Don Draper
Senior Member
- May 30, 2012
- 176
- 87
Ok, nilikuwa naperuzi old threads nikamkuta huyu dada (?) anaongelewa lakini maswali yamekuwa mengi kuliko majibu
Nimejaribu ku google kuona anatokea kwenye branch ipi ya akina rockefeller nimegonga mwamba
Nimejaribu ku google jina la hiyo kampuni yake inayo operate tanzania hakuna
nimejaribu kucheki na BRELA hakuna
Nimejaribu kucheki na RITA, hakuna rockefeller NGO inayo operate Tanzania hakuna
Nimecheki projects ambazo ziko supported na huyu lisa au Foundation ya Rockefeller Tanzania....hakuna
Nimecheki na jamaa wa TIC...hawana habari
sasa swali inawezekana ikawa hii ni just another urban myth au? Lakini kwa sababu hii ni JF na watu wa vitengo maalum mpo nadhani mnaweza kutupatia picha kamili