Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Status
Not open for further replies.
Mkulu 'Personal' unaruhusiwa wewe tu au?

Mbona umemhusisha Lisa na 'uwizi' wa Rocafela et c bila kujadili hoja zake?

- Wizi wa familia yake kwa taifa lake unafahamika na mpaka kuna sheria iliyotungwa kwa sababu ya familia yake kwa hiyo ni haki kuongelea as opposed na bongo hasa hapa JF ambapo asiyemkubali Slaa basi ni mwizi na fisadi, ndio tofauti hapa ndugu yangu!

William.
 
Uyu Lisa naona ana hasira na JK khaa manake madongo anayoyatupa so
Kumbe ata wazungu hawampendi

Lisa anasema ukweli. Sema tu huyo anayejibisana naye ni sehemu ya JK. Na kwake wagonjwa kufa kwa sababu hawana dawa, ni poa kwake. Kuwa na sekondari za kata nchi nzima bila walimu kwake ni poa tu. kuwa na hospitali bila dawa, au wazazi kulala chini, kujifungulia niani na kufariki kabla ya kufika mahospitalini ni sawa kabisa.

vijana wa kitanzania ambao hawawezi kulipia chuo kikuu kubaki nyumbani na kufanya vibarua wakati wataalamu hawatoshi mf. sekta ya Afya ina upungufu wa 35% ya wataalamu wa kati wakati mabingwa ni zaidi ya 45%, anaona hiyo ni sawa. Mbunge kulupwa 40M baada ya kipindi cha miaka mitano (akiwa Bungeni hata kama jakuongea) wakati mwalimu aliyefundisha kwa miaka 40 analipwa 5M kwake ni sawa. Lazima tujenge Tanzania inayojali watanzania walio wengi hasa katika mahitaji ya msingi.

Yako matatizo mengi ya watanzania ambayo yamefumbiwa macho na CCM+ Kikwete.

Sorry, We can not vote for Kikwete
 
- Siwezi kujadili hoja za Mzungu kunifundisha nani ananifaa kua kiongozi wangu Africa, ndio maana tulimfukuza bila ya yeye kupenda huku Africa Ni ili tuwe huru na tuamue mambo yetu wenyewe, kama tutaenda kumuomba msaada ni uamuzi wetu sio wake!

William.

Nimegundua kwamba Una kiwewe na Woga Juu ya Mabadiliko yanayoweza kutokea hapo Kesho! Mkuu kama na wewe ni Akina mjomba Kamlete siwezi kukulaumu una haki ya Kung'ang'ania Status Quo maana unafaidika nayo. Wazungu Wanaleta Misaada mnaigegeda wakihoji juu ya Pesa zao mnawaita wezi
 
Angesifia angekuwa halisi bila shaka amefanya kazi bomba. kiingereza chake si cha tanzania kwa hiyo sina shaka naye. wewe andika sentensi moja kama hakitakuwa kituko.

mmmh..mtu kutoka familia ya rocker feller anajulikana kwa facebook page yake, ku comment kwenye page ya JK na thread yake humu JF na hutilii mashaka, kisa kiinglishi chake. Sasa hapa si suala la siasa ni suala common sense, niatafutie existance yake tofauti na hizo nitakili ujinga.
 
Uyu Lisa naona ana hasira na JK khaa manake madongo anayoyatupa so
Kumbe ata wazungu hawampendi

SIO HAWAMPENDI ILA "WANAMUELEWA".

Angalia watz waliologwa wanavyobishana na Lisa. Je JK hakukiri mwenyewe kuwa yeye ni "OMBAOMBA?" Eti kwaajili ya Tz. Hii inaonyesha kuwa anadharauliwa hata na watu wa mtaani huko majuu "our former president".

Mungu TUREHEMU WATZ NA UPOFU ULIOKAA AKILINI MWA WENGI UTOKE. Wawe wazalendo, waweke utaifa na maslahi ya umma mbele.
 
- Wizi wa familia yake kwa taifa lake unafahamika na mpaka kuna sheria iliyotungwa kwa sababu ya familia yake kwa hiyo ni haki kuongelea as opposed na bongo hasa hapa JF ambapo asiyemkubali Slaa basi ni mwizi na fisadi, ndio tofauti hapa ndugu yangu!

William.

UNA USHAHIDI KUWA ANAHUSIKA?? Kama huna tutaomba ufute kauli yako. Hapa tunamzungumzia Lisa na hoja zake sio familia yake imefanya nini.
 
