Lipumba: Waislam Tanzania piganieni haki zenu na msirudi nyuma

Status
Not open for further replies.
Kutoka ukatibu wa baraza la Maaskofu mpaka katibu CDM unafikili amekosea ni kahama tu kitengo.
Hivi mnashangaa nini? Cuf na Uamsho ni chanda na pete, hivi mnadhani kakosea? Malengo ya cuf yanafahamika ni udini, mwenye macho haambiwi tazama, ni kazi ya akina ponda, mohamed issa na wenzake, cuf ni hatari kwa umoja wa taifa letu!
 
Prof.wa nini kwani sijamwelewa na usomi wake au amepewa wadhifa asiokuwa na ujuzi nao kwani kwa msomi kama yeye sikutarajia aongee mambo ya hovyo kama haya kwani yeye amesomea uarabuni ?nisaideni hilo
 
Mahakama ya Kadhi kwasasa sio haki ya msingi, bali kuivunja Bakwata ya CCM ndio kipaumbele na mengine mazuri Inshaallah yatafatia.
Lipumba hajui alisemalo au katumwa na CCM
 
Mbaya zaidi waislam wan avigezo duni sana vya kupima ukweli wao.Mfano ni huu wa necta,wameoambiwa ukisema kitu nashambuliwa na wale ambao masalahi yao yanaguswa.Wakati watu wengine wakijaribu waondoa ktk huu upotoshaji wao ndivyo wanazimi jiaminisha na kumwona Ponda ni genius.

Hizi ndizo test za kuchekesha sana ktk uislam.Mfano challenge ya Quran kw amakfir ni kwamba.quran haijatoka kwa allah,basi wakusanyike binadamu na majinn watoe kitabu kama Quran.Kwa mwenye akili ataona ujinga uliopo hapa.Kwanza kuna vitabu vingi sana duniani vilivyondikwa kwa mpangilio na utafiki kuliko quran.Pili kutoa kitabu kilicho exactly sawa na Quran ina maana huna haja ya kubuni chako,bali kutoa exactly copy, na dunia ya leo hii ina copier machini za hali ya juu.Hizi ndizo test zao zilizojaa kila mahali katika quran na hadith.

Sioni ajabu hapa wakizidi potoka watu wanapojaribu wapa solution za shida zao,kwani wao ndivyo wanavyozidi dai mmeshikwa mahali pake,kuwa masalhi yenu yameingiliwa.Hizi ndizo fikra ambazo huwezi zibadili halafu ukabaki muislam.Ukishaingia mkataba na shetani kutoka si kazi rahisi kwani huwa anahitaji faida sana kukuachia.Tutashangaa sana waislam wakiona kitu lazima waingize uislam halafu waanze dai full control and ownership.Ule msikiti wa butiama Nyerere akirudi after miaka 30 atatamani juta sana kuwa sehemu ya walioidhinisha kujengwa pale.

Ethiopia(Abysinia) walimpokea muhamad kipindi akikimbizana waarabu waikubali dini yake aliyoiita ya mwanga kabla haijaja waletea giza.Leo hii Ethiopia inalia sana na waislam walipo ndani.Si wote wanapigana na Ethipia ktk vita vya ku survive ktk kundi la magaidi wa sudan, eritrea,somalia .
 
Muanzisha thread umeng'ang'ania NECTA ni taasisi ya wakristo na kwamba mmekuwa mkifelishwa kwa makusudi,naomba unijibu hili,juzi hapa kulikuwa na uchaguzi somalia na kati ya vigezo ili kuweza kuchaguliwa ilikuwa uwe na kiwango fulani cha elimu,wengi kiliwatoa waliobahatika ni wale waliokuwa wameishi ughaibuni,Swali langu NECTA yetu ndio inayowanyima waislamu wa somalia Elimu???????
mkuu suala la Necta, watu wanalikuza mno, ndo maana nasema wengine dini wanakunywa na kulewa na si kuelewa. ISLAM ni dini ya aman, sema wahuni wanataka kuteka dini ya mwenyezi mungu!
 
