Lissu naye kuenguliwa

Status
Not open for further replies.
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone

Ahsante kwa kutoboa ukweli kuhusu njama hizi licha ya kuwa ni Watanzania wachache tu wanaofahamu kinachoendelea nyuma ya pazia.
CHADEMA na watanzania wapenda mabadiliko wote wanapashwa kubuni mikakatina mbinu mpya za kugharisha njama hizi. Chelea chelea ..mwana si wako; na majuto ni mjukuu.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/245397-godbless-lema-avuliwa-ubunge-43.html#post3631736
 
wanachofanya MAGAMBA ni kuwaweka busy wabunge wa CDM na kesi ili wasiwatumikie wananchi ili next election ionekane they did nothing

Mrema na Lwamwai walitumia njia hiyo hiyo waliposhindwa na Mkapa:disapointed:
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone

Baba Riz aliwa declare afadhali Dr awe presidaa kuliko Lissu awe Mbunge....kuna mkono wake pale!!!
 
Mahakama ni chombo huru wana haina link na usalama wa taifa wala CCM. Kumbuka wanaitwa usalama wa Taifa na si usalama wa CCM. Kama Lissu alifunja sheria rungu la mahakama litamgonga tu. Tuachie mahakama iwe huru ifanye kazi yake

Alifunja=Alivunja
 
Ccm chini ya dola au juu ya dola . Mimi nafikiri ni juu ya dola kwasbabu wanaiendesha kwa remote control including other state organs i mean; the judiciary and the legislature
 
Yaani hapa nionavyo mimi hakuna ukombozi hapa nchini kwenye sanduku la kura. Jamani hapa tufanye kama MALI tu kitaeleweka
 
wajinga magamba hawna kitu,kwanza ndo wanazidi kukitangaza CDM,wangewaacha kingejimaliza chenyewe
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone
Sitaki kusema kama ni kweli au uongo kuwa CCM wanampango huo................
Ila ninachokiona hapa ni uzishi uliobuni bila ushahihidi kwa kuhalalisha eti "umeambiwa na jamaa yako wa usalam wa taifa"
Na kwakuwa unajua hiki ndicho pro CDM wengi wanapenda kusikia basi unapata wachangiaji wanaoshindwa hata kuhoji uhalali wa chanzo cha habari yako.
BTW kama ni kweli basi umemponza huyo "jamaa yako wa usalama wa taifa" kibarua chake kiko matatani.......maana humu wanatembelea kila siku
Na wakijua mtu walio mtuma kavujisha siri unadhani nini kitampata......sio rahisi kihivyo, umebuni tu
 
Mfa maji haachi....... Hata wafanye mbinu chafu, nyekundu itabaki kuwa nyekundu tu! Haitabadilika kuwa yeupe, njano,kijani wala bluu.
 
Mmmh.....watu mtaanza na kuzusha vya uongo sasa ilimradi discussion tu iendelee!
sio chi chat hapa..juzi watu walivyokuna uzi kuwa hakimu wa lema kahongwa nyie chit chat mlisema kuwa ni stori za kwenye bar
 
Mwuendelezo wa chuki ndidi ya Watz, hiyo ndiyo dua la magamba kuwa na Lisu yamkute kama Lema, ila hapo ngoma ni nzito.
 
Wakuu kwa taarifa zilizo nifikia hapa muda ni kwamba baada ya hawa wajamaa kufa na Lema sasa amri iko wima kwamba Mnyika lazima aondoke afuatiwe na Lissu na Meatu .Kama habari hizi ni za kweli hakika tunaelekea kubaya nimeona wakuu niwape taarifa hizi kama nilivyo zipata muda huu .Hii imekaaje kama demokrasia ndiyo ilivyo kwenye hii Nchi ?Wewe una habari za kama zangu ?
 
Yawezekana kweli, kumbuka hivi ni vita na mapambano nimakali na yamepamba moto baada ya Arumeru. But wanapoteza muda. dawa ni maisha bora kila mtanzania tatizo siyo hao watu but warudisha haki wanayo tuibia .
 
Hakika hata kama wangewafukuza wabunge wote wa chadema basi hayo majimbo yakirudiwa uchaguzi yatarudi kwa chadema tena kwa kura nyingi, kwa hiyo wanajisumbua na shughuli za kufanya pia hawana ila wanataka kuteketeza fedha za walipa kodi kwa ajili ya chaguzi ndogo zisizo na maana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom