Wale walikuwa C2C kabla ya kuporwa na TBC,sio mke na mume wala wapenzi na kuna tetesi Musa sio riziki.
lisa ni nickname yake anaitwa Upendo Ibrahim.Makubwa hayo, ndiyo maana Mr wa Lisa hana wasiwasi nae?
bt mbona juzi Masanja kwenye comedy alisema ni birthday ya mtoto wa Mussa anaitwa Prince, so alitudanganya......?Mh mbona anajitapa kuwa ana mtoto anaitwa Prince?
Musa ana mke jaman-kama sikosei ana mtoto piaWale walikuwa C2C kabla ya kuporwa na TBC,sio mke na mume wala wapenzi na kuna tetesi Musa sio riziki.
Musa ana mke jaman-kama sikosei ana mtoto pia
profile yake kwaufupi hii hapa
About Me
I started my primary education at Mbagala Primary School then at St.Anthony's Sec.School for both O-Level and A-Level as now I'm persuing my 1st Degree in Arts at The University of D'Salaam while working at Tanzania Broadcasting Corporation(TBC1)as a TV Presenter.I am married to a beautiful half-cast lady known as Nargis Mohammed Saleh and we live happily
FOR MORE INFORMATION
Blogger: Musa George
Profile gani ya kutaja ethnicity ya mkewe!!Wabongo bana aggrrrr
umeambiwa ni watangazaji wa TBC katika kipindi cha burudani ni nyumbani!bongo kila siku wanazaliwa celebs wapya..ndo kina nani tena hawa?
Mbona huyo mke wake alikuwa demu wa kaka yake, Masud kipanya, imekaaje hii
Mbona huyo mke wake alikuwa demu wa kaka yake, Masud kipanya, imekaaje hii