Lissu aingia matatani

aaah wapi,Lissu ni mjanja hata J.K analijua hilo na kumwogopa juu

kipindi cha kampeni dr.dr. mheshimiwa na amri jeshi mkuu mwenye kiti wa ccm Rais Jakaya kikwete alisema "BORA DR.SLAA AWE RAIS KULIKO TUNDU LISSU KUWA MBUNGE". mia
 
'TL: Unajua nilichokisema?
Mwijage: Kwani ulisema nini?'

Sasa mh Mwijage kama hujui alichokisema umeshitaki nini?

umesema ambayo nilikua nataka kuyaandika huyu Mwijage ni kichwa nazi tu sasa yeye anajichanganya kwa kusoma magazeti ya udaku bila kumsikiliza TL?
 
Hakuna cha kuwa matatani wala nini, Lissu anajua anachokifanya, period!
 
Mwijage alitakiwa ashauriwe kwanza kupata clips za alichokisema TL ndipo alalamike.... Hili alilofanya sasa itakuwa ni kudhihirisha kuwa alichowahi kusema Ndungai kuwa wabunge wengine wanatumia sigara zisizohalali ni sahihi! Charles Mwijage atakuwa mmoja wao naamini.
 
Tundu Lissu aangalie sana asijekuwa ngoma inayotaka kupasuka.
Mdomo uliponza kichwa.

Sasa wewe great thinker mbona unatuangusha"hapo mwenye shida ni Mwaijage ambaye alifikiri
Tundu Lisu aliongea kama mwanasiasa kumbe mwenzie alizungumza kama mwanasheria akijua,
fika nini anchokitaja ni wale wenye mgongano wa maslahi si wala rushwa."Chezea Tundu Lisu wewe!!!!
 
utata wa Lisu upo wapi? hakuna mbunge yoyote wa magamba hata huyo AG anaweza kumtoa OK Lissu, we proud on you Lissu... go on wakimbize kimbize mpaka kieleweke!
 
Hivi huyu Lissu hana njia nyingine ya kujijenga zaidi ya kuachafua wenzake? Si aende jimboni abuni mradi ya kuwapunguzia wananchi wake makali ya maisha? Hawezi kuwa maarufu wakati wananchi wake wakifa njaa kule Singida.
 
Hivi dhana ya mgongano wa kimaslahi inaeleweka kweli? Sitashangaa kuwa hata huyu mheshimiwa alishindwa ku-declare interest toka awali kwa kushindwa kuelewa kama dhana hii ina-exist.
 
Sasa wewe great thinker mbona unatuangusha"hapo mwenye shida ni Mwaijage ambaye alifikiri
Tundu Lisu aliongea kama mwanasiasa kumbe mwenzie alizungumza kama mwanasheria akijua,
fika nini anchokitaja ni wale wenye mgongano wa maslahi si wala rushwa."Chezea Tundu Lisu wewe!!!!

Tundu Lissu anashauriwa tu awe careful, kuingizwa mkenge na mahasimu wake kitu rahisi sana.
Uliona mchozi aliomwaga pale mahakamani kule Singida aliposhinda kesi ya kubambikwa?
Politics is a rough road na mambo si rahisi kama unavyofikiri, ajali za kisiasa ni nyingi tu-nyingine za kutungwa.
Huo ushauri wa bure tu.
 
Mwijage anaitisha vita wakati kuna kila dalili ya kushindwa. Hivi hawa magamba huwa wanapata ushauri kutoka kwa nani?kila kitu wanakurupuka.
 
Sasa wewe great thinker mbona unatuangusha"hapo mwenye shida ni Mwaijage ambaye alifikiri
Tundu Lisu aliongea kama mwanasiasa kumbe mwenzie alizungumza kama mwanasheria akijua,
fika nini anchokitaja ni wale wenye mgongano wa maslahi si wala rushwa."Chezea Tundu Lisu wewe!!!!
Mshaurini huyo "kichwa" wenu kuwa siasa si darasani.
Akili za darasani si zile za kisiasa, mbaya zaidi kujitakia umaarufu kwa kuwakandia wanasiasa wengine bila kuwa na uhakika ni kujiongezea maadui wa kisiasa.
He should pray that they dont gang up to devour him like a pack of hungry and angry dogs!
 
Tundu Lissu aangalie sana asijekuwa ngoma inayotaka kupasuka.
Mdomo uliponza kichwa.
Inaonekana wewe ni Gamba na kada harufu wa Chama cha mabwepande na nadhani wewe ni wassira na msura wako wakifisadi ule Lisu ni mpiganaji wa uhakika na tunategemea awe Tz prezoo wa 2020 baada ya slaa!Gamba we!
 
Mbona huyu keshashindwa mwanzoni kwa kushindwa hata kukumbuka Lissu alisemaje. Sasa mtu kashindwa nje Ndani itakuwaje kwa hili JEMBE Lissu!!
 
Kujaribu kushindana na mtu kama Tundu lisu ni kupoteza muda wake, watu wakushindana na Tundu liso siyo wewe!
 
Hivi kwani huyo charles mwijage ni nani?
Kilaza fulani wakihaya anajifanyaga eti yeye ni mwanasiasa machachari kumbe huwa anakera watanzania tu pale bungeni kama magamba wengine!In short ni jamaa zuzu hivi alafu hata hao waliompa ubunge nadhani watampiga chini mda si mrefu ni jamaa juha kweli huwa anaongea kwa kupanic hivi kumbe lolote!Eti yeye anajiita ni first pump master wa Tanzania na ni mshauri wa makampuni kibao huwa anajisifia sasa amechanwa na Lisu anaanza kulia Magamba bwana!!
 
Hivi huyu Lissu hana njia nyingine ya kujijenga zaidi ya kuachafua wenzake? Si aende jimboni abuni mradi ya kuwapunguzia wananchi wake makali ya maisha? Hawezi kuwa maarufu wakati wananchi wake wakifa njaa kule Singida.
Serikali ni ya Ccm!Lisu ni mwalimu wakuifundisha CCM so Magamba ndo wanatakiwa waende na Miroli ya mahindi, mchele sukari maharage na chumvi wakawape wanairamba maana kwa umbumbumbu wakushindwa kuongoza ndo maana njaa imeingia singida! Au wewe ndo mambo ya nchi huyajui zaidi ya kuandaa misheni mabwepande!?
 
Back
Top Bottom