Lissu asimama kizimbani kwa masaa 3:30

Nadhani baada ya kutenguea ubunge wa Lema kule Arusha wangefanya kautafiti waone jinsi wananchi walivyoongeza hasira kwa li chama lao chawi na jinsi walivyozidisha kuchukia liserikali lao legelege na viongozi wao wezi na michwa,vinginevyo waendelee na mpango wao wakuwapoka ubunge wa bunge wa chadema lakini mwisho wa siku haki itasimama
 
Kushindwa kwa ccm kunafanya mahakama zionekane siyo shm ya haki tena Tz
 
Sisi tuna Mungu wao wana mahakama bt kwa Mungu hakuna kinachoshindikana sana sana wataumbuka tu na Lissu atashinda..
 
Mdogo wangu lissu, wewe umeshamaliza sehemu yako! Kwa sasa mwachie mungu akuteteee,biblia inasema haki huinua taifa,bali dhambi ni aibu ya watu wowote(mith;14:34) haijalishi ni jaji,rais,hakimu au waziri mkuu.

Hivi ni kwa nini Watanzania wanapenda sana ku-rely kila kitu kwa Mungu? Mungu yuko bias kiasi hicho? Basi na wale waliomshinda Lema nao walimwachia Mungu? Au Lema mwenyewe hakumwachia kesi yake Mungu?
 
mungu wa wanyonge awe mahakaman kipindi chote,ee mungu ulitupa mtetezi sasa wanataka kutunyanganya,wasindwe na walegee mwisho waaibike
 
Natamani Mhe.Tundu Lissu ndiye angelikuwa Wakili wa Mhe. Godbless Lema pale A Town. Bila shaka ile kesi ingelikuwa tofauti kabisa. Yule Jaji Nshomile Gabriel Rwekibarila lazima asingefurukuta mbele ya Tundu Lissu na asingeweza kutoa hukumu iliyoacha mashaka kibao vichwani mwa Watanzania.

Hongera sana Mhe. Tundu Lissu kwa umakini mkubwa unauonyesha katika fani ya Uanasheria. Big up!
 
Jipe moyo Tundu Lissu, ushindi upo karibu. Nakukubali sana kwa hoja zako. Pamoja sana.
 
Natamani Mhe.Tundu Lissu ndiye angelikuwa Wakili wa Mhe. Godbless Lema pale A Town. Bila shaka ile kesi ingelikuwa tofauti kabisa. Yule Jaji Nshomile Gabriel Rwekibarila lazima asingefurukuta mbele ya Tundu Lissu na asingeweza kutoa hukumu iliyoacha mashaka kibao vichwani mwa Watanzania.

Hongera sana Mhe. Tundu Lissu kwa umakini mkubwa unauonyesha katika fani ya Uanasheria. Big up!
nikweeeli kabisa
 
Kweli hapo ndio pale usemi wa "Wao wananguvu sisi tuna MUNGU". INAPOJIDHIIRISHA KWA HAO MAGAMBA. NGUVU YA UMMA LEMA ATAKAA MJENGONI TENE NA TENA.
 
hivi ushahidi wa hizo kesi unakaa na nani mimi nina wasiwasi kwasababu haya maelezo magamba wanaweza wakageuza yakawa yao. huo ndio wasiwasi wangu ukichukua itifaki ya kesi ya Lema nahisi magamba wanaenda mahakamani kama norm lakini uamuzi wa mwisho wanaujua. nawajua the way wanavyointerfere natural course of the justice .nimeaamini unahitaji kuwa na akili ya maiti ili uweze kukubaliana na ccm na serkali yake. Nape mwenyewe anajua kama mimi muongo basi aseme sasa toka rohoni na ufahamu wake wote. akiongopa yatakayomkuta na aseme
 
Lissu si mchezo,anazidi kuwagalalaza magamba,huyo hawamuwezi kwani hata jaji anamkubali kinoma ila anaona aibu kuifuta kesi kwani ameisha chukua mlungula toka kwa magambaz.
 
Kwa lissu nimjuaye mimi kwa masaa 3.30 anajibu hoja ujue kulikuwa na hoja nzito sana!
sema waletaji wa habari wako biased.
 
Kwa kesi ya Lisu jinsi ilivyo na upepo unavyovuma ni dhahiri atashinda bila hata wasiwasi na baada ya hapo atasimama kwam wakili wa Lema katika mahakama ya rufaa ili hao majaji wamtambue vizuri
 
Back
Top Bottom