Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

Wabunge wote wa ccm ni watumwa kwa kiasi fulani. Wakiwa nje ya Bunge wanaonekana kuwa na akili timamu na hata kulalamika kuhusu utendaji wa serikali lakini bungeni hawathubutu kusema au kusimamia yale wanayoyalalamikia huku mtaani. Kama mbunge hayuko huru wananchi wa kawaida watakuwaje?
Wabunge wote CCM wamelogwa! Wakiwa mjengoni wanawaza ipo siku watateuliwa kuwa mawaziri au spika, ukichanganya na posho haramu wanazopokea ndo kabisa zinafanya akili zao kuwa na magamba!
 
Back
Top Bottom