungu: Christopher CHIZA
vii. Muhambwe: Jamal TAMIMU
viii. Kigoma North: Rabinson LEMBO

KILIMANJARO

i. Moshi Urban: Justin SALAKANA
ii. Moshi Rural: Dr. Cyril CHAMI
iii. Rombo: Basil MRAMBA
iv. Same East: Anne MALECELA
v. Same West: David DAVID
vi. Hai: Fuya KIMBITA
vii. Vunjo: Chrispin MEELA
viii. Mwanga: Prof. Jumanne MAGHEMBE
ix. Siha: Aggrey MWANRI

MANYARA

i. Babati Urban: Kisyeri CHAMBIRI
ii. Babati Rural: Jitu SONI
iii. Hanang: Dr. Mary NAGU
iv. Kiteto: Benedict Ole NANGORO
v. Mbulu: Philip MARMO
vi. Simanjiro: Christopher Ole SENDEKA

MARA

i. Musoma Urban: Vedasto MATHAYO Manyinyi
ii. Musoma Rural: Nimrod MKONO
iii. Mwibara: Alphaxard LUGOLA
iv. Bunda: Stephene WASSIRA
v. Rorya: Lameck AIRO
vi. Tarime: Nyambari NYANGWINE
vii. Serengeti: Dr. Stephene KEBWE

MBEYA

i. Mbeya Urban: Benson MPESYA
ii. Mbeya Rural: Luckson MWANJALA
iii. Kyela: Dr. Harrison MWAKYEMBE
iv. Mbarali: Dickson KILUFI
v. Lupa: Victor MWAMBALASWA
vi. Songwe: Philipo MULUGO
vii. Rungwe East: Prof. Mark MWANDOSYA
viii. Rungwe West Prof. David MWAKYUSA
ix. Ileje: Aliko KIBONA
x. Mbozi Mashariki: Godfrey ZAMBI
xi. Mbozi West: Dr. Luka SIAME

MOROGORO

i. Morogoro Urban: Aziz ABOOD
ii. Morogoro South East: Dr. Lucy NKYA
iii. Morogoro South: Innocent KALOGERIS
iv. Mvomero: Amos MAKALA
v. Ulanga East: Celina KOMBANI
vi. Ulanga West: Haji MPONDA
vii. Gairo: Ahmed SHABIBY
viii. Kilosa: Mustafa MKULO
ix. Mikumi: Abdulsalaam SULEIMAN
x. Kilombero: Abdul MTEKETA

MTWARA

i. Mtwara Urban: Murji MOHAMED
ii. Mtwara Rural: Hawa GHASIA
iii. Masasi: Mariam KASEMBE
iv. Lulindi: Jerome BWANAUSI
v. Tandahimba: Juma NJWAYO
vi. Newala: George MKUCHIKA
vii. Nanyumbu: Dunstan MKAPA

MWANZA

i. Ilemela: Anthony DIALLO
ii. Nyamagana: Laurence MASHA
iii. Busega: Dr. Kamani MLENGENYA
iv. Magu: Dr. Festus Limba
v. Kwimba: Sharif MANSOOR
vi. Sumve: Richard NDASA
vii. Geita: Donald MAX
viii. Nyang’wale: Hussein AMAR
ix. Sengerema: William NGELEJA
x. Buchosa: Charles TIZEBA
xi. Misungwi: Charles KITWANGA
xii. Ukerewe: Getrude MONGELA.

RUVUMA

i. Songea Urban: Emmanuel NCHIMBI
ii. Peramiho: Jenister MHAGAMA
iii. Namtumbo: Vita KAWAWA
iv. Tunduru South: Mtutura MTUTURA
v. Tunduru North: Ramo MAKANI
vi. Mbinga West: Capt. John KOMBA
vii. Mbinga East: Gaudence KAYOMBO

TABORA

i. Tabora Urban: Ismail RAGE
ii. Tabora North: Sumar MAMLO
iii. Urambo East: Samuel SITTA
iv. Urambo West: Prof. Juma KAPUYA
v. Igunga: Rostam AZIZ
vi. Sikonge: Said NKUMBA
vii. Igalula: Athuman MFUTAKAMBA
viii. Bukene: Seleman ZEDI
ix. Nzega: Hamis KIGWANGALA
 
Kama hii ni sahihi, basi mimi nimefarijika sana Bulji kupita, maana huyu Omar alijiona yeye ni yeye sana kwa kutumia nafasi yake na kuwarubuni wana usalama wa mafia kuwaadhibu watu wetu... Nauliza, Omar Kimbau umefanya nini mafia mpaka watu tukimbizane??? Naipa sifa sana NEC kama imemrudisha Mh Shah, maana sasa mafia hata viongozi wanaleta neno chuki... chuki ya nini ikiwa wewe ni kiongozi wa juu wa eneo?? inasikitisha sana.. Safi sana Bulji........Keep it up men, mafia si nchi ya malkia... eti kurithishana viti. Lol

I love my Island, I hate all who made my island and its people into a hectic condition...
 