wakiristo wataongea Mengi na watabisha mengi. lkn hawawezi kubisha kwamba Bila ya MOU na NECTA ya Ndalichako HAWANA KITU SHULENI
 
Mbona mwakyembe anazungumzia? ,nbona Dk slaa aliwahi kusema wakiristo watz msikubali kuonewa? au tatizo limeguswa NECTA? na kama angaligusa MOU hapa ndipo wakiristo wangalikuja juu zaidi

kwani Agha Khan na ithnasheri ni wakristu?wao pia wapo ktk MOU.
 
mkuu suala la Necta, watu wanalikuza mno, ndo maana nasema wengine dini wanakunywa na kulewa na si kuelewa. ISLAM ni dini ya aman, sema wahuni wanataka kuteka dini ya mwenyezi mungu!

WALLAH, NECTA ikiwa huru na MOU kufutwa, utaona shule za serekali kufanya vizuri sana. na shule za kanisa kuanguka vibaya
 
Viongozi wote wa NECTA ni wakiristo pale. hii ilikuwa ndio Target ya Mwalimu nyerere, Malima alipogusa pale Nyerere alihamaki sana. Soma KITABU CHA mwembechai Killing, hadi leo CCM hawajakana kwamba NECTA kimekuwa kijiwe cha Kanisa kuwahujumu waislam. Ukitaka ufauku vizuri weka Jina lako kama Frnasis, hapo NECTA watashindwa kukujua

Basi mng'ang'anieni Kikwete aibadili NECTA ili "iwatendee haki" kama mnavyodai. Nyerere alishafariki zamani au mtadai mzimu wake bado unatisha pale NECTA? Nchi haiwezi kuendeshwa na harakati za kichinichini kupitia miskiti ilhali serikali na sheria zipo na viongozi wa juu wakiwemo waislamu wapo! Kama rais ambaye ni muislam hawezi kuchukua hatua za kiuongozi juu ya "dhulma" wanayofanyiwa waislam au watu wa dini yoyote ile nchini basi hatuna serikali. Hapa kinachoonekana ni kuwa rais katulia kwa vile anaujua ukweli wenyewe ambao ni tofauti na mlio nao mnaolalamika. Na asipowachukulia hatua kwa kuendesha kampeni ya kihuni dhidi ya NECTA hatutakosea tukiona labda anafaidika kisiasa (kisiri) na harakati hizo.
 
.

precisely!iko hivi: tutorial assistant-assistant lecturer-lecturer-senior lecturer-assistant professor then professor
hebu tuambie na maji marefu alipitia huo mlomlongo maana usiandike tu
 
hta TEC imevamiwa na CHADEMA. ndio mana unawakisikia Kimya wabunge wa Chadema kuhusu NECTA. ukikia Shule za TEC zimeanguka au MOU ya serekali na kanisa imefutwa, hapo Chadema ndio utawasikia wakiwashambulia NECTA na ccm
ah,mkuu ina maana hata zitto atashambulia necta kwa hilo? Fanya utafiti haya mambo yanakuzwa na maadui wa dini yetu ili ionekane tunaonewa, kuna wasomi wengi wa kiislamu kama dk salim, issa shvji na wengineo. Tumia akili zako mkuu usitegemea ya akina ponda, wale wana yao!
 
CCM na CUF zinakufa na mipango mikubwa ya uislam .Waislam waliopanda huu huovu hawawezi vumulia Mungu alivyo mkuu anazamisha CCM na mamluki wake kimaajabu.Watabaki waislam wasiokuwepo katika hii mipango ya kishetani ili washuhudie kuwa Mungu wa Abrahamu ni Mkuu.

Sasa CCM wanachapa kila uchaguzi,kutoleana Bunduki kumekuwa kwa kawaida sana,sasa ni viti na mapanga.Soon ktk uteuzi wa mgombea urais na ubunge.Mtamalizana wenyewe.

