Lissu: Ninaamini katika itikadi ya ujamaa tangu zamani

kilombero yetu

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,004
116
AKIHOJIWA NA GAZETI LA RAIA MWEMA LA JUNI 9-JUNE 14,2011. LISU ALISEMA;

".................nilikuwa mwana ccm wakati ule wa chama kimoja usingeweza kuingia chuo bila kujiunga na chama.mara baada ya vyama vingi nilikuwa mwanachama wa NCCR MAGEUZI...Nisingeweza kuwa chadema kwasababu kilikuwa chama kisicho na msimamo mkali...hao watu walikuwa waoga wanaogopa kuweka msimamo mkali.nikama chama cha kibepari hivi na mimi kimsimamo nimekuwa mjamaa..."WADAUUUU

sasa cdm itikadi ni ubepari, je itafikia malengo kwakuwa na watu wenye itikadi nyingine ndani ya chama?kwakuwa mbowe alisema bungeni juzi kuwa ubepari katika dunia ya sasa hauepukiki.
 
CRAP Crap
ccm na chdma nani bepari?
 
@Tumaini letu, tafuta manifesto ya chadema 2010 (chadema website) na utaona wao wanafuata itikadi gani. In case inakuwa tabu basi CHADEMA wanafuata mlengo wa KATI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom