Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,379
- 2,533
Muda mchache baada ya Rais Magufuli kutoa kauli akiwa Singida kuwa walioshinda tu ndio wafanye siasa kwenye maeneo yao ili wasiingie kwenye majimbo mengine,
Lissu ameweka wazi kuwa Magufuli anavunja umoja wa kitaifa.
Lissu alihoji kauli ya kwamba Chadema ni marufuku kufanya siasa ilikoshinda CCM na kinyume chake ndiko ulikofikia uwezo wa Rais wetu wa kufikiri.?
Aliongeza kwamba, ni hawa ndio wanaohubiri umoja wa kitaifa kila kukicha?
Lissu aliweka bayana kuwa anachoweza kujidai nacho Magufuli sio nguvu ya hoja yake bali ni nguvu ya vyombo vya mabavu anavyodhibiti.
Katika andiko hilo Lissu aliwaandishi kutoshangilia mambo ambayo yanapaswa kupuuzwa badala yake wayaweke wazi.