Mungu wa nchi hii hutibua kil wanapopanga uovu mkuu bila hata kuuwawa na mwingine.Haya mambo walianza Tangu kabla ya huru,wakashindwa,sasa bado hawajaridhika na uhuru kwa vile siku zote wapo huru,wenzao ndio hawapo huru kwa vurugu zao.Wakaja akina Kigoma malima,na Diria, sasa tuna kina seif, JK, na msururu mwingine.
 
Profesa umechemka au umeamua bila kujua kujifunua sura yako ili tujue kilicho ndani yako na inawezekana kabisa ndiyo siri ya CUF. Ni aibu kwa msomi wa ngazi ya profesa katika karne hii kuzungumza habari kama hizi. Hizi wanatakiwa wazungumze wale maamuma sio wewe. NECTA kuwa chombo cha kanisa? Profesa umetutia aibu sana, nakushauri hata kama vyombo vya habari vya aina zote vilikuwepo ukisema hao; jitokeze hadharani ukanushe kwamba hukusema. Unaweza kusema shetani alikupitia hukujua ulichokuwa ukisema.
Kuhusu mahakama ya Kadhi, hivi mnajua maana ya kuweka mambo ya Mungu ndani ya Katiba? Hivi kati ya Katiba na Mungu ni nani mkubwa? Unapoweka mambo ya Mungu ndani ya Katiba maana yake nini? Maana yake Katiba ndio inaongoza dini badala ya Mungu kuiongoza serikali. Kwa nini mambo ya Mungu yaongozwe na Katiba ya nchi? Halafu cha kushangaza hao hao mnaowaita makafiiri ndio mnataka wakae wajadili suala la waislamu. Hivi wanapozungumza jambo lenye maslahi yenu yaliyofichika sio makafiri? Hebu mambo mengine nyie wasomi acheni mambo ya aibu. Masuala ya dini yaamuliwe kidini kulingana taratibu za dini husika. Mbona wakristo hawajasema mambo ya ndoa yawekwe kwenye Katiba. Wana Baraza la mambo ya ndoa ambalo halipo katika katiba na linatatua matatizo ya ndoa na pale jambo likiwashinda ndio linawapa go ahead wanandoa kama wanataka kwenda katika mahakama zinazoongozwa na sheria nyingine za ndoa.
 
haoni sababu ya kuongea vitu responsibly kwavile mara zote waisilam wapo salama mikononi mwa makafiri,ila wao ndio wana-terrorize others.Hiyo ndio fahari yao na mara zote ndoto zao hazikosi hayo matendo.

Mwisho was siku ni ngumu kuwatofautisha waislam kwa lolote.Every muslimu is a potential threat to non-muslims lets alone a fellow muslim.Lipumba na enjey sana tembelea religious mine field anayoipalilia.

Muda si mrefu watanzia watajua kuwa shida ya hii nchi si waislam kubaguliwa wala nini bali ni uislam wenyewe.Kwa miaka mingi watanznaia wamekuwa terrorized kwa kukuta nguruwe wao wameuliwa,wengine kuchomea ndani, wengine kuuwawa hadharani na polisi kubakia kuficha ukweli kwa kusema ni kitendo cha kijambazi au hata kitendo cha visasi binafsi.tunakaribia kuujua uislam kw agharama kubwa.Wamejiweka kila mahali,sasa wanataka baraza la mitihani ili wapitishe mamluki wanaokuja lazimishwa shika nafasi muhimu kuwafanya wakifanya mauaji pasiwe na ushahidi kama muawaonavyo akina kova leo,mwema na wengine walivyo wataalamu wa kudownplay ugaidi, huku wakiwaita magaid wasio magaidi.Soon mtajikuta kila kitu kikiwa corrupt na hii imani.