DUU!hiyo kali sana yaani D.C mzima anampigia kampeni mgombea!
alikuwa anapumzika nini hapo kwa huyo bibie?
na hilo tamasha la mashoga jamani pia ni kuvujia heshima wananchi wa mafya,najiuliza huko MAFYA hakuna DISTRICT SECURITY OFFICER yaani DSO?mbona anamchekea tu huyo Mheshimiwa?
 
Kichwa cha Habari unatufahamisha kuwa CCM imemtosa kimbau. Tunaingia kwenye thread wewe mwenyewe tena unatuuliza kama CCM imemtosa Kimbau!!! Ungetuuliza hivyo basi toka mwanzo kwenye Kichwa cha habari! Tupunguze kuandika vichwa vya habari dizaini ya magazeti ya Udaku, jamani! :confused2:
 
DUU!hiyo kali sana yaani D.C mzima anampigia kampeni mgombea!
alikuwa anapumzika nini hapo kwa huyo bibie?
na hilo tamasha la mashoga jamani pia ni kuvujia heshima wananchi wa mafya,najiuliza huko MAFYA hakuna DISTRICT SECURITY OFFICER yaani DSO?mbona anamchekea tu huyo Mheshimiwa?
Nadhani katika lugha za makabila fulani ya kanda ya ziwa, neno MAFYA lina maana mbaya sana, ni afadhali uandike vizuri tu kuwa ni kisiwa cha MAFIA. Teh !!!Teh !!!Teh !!!Teh !!!Teh !!!Teh !!!Teh !!!
 
Kwani Waislamu walikatazwa kugombea kwenye nafasi hizo..afu kuna mikoa inajulikana wazi wazi wakaazi wake in majority ni wa madhehebu ya kikristu..kagera ..Mbeya na Kilimanjaro kuna wingi wa Wakikristu ila kule kwa Tip tipu ndo Maustaadhi wapo ngoja ije lindi na mtwara utaona wadau unaowataka
 
Je ni kweli kaanguka au vipi?
hebu mlioko Dom tujulisheni

Mikoa ya Tanga,Dodoma,Singida,Rukwa,Shinyanga,Lindi,Dar-Es-Salaam,Pwani na Mikoa ya Zanzibar itajadiliwa leo (Jumapili),Wilaya ya Mafia ipo Mkoani Pwani kwa maana hiyo majibu yake bado.Pia Jumapili NEC itajadili majina ya wagombea nafasi za Viti Maalumu.
 
Nadhani umechanganya kidogo, huu ni uchaguzi wa wabunge sio wa mashehe wala wachungaji.

Unaweza ukaenda kwenye makanisa au misikiti kuulizia ratiba za chaguzi zao kama zipo.
 
ni aibu kuanza kufuatilia dini za wanasiasa tena ni aibu kwa mtu mwenye akili zake tunataka maendeleo watu walio maskini wa sera huanza kuangalia dini baada ya hapo utahitaji kila kabila liwe na mbunge kuweka uwiano:mad2:
 
Friends of JK,(friendsofjeykey) Mkuu hebu tuulizie huko vikaoni, kwa mantiki ipi Basil Mramba, mtu mwenye kesi nzito mahakamani akawa na uadilifu wa kukiwakilisha chama mjengoni kupitia jimbo la huko Rombo
 
Jamani stop duplicating lists,mwenye complete list aiweke hadharani ivi vipande vipande tushachoka navyo
 
Tatizo ni kwamba list hii ni ile iliyojadiliwa kabla ya break saa moja jioni jana. Mpaka sasa wadau wameshindwa kuleta iliyojadiliwa baada ya saa 3.00 usiku. hebu leteni tufunge mjadala huu, tayari kwa kuanza kampeni rasmi!......
 
Back
Top Bottom