Huyu mama acha atufumbue macho na ukweli ndio huo namuunga mkono kwa asilimia mia moja. Kikwete siyo serious yeye kucheka cheka tu . Kama hawa nao wamemchoka ataenda wapi sasa? kwa hiyo ni bora tumtoe kabla hajatia aibu nyingine.
 
Anachokiongea huyo dada ni confirmation ya kile tunachokiongea JF kila siku, nashangaa unamshambulia yeye badala ya kuona kumbe wengi blacks and whites wako fed up na Kikwete na CCM yake.

Unachofanya ni kukimbia hoja in the name of mkoloni. Humanity has no borders wala skin color mkuu na ndio maana dunia haikuwaachia Haiti wahangaike kivyao.

Watu wana uchungu na humanity sio wewe unaridhika na status quo eti kwa sababu wewe na familia yako mnanufaika. Selfishness inakusumbua ndugu yangu.

- Well ninachosema ni kwamba mzungu tulimfukuza na kuwa huru na kujitawala wenyewe, ninachokataa ni the idea ya mzungu yule yule tena kujaribu kuniambia nani ananifaa kunitawala, ninasema ni afadhali nimsikilize Dr. slaa lakini sio mzungu mkoloni, maana ninakataa kua mtumwa!

William.
 
Nimegundua kwamba Una kiwewe na Woga Juu ya Mabadiliko yanayoweza kutokea hapo Kesho! Mkuu kama na wewe ni Akina mjomba Kamlete siwezi kukulaumu una haki ya Kung'ang'ania Status Quo maana unafaidika nayo. Wazungu Wanaleta Misaada mnaigegeda wakihoji juu ya Pesa zao mnawaita wezi

Semaaa :peace::peace::peace:
 
- Kuna tofauti kubwa kati ya Rais anayezuru nchi yetu na Mzungu anayetaka kutuamulia Rais wetu awe nani!

William.

Na yule Kalonzo vice Prez wa Kenya mbona hamkusema?? au kwa sababu 'ushauri wake' unafeva course yenu sio?? u guys are bunch of jokers..
 
- Well ninachosema ni kwamba mzungu tulimfukuza na kuwa huru na kujitawala wenyewe, ninachokataa ni the idea ya mzungu yule yule tena kujaribu kuniambia nani ananifaa kunitawala, ninasema ni afadhali nimsikilize Dr. slaa lakini sio mzungu mkoloni, maana ninakataa kwua mtumwa!

William.

Mzungu yule kuandika ukweli wa mambo haitakusababisha wewe uwe mtumwa hata siku moja. Acha usanii!
 
UNA USHAHIDI KUWA ANAHUSIKA?? Kama huna tutaomba ufute kauli yako. Hapa tunamzungumzia Lisa na hoja zake sio familia yake imefanya nini.

- Mkuu tafuta Standard Act ya US, ndio utauona ushahidi wa wizi wa familia ya huyu dada kwa wananchi wa US, siwezi jadili hoja ya Mkoloni kuniamulia kiongozi wangu Africa, it is a no! no!

William.
 
Na yule Kalonzo vice Prez wa Kenya mbona hamkusema?? au kwa sababu 'ushauri wake' unafeva course yenu sio?? u guys are bunch of jokers..

Mkuu Umemaliza Mjadala sina Cha Kuongeza naona Lisa leo amewashika masultani basi wanafikiri Lisa ni NEc ha ha ha

Asante sana
 
yeye hatuamulii, sisi ndo tutakaopiga kura. Ingwaje hakutaja jina la nani apewe, lakini amesema Asipewe JK. Je nani anafaa baada ya JK kumaliza 5 yrs zake?
 
Lisa angekuwa mTanzania...ningesema kwamba ni mkereketwa mwenye kiu ya mabadiliko.....Lakini tuache mzaha....mabadiliko Tanzania Tunayahitaji.
 
Kinachokuhusu ni kumpelekea kopo la saidia maskini ukifika airport unaingia mitini na pesa. Shame on you son of fisadi or fisadi himself

- Well, shame on me kwa kukataa kuamuliwa na mkoloni nani ananifaa kwua kiongozi wangu, I can live with that bila tatizo, lakini ninasema mzungu ajali mambo ya taifa lake ya taifa langu aniachie Mtanzania, ndio maana Mwalimu aliwafukuza mbio sana.

William.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom