Lissu vs Simbachawene LIVE on TBC1

huyu mtangazaji mbona Lisu akiongea anamkatisha. Akiongea Simbachawene anamwacha ajimwage nahamia star tv!
 
Haujaolewa nini , mbona unapenda sana kuongelea mambo ya Ndoa? LISSU Mpayukaji ataongea nini Mbele Mtaalam Simba Chawene zaidi kutukana na kashfa kibao.

Kama Watanzania wenyewe ndo hawa, bado safari ya ukombozi ni ndefu.
 
Leteni habari watu hatupo karibu na tv, jembe lissu na kisu butu cha umma simbachawene wanongea nin?
 
Back
Top Bottom