Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

waache CCM watetee mafisadi ila mwisho wao utafika!


CDM endeleeni kumwaga mchele ili watz tuone pumba za mbumbumbu wa ccm!
 
Kama CCM wanamacho wakubaliane na hoja za bungeni,mkiacha chadema waje kushtaki kwa umma ndio hapo mnapotengeneza BOMU BOMU HATARI, wakifikisha kwa umma na umma umeona kupitia televisheni JINSI WABUNGE WA CCM WANAVYOZOMEA watataka kuonyesha HURUMA YAO KWA CHADEMA ndio hapo mtakapoona HAPATOSHI. Wabunge wa CHAMA TAWALA HAMJENGI KAMWE MNABOMOA CHAMA KWA STAHILI HIYO.

CCM CHONDE CHONDE MSIPUUZE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mh.Tundu Lisu ameitaka serikali kumshaki Adrew chenge kwa wizi wa mabilion ya pesa za walipakodi lakini msemaji wa serikali anamjibu eti awapeleke wahusika mahakaman kama anaushahidi je wanajamvi inamaana hiyo report ya mtafiti kutoka Uingereza haikuifikia serikali
 
Alafu ccm wanapitisha hoja kwa kusema ndiOooooooo hawa jamaa hawa wako kichama zaidi
 
Sasa eti Membe anazitaka pesa za rada zirudi!! Kwa faida ya nani???

Empty head!
 
Tundu Lissu kajibiwa kuwa, kama unaushahidi leta tuupeleke mahakamani au upeleke takukuru au upeleke wewe mwenyewe Mahakamani.

Sasa anangoja nini?

Barua imeelekezwa kwa Mwanasheria Mkuu wa serikal kwa nini haendi mahakamani kushitaki? Wewe masikio pamoja na akili zako ziko down.
 
Oh! My God! U-CCM unaiua nchi. Inakera unapoona watu wazima(ccm) wanakuwa wanafiki hata kwa nafsi zao! Laana iwafuate makaburini siku wakifa!
 
Tundu Lissu kajibiwa kuwa, kama unaushahidi leta tuupeleke mahakamani au upeleke takukuru au upeleke wewe mwenyewe Mahakamani.Sasa anangoja nini?
wewe Gamba nn? Ushaidi alionao lissu ni barua ambayo iliandkwa kwenda kwa ofisi ya AG na ofisi hyo ni part ya serikali sasa wapelekewe nng? Ebu jarbu kufkr ww co unakurupuka tu.
 
Unajua kutoka hadharani kwa wananchi kama chama lazima kuwe na hoja sasa ccm wametupatia hoja ya kwenda nayo kwa wananchi, hii itawagharimu kwani watapaswa kuitetea pindi itakapo wasilishwa kwa wananchi, Lissu kaza buti
 
Hivi hamjui kuwa Akina Chenge na wenzake wananguvu sana ndani ya chama, hususani kwa wabunge. Huyo nape anapiga kelele tu lakini hawa jamaa hawa shikiki. Hiyo ni picha ya wazi kuonesha ile dhana ya kujivua gamba walikurupuka.
 
Tundu Lissu kajibiwa kuwa, kama unaushahidi leta tuupeleke mahakamani au upeleke takukuru au upeleke wewe mwenyewe Mahakamani.

Sasa anangoja nini?

Ushauri wangu kwako:
Jaribu kuwa na akili yako badala ya kuazima za mwingine.

Kama elimu yako imejaa, utakuwa uligundua kwamba Serikali imejidai kwamba haina ushahidi. Kumbe walipelekewa ushahidi wao wenyewe na hawakuchukuwa hatua. Nani apeleke ili wachukuwe hatua?
 
Mimi najisikia kama mateka,naona tumetekwa na serikali ya CCM we are slaves in our own land!
 
Back
Top Bottom