I guess ur Brain has stretched to its very end.... Who told u that Islam is a problem???? I hate people like u who gives a General rule on personal mistakes!!!! Get back to class and learn more!!! Even if u r an idiot u dont have to display it up!!!!
 
wakiristo wataongea Mengi na watabisha mengi. lkn hawawezi kubisha kwamba Bila ya MOU na NECTA ya Ndalichako HAWANA KITU SHULENI

Kwa unyonge na kukosa hoja huna jipya.Hembu list nini kipo ktk MOU au NECTA kimesaidia Wakristu?Mara Nyingine msome Kweli inayowaweka wengine huru kutoka katk Biblia.Si tuu muisome kwa kutafuta cha kubisha.Isomeni kwa kupata elimu kama muhamad mwenyewe alivyowaelekeza.YESU ALISEMA AIYE NACHO HUONGEZEWA.ASIYE NACHO HUPORWA HATA ALICHO NACHO na Waswahili waislam wakaja na MKONO MTUPU HAULAMBWI.Sasa waislam nani atalamba mkono mtupu?ingawa makafiri huwa hawalamabi mikono ya wengine kwao si Sunna.Na mtume wao hakuwaamuru hivyo kama wa kwenu.

Kwa kukosa shule na hospital zenu zenye maana.Kunawafanya mpeleke hela kingine.Wakti wenye nazo hupelekewa hela ial wakasaidie wasionacho.Mtaibiana nyota sana hadi mmzimalize.
 
Mbaya zaidi waislam wan avigezo duni sana vya kupima ukweli wao.Mfano ni huu wa necta,wameoambiwa ukisema kitu nashambuliwa na wale ambao masalahi yao yanaguswa.Wakati watu wengine wakijaribu waondoa ktk huu upotoshaji wao ndivyo wanazimi jiaminisha na kumwona Ponda ni genius.

Hizi ndizo test za kuchekesha sana ktk uislam.Mfano challenge ya Quran kw amakfir ni kwamba.quran haijatoka kwa allah,basi wakusanyike binadamu na majinn watoe kitabu kama Quran.Kwa mwenye akili ataona ujinga uliopo hapa.Kwanza kuna vitabu vingi sana duniani vilivyondikwa kwa mpangilio na utafiki kuliko quran.Pili kutoa kitabu kilicho exactly sawa na Quran ina maana huna haja ya kubuni chako,bali kutoa exactly copy, na dunia ya leo hii ina copier machini za hali ya juu.Hizi ndizo test zao zilizojaa kila mahali katika quran na hadith.

Sioni ajabu hapa wakizidi potoka watu wanapojaribu wapa solution za shida zao,kwani wao ndivyo wanavyozidi dai mmeshikwa mahali pake,kuwa masalhi yenu yameingiliwa.Hizi ndizo fikra ambazo huwezi zibadili halafu ukabaki muislam.Ukishaingia mkataba na shetani kutoka si kazi rahisi kwani huwa anahitaji faida sana kukuachia.Tutashangaa sana waislam wakiona kitu lazima waingize uislam halafu waanze dai full control and ownership.Ule msikiti wa butiama Nyerere akirudi after miaka 30 atatamani juta sana kuwa sehemu ya walioidhinisha kujengwa pale.

Ethiopia(Abysinia) walimpokea muhamad kipindi akikimbizana waarabu waikubali dini yake aliyoiita ya mwanga kabla haijaja waletea giza.Leo hii Ethiopia inalia sana na waislam walipo ndani.Si wote wanapigana na Ethipia ktk vita vya ku survive ktk kundi la magaidi wa sudan, eritrea,somalia .

Nilikua sijasoma hata user name yako ila baada ya kusoma jina unalotumia basi nakusamehe bure kwa sababu hujui uandikacho!!!! U need to real facts and Facts on malicious propaganda
 
WALLAH, NECTA ikiwa huru na MOU kufutwa, utaona shule za serekali kufanya vizuri sana. na shule za kanisa kuanguka vibaya

kwa mawazo ya namna hii ni bora nibaki kuview comments za wadau, nisije kula ban. Kuna uhusiano gani kat ya MOU na kufaulu kwa wanafunzi? Nyie kilio chenu ni kufuta tu bila kufanya jitihada nanyi mpate? Yaan hata kichwa cha nazi kiliwapa ushauri na fursa mmekwama